Search results

 1. DAD'S SON

  Football is back

  Ni habari njema sana kwa wapenzi wa soka dunia,tumeona jana ligi kuu German imerudi,hii inaatupa matumaini na ligi zingine kurudi mwishoni mwa mwezi huu zingine mwanzoni mwa mwezi ujao. Mashabiki wa Liverpool naowaona wakiwa na furaha isiyo na kifani baada ya kusikia league haifutwi na...
 2. DAD'S SON

  Mliowai kukimbia kulipa bili mje hapa

  Wasalaam, Binadamu ni kiumbe hatari sana na very smart creature kuwai kuumbwa. Lengo la uzi tuambiane namna gani uliweza kuescape kulipa bill,iwe ilikuwa bar,hotel ama popote pale ila Mwisho wa siku ulifanikiwa kukimbia kulipa bill. STORY FUPI Mwanangu mmoja alikuw ni mzee wa totozi...
 3. DAD'S SON

  Tuliowahi kusaliti na kusalitiwa tukutane kwenye mkutano

  Mapenzi ni closed book in short unakuwa hujui nini kipo ndani so unahitajika kuwa very very smart kuweza ili uweze kufika pale ulipopanga kufika,though kwenye mpenzi sio kila kitu kitaenda unavyotaka kuna muda meza inapinduka na mambo huwa tofauti sana,ila ukiwa smart enough unaweza kuokoa penzi...
 4. DAD'S SON

  Tuliowahi kupewa hela na wanawake

  Wasalaam, Hakuna kitu kigumu kama mwanamke kufungua pochi yake akupe hela yake, najua wengi tunalujua hilo. Ili mwanamke akupatie hela yake fahamu kuwa ameona kitu ndani yako au ulimkosha haswaa kinyume na hapo utabaki kuwa mtoaji tu. Mwanamke kukupa hela sio dhambi au haimanishi wewe ni...
 5. DAD'S SON

  You must watch hizi scariest movie of all time (30 list)

  Mimi ni bingwa wa kucheki mamovie ya kutisha tisha sana mpaka home walikuwa wakiona nawasha tv au naweka CD watu hukimbia vyumbani. Asikudanganye mtu hizi movies kuzicheki lazima uwe na two hearts Here we go 1.The exorcist 2.the shinning 3.A nightmare on elm street 4.the conjuring 5.the ring...
 6. DAD'S SON

  Kama 2020 ingekuwa ni chakula ungekipa jina gani??!

  2020 nadani ndo mwaka uliomake history kuliko miaka yote na hii imetokana na uwepo wa covid-19. Kuna watu tumekaa ndani mpk sasa wengine tumeweza kupika mpk chapati za kusukuma(joking) Binafsi huu mwaka ungekuwa ni chakula basi me naupa jina la ile mikate iliokuwa ikitumik kipindi cha Yesu...
 7. DAD'S SON

  Ahadi zenu wanasiasa mzitimize

  Wasalaam, Ukweli utabaki pale pale wanasiasa ndio watu ambao wanadhima kubwa sana katika maisha yetu.Ukizungumzia siasa unazungumzia uongozi. Leo la huu uzi ni kuwakumbusha wale wanasiasa walio tuahidi mambo mazuri huku muda ukiwa unakaribiakuisha ila napenda kuwaambia kuwa muda bado watimize...
 8. DAD'S SON

  Wasomi wa Tanzania wakiwezeshwa wanaweza

  Wasalaam, Tupo katika karne bora sana nadhani ukifuatilia karne tuliopo sasa ndo karne bora kuwai kutokea katika maisha ya mwanadamu. Leo hii upo tandale kwa tumbo unavuta waya unapigia simu mtu yupo Rukwa,nauli yako tu inakufikisha USA ndani ya masaa. kwa kifupi teknolojia ukuwaji wake...
 9. DAD'S SON

  Covid-19 ni mwalimu anaendelea toa somo

  Tukubali tukatae covid-19 amekuwa mwalimu ambaye anaendelea kuifunza dunia kuwa hakuna usalama kwa watu wote, poleni wale wote ambao mmepata kufiwa na ndugu, jamaa na marafiki pia wale waoumwa basi wapate nafuu na kuendelea na majukumu mengine. Yafuatayo mwalimu covid-19 ametufunza na...
 10. DAD'S SON

  Ujumbe kwa Wasafi Media

  Kwanza kabisa niwapongeze kwa kazi nzuri na jitihada mnazozifanya kuhakikisha ulimwengu wa burudani unakua kwa kiwango cha 5G. Studio zenu kiukweli ni studio kali ambazo nilishawai kuziona hapa nchini (congrats). Naomba nitoe ushauri wangu ambao unatokana na upeo wangu wa kuelewa mambo hasa ya...
 11. DAD'S SON

  Nafasi za Epidemiologists on covid-19

  Wasalaam, Naomba nianze moja kwa moja maana ya epidemiology na epidemiologist Epidemiology- the branch of medicine which deals with the incidence, distribution, and possible control of diseases and other factors relating to health(ni tawi na utabibu ambalo linahusika na usambaaji,uzuiaji wa...
 12. DAD'S SON

  Tupeane misemo kipindi cha corona.

  Naomba udondoshe msemo/misemo yoyote inayoendana na kipindi hiki cha corona. Mimi naanza 1.mficha uchi hazai. 2.akufae kwa dhiki ndie rafiki. 3.kunguru muoga uishi miaka mingi 4.mbio za sakafuni huishia ukingoni 5.mtaka yote hukosa yote. N.B hata wa kingereza dondosha tutaelewana tu. Sent...
 13. DAD'S SON

  Uzi wenu wanachuo,tupeande experience.

  Wasaalaamu ndugu zangu. Leo la huu uzi tupeane experience kipindi ulipokuwa chuo ni kitu gani hutokaa kisahau kamwe ktk maisha yako ya chuo Mimi binafsi sitokaa nisahau ni siku ambayo nilitoa boom langu laki 7 na kuweka forex(vitu ampendavyo Ontario). Mungu ni nani??!....hela yoote ilienda na...
 14. DAD'S SON

  Kwa hili USA intelijensia yao ipo chini?

  Wasalaam ndugu zangu, Napenda kuanza kusema kuwa "not everyone is going to like you,bt Hey! That is totally okay [emoji4][emoji14]. Nadhani izi siku mbili tumekutana na story nzito nzito kipindi ichi cha corona kubwa kabisa ni issue nzima ya mzee baba rais jeuri hapa namzungumzia KIM JONG-UN...
 15. DAD'S SON

  Msaada kuhusu Mkoa mzuri ambao naweza kufanya Internship.

  Habarini wakuu, Naombeni msaada kuhusu mkoa gani ni mzuri kufanyia internship maana ndugu yenu muda si mrefu ntamaliza bachelor yangu kitika kada ya afya. Mikoa ni mingi kwa kweli na hospitali ni nyingi pia,naombeni msaada wenu maana huko ntakapoenda ndo ntaanza na maisha yangu rasmi. Sent...
 16. DAD'S SON

  Raymond Reddington, Professor, Michael Schofield nani Genius?

  Wapenzi wa movie wanaelewa nini nimeuliza hapo juu. Naomba nisipoteze muda sanaaa kwenye hili Kama umewahi kuona series ya blacklist naam utakuwa unamjua fika Raymond Reddington mzee alietumia akili nyingi sana mpk CIA na FBI wakaweka chini kofia.....pia FBI walimtumia sana kuwakamata waalifu...
 17. DAD'S SON

  Ulishawai kunafikiwa na rafiki?

  Ni ngumu sana binadamu kuishi bila rafiki hata Putin na ubabe wake ana rafiki,ila sometimes we meet with wrong friends. Mimi binafsi nilikuwa na rafiki mpaka ilifika stage tunapeana pesa bila kukopeshana yaaani tulikuwa kama ndugu vile, kwao naenda tunakula tunalala mara nyingine anakuja kwetu...
 18. DAD'S SON

  Breaking bad series bora kwa muda wote

  Wasaalam ndugu zangu, Mimi ni mfuasi wa tamthilia hasa ambazo watu wanatumia akili nyingi lakini pia zinazozunguzia maisha halisi ambayo jamii tunayoishi inaweza guswa kwa namna moja ama nyingine. Basi iko ivii Kama hukuwai kuangalia breaking bad basi jua ktk maisha yako ya ungaliaji wa...
 19. DAD'S SON

  Tusikubali akili ndogo itawale akili kubwa

  Akili(common sense)-ni ule uwezo wa mtu alionao kutatua vitu ambavyo anakutana navyo vya kimaisha na kuweza kuvitolea maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Je wajua kuwa mtu anaweza kuwa smart but akawa anakosa common sense(good sense and sound judgement in practical matters).Hapa ndo wengi tupo...
 20. DAD'S SON

  Hakuna utawala MTAMU kama wa awamu hii

  Katika historia niliyosoma ya nchi yangu TANZANIA nimegundua kitu kikubwa sana,ndo maana nikajikuta nataka kushare na nyinyi ndugu zangu. Utawala huu unanipa raha sana and Mungu atupe uhai tuone mengi sana zaidi ya haya. Utawala huu hauna na CCM wala cha UKAWA wote tunaramba Chumvi na ndimu...
Top Bottom