Search results

 1. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Wakuu kwema? Naomba kujua jambo kuhusu kesi zinazohusu jamhuri. Taasisi ya serikali ikikushtaki na ukakamatwa na mwisho wa kesi ikagundulika huna hatia, na wakati unakamatwa vifaa vya ofisi vyote vilichukuliwa kama vielelezo ikiwemo computer zote:- Je, vifaa vyangu nitarejeshewa au sitovipata...
 2. Mr. Purpose

  Martial artist tukutane hapa

  Inafahamika kama Nunchaku. Wengine wa mtaani wanaiita Cheni (kila mmoja uipachika jina lake kwa namna yake). Tupeane experience na mbinu mbili tatu. Uliijulia wapi na ulijifunzia/Fundishwa wapi na kwasasa uwezo wauonaje katika kutumia silaha. Nianze, binafsi niliiona kwenye movie ya Bruce Lee...
 3. Mr. Purpose

  Unataka kufika mbali? Tafuta mshauri (Mentor)

  Umelelewa na wazazi/ walezi na wakakusimamia vema, wakakusomesha mpaka hapo ulipofikia hatakama ni pa dogo, ila wamekuwa ni sehemu ya wewe kupata mwanga na kutokeza katika hatua ya kwanza kimaisha. Kwa muda huo ulikuwa na washauri na watu wa kukuonya juu ya nini ufanye na nini usifanye ili...
 4. Mr. Purpose

  Anahitajika kijana yeyote kwaajili ya kuendesha social media accounts

  Habari wakuu? Anahitajika kijana jinsia yeyote kwaajili ya kuendesha social media accounts na atafanya kama part time job. Sifa zinazohitajika: 1. Uwe na ujuzi wa masuala ya graphic design. 2. Uwe na uelewa na uzoefu na hizi social media (Facebook, Instagram, twitter, whatsap business pia)...
 5. Mr. Purpose

  Unafanya nini kabla ya kulala ili kupata usingizi mzuri?

  Habari wakuu! Ili kuishi maisha ya furaha na kuwa na afya njema kulala usingizi mzuri ni sehemu muhimu ambayo huweza kuimarisha afya ya akili na mwili pia. Leo naomba tujadili, wewe ili upate usingizi mzuri, unafanya nini kabla ya kulala? Nikianza Mimi Mr. Purpose binafsi, ili nipate usingizi...
 6. Mr. Purpose

  Usikubali kutoka hapo ulipoajiriwa jinsi ulivyoingia

  Wakuu habari? Nimekuwa mtu wa kutoa comments sana na kuanzisha threads kutegemeana na uhitaji wangu. Ila nimeona ni wakati muafaka kuanza ku-share kile nilichojaaliwa na Mungu. Twende kwenye point ya msingi. Ipo hivi, wewe uliyeajiriwa kwenye hiyo kampuni usikubali kutoka hapo jinsi...
 7. Mr. Purpose

  Naomba nafasi yoyote ofisini kwako

  Habari wakuu? Mimi ni kijana wa miaka 24, nipo Dar es salaam, Kurasini maeneo ya uhasibu. Nipo hapa leo kuomba nafasi ya kazi yoyote kulingana na uzoefu wangu huu. 1. Nimefanya kazi ya stationery, nina uzoefu sana upande wa kazi za internet cafe, zile online applications za aina mbalimbali...
 8. Mr. Purpose

  Kwa wale madalali nahitaji chumba

  G
 9. Mr. Purpose

  Godoro 5 x 6, inchi 8

  Godoro lipo vizuri , inchi 8, 5x6 bei 145000 Lipo Mtoni Kwa Aziz Ally. Mawasiliano 0687934511
 10. Mr. Purpose

  Tupeane dondoo kuhusu online business - Sehemu ya kwanza

  Na Mr. Purpose. Nimekuwa nikifanya online business kuanzia mwaka 2018, ambapo nakumbuka nilikuwa nafanya application za vyuo, mkopo na usajili wa makampuni kupitia BRELA. Huduma hizo nilianza nazo na nilikuwa na uwezo wa kuwahudumia wateja popote walipo Tanzania. Haikuwa rahisi mwanzoni kwani...
 11. Mr. Purpose

  INAUZWA Printer HP deskjet 1515 ink advantage

  Printer haina tatizo lolote HP deskjet Model 1515 Print, scan and photocopy Bei 120,000 Location mtoni kwa Aziz ally Mawasiliano 0687934511
 12. Mr. Purpose

  Fursa kwa wamiliki wa stationary, shule, wanafunzi, waalimu na wadau wa elimu

  Habari wakuu, ni matumaini yangu mko vizuri. Leo nimewaletea fursa kwa wale wamiliki wa stationary, wamiliki wa shule au taasisi za kiellimu, wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi kidato cha sita na hata wazazi pia wanaweza nufaika. Upatikanaji wa material ya kujisomea kwa wanafunzi umekuwa...
 13. Mr. Purpose

  KITANDA 5X6 KWA ANAYEHITAJI

  K
 14. Mr. Purpose

  Laptop sokoni

  H
Top Bottom