Search results

 1. MfalmewaKiha

  Hakuna sehemu watu wake wamestaaribika Moshi kama Marangu na Mwika

  Yote uliyo sema ni kweli kabisa
 2. MfalmewaKiha

  Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

  Imebidi nicheke tu, maana njaa naijuwa kuliko yanayo andikwa humu
 3. MfalmewaKiha

  Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

  Duu bro pole sana,Haya maisha Wakati Mwingine huwa siamin km kweli Mungu Ni wa wote
 4. MfalmewaKiha

  Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

  Nilienda Kahama kutafuta kazi migodin nikakosa,pesa nikaishiwa,Kutokana na njaa yenye viwango vya TBS Ilinilazim nianze kumtongoza mama ntilie anae lingana na mama yangu mzazi ,lengo niwe nakula bure, Njaa ilikua inaumaa mpaka natetemeka mwili,macho mekundu,Harafu nikiongea km vile nataka...
 5. MfalmewaKiha

  Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

  Tangu Alhamisi nachungulia km kuna jipya ila jamaa naona alikuwa anatuangua mizuka yetu iko vp, huenda ye mwenyewe alisimliwa akaona Asimlie
 6. MfalmewaKiha

  Tigo acheni wizi kwa vijana wa Kitanzania

  Wizi wa Tigo nilijua kuwa wanaibia tu walaji kumbe hata nyie wapishi mnaibiwa, Anyway pole sana, Jitahidi ubadilishe fikra fanya mambo mengine.
 7. MfalmewaKiha

  Tigo kwa heri, natumia line yenu nipigeni mawe

  Siamini ninacho kiona ayse
 8. MfalmewaKiha

  Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngara aondolewe Mara moja, amekuwa kero

  Tunaomba majina yake,kamili ili Tuweze kumTrack kwenye mazungumzo yake
 9. MfalmewaKiha

  Hii picha ya Hayati Magufuli na Mama Janeth imeniumiza na kunitafakarisha sana

  Kwa uandishi wako huu bila shaka we ni nshomile w katelero
 10. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Bro hapo ulipo upewe ulinzi, Unajitambua sana
 11. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Sisi wote ni wa Tanzania Kwanini tusipendane tu, Mtu akiwa na shida msaidie tu kama inavyotakiwa. Kwa kufanya hivyo hata milango ya Baraka inafunguka
 12. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Hujawahi kunyanyasika Ndio maana umesema hivyo,
 13. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Bro,Bro,Bro nimekuita mara 3, Nipo makini sana kuliko unavyo dhani,Ninacho jua hela zote au malipo Yote ni control number Basi,Na term hii nta record video za tukio mwanzo mwisho
 14. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Ukisema hivyo watasema tuna watisha,
Top Bottom