Search results

 1. Kiwangwa Son

  An operating system wasn't found-try disconnecting...

  Wakubwa habari ya saahizi.. nilikua naomba msaada hapo kwa wajuzi nimepata changamoto kwenye laptop yangu hii.. nilikua nafanya baadhi ya mambo sasa nikaihitaji kurestart mashine ili niizime.. nilivyorestart ikawaka ikawa imeishia hapa.. an operating system wasn't found, try disconnecting any...
 2. Kiwangwa Son

  Game gani nzuri ambayo tunaweza kucheza wawili offline

  Nataka inayotumia hotspots sio data.. Kwa anaejua wakuu
 3. Kiwangwa Son

  Msaada wa ku Reboot hii flash

  Wakuu habari, Nina flash disk yangu hapa TOSHIBA 16GB juzi kati nilimuazimisha rafiki yangu akapigie window. Kwa bahati mbaya ilivyorudi kila nikiiweka kwenye PC inanambia TO USE THIS DISK NEED TO FORMAT FIRST. nikichagua hiyo option ya OK yani inaload hadi mwisho baadae naambiwa window...
 4. Kiwangwa Son

  Wadau wa elimu: Hivi itanichukua muda gani kurejesha deni HESLB?

  Habari ya muda huu wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni mwanafunzi nipo chuo fulani hapa nchini kwa sasa nipo mwaka wa nne nasomea ufamasia. Kutokana nipo chuo cha private na mkopo nilibahatika kupata asilimia mia moja(100%) Hivyo nimepiga calculations nimeona kwa miaka miaka minne...
 5. Kiwangwa Son

  Jinsi ya ku-update window.

  Wakuu samahani naomba msaada wajuzi wa tech. Nimenunua laptop ndogo hapa dell nimeikuta ina windows 7 ila inaandika window expired. Hebu naombeni kueleweshwa jinsi ya ku update maana sina utaalamu wowote. Katika hili..
 6. Kiwangwa Son

  Mpenzi wangu ana maziwa madogo madogo.

  Wakuu habarini ya jioni, poleni kwa majukumu ya siku.. Wakuu nina mpenzi wangu ambaye ni mke mtarajiwa kwa kuwa bado taratibu kadhaa awe mke Rasmi. Kwa muonekano(mpenzi) ni mrefu,mwembamba yupo vizuri anamvuto isipokuwa tatizo ni moja tu ana matiti madogo yani sijajua kwanini imekuwa hivyo...
 7. Kiwangwa Son

  Kukataliwa kwa udahiIi 2019/2020

  Habari wana jukwaa, naomba msaada kama kuna yeyote anayefahamu kuhusiana na tatizo hili.. Mwaka jana sikufanikiwa kupata mkopo ila nilipata nafasi ya kuchaguliwa chuo kimoja. Sasa baada ya kuchaguliwa sikuweza kuripoti chuoni kutokana na matatizo ya hapa na pale nikaona nisubiri mwaka huu...
 8. Kiwangwa Son

  Kioo used kinahitajika

  Natafuta kioo cha simu used kati ya hivi : 1-samsung galaxy note 3 2-samsung galaxy j3 Mwenye navyo navihitaji pesa ipo.
 9. Kiwangwa Son

  Msaada kwa ambaye ameapply SUA mini-application wondow for undergraduate

  Wakuu naomba msaada nimefungua account ya maombi sua nimefuata taratibu zote wakanipa control number nikalipia. Baada ya hapo nika log in lakini ile dashboard inasoma 2018/2019 sasa naomba kuuliza kwa ambaye ame apply... Je ndo ipo hivyo au mimi nimeingia sehemu ambapo sio sahihi Msaada...
 10. Kiwangwa Son

  Msaada Samsung note 1 ipo slow sana

  Wakuu habari za muda huu, naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu inasumbua sana yani ni nzito kiasi ambacho hata kufungua files ina delay kwa muda ndio ifunguke natamani kuivunja. Kutokana na bajeti yangu nikaona ninunue hii simu angalau lakini imekua mzigo labda sijui ni kwa sababu ya zamani...
 11. Kiwangwa Son

  Tatizo la CAMERA kwenye tecno C9

  Habari wakuu kama uzi unavyojieleza hapo juu Nina simu yangu tecno camon C9 ilipasuka tachi, nikafanikiwa kuipeleka kwa fundi mmoja hapa mtaani kubadilisha tachi nashukuru tachi imekaa vizuri inafanya kazi kama awali. Lakini limeibuka tatizo lingine baada ya kutengeneza tachi yani CAMERA ya...
 12. Kiwangwa Son

  Sikio lake limeziba msaada tafadhari

  Kama ambavyo kichwa kinajieleza hapo ju. kijana wangu leo anasiku ya saba tangu sikio lake la upande wa kushoto lizibe yani anashindwa hata kutembea. chanzo,ilikua usiku wa kuamkia jumapili tar 30 disemba 2018 majira ya saa nane usiku alihisi sikio linatuma kwa ndani,baada ya kuamka usingizini...
Top Bottom