Search results

 1. DAD'S SON

  What's your favorite movie line/quote?

  This ain't chemistry,this is art cooking is art. Jesse pinkman breaking bad Sent using Jamii Forums mobile app
 2. DAD'S SON

  What's your favorite movie line/quote?

  You know the business,I know the chemistry. Mr white breaking bad s01E01 Sent using Jamii Forums mobile app
 3. DAD'S SON

  Tuliowahi kupewa hela na wanawake

  Mkuu haya maneno yanaonyesha experience km sikosei[emoji23][emoji23]. Wanene njoon mjibu hii Sent using Jamii Forums mobile app
 4. DAD'S SON

  Tuliowahi kupewa hela na wanawake

  [emoji23][emoji23] mamdogo uko na jazba sna. Walikufany nn wanaume wenzang mpk imekuwa iv Sent using Jamii Forums mobile app
 5. DAD'S SON

  Tuliowahi kupewa hela na wanawake

  [emoji23][emoji23][emoji23] na ww dai samani za ndani Sent using Jamii Forums mobile app
 6. DAD'S SON

  Breaking bad series bora kwa muda wote

  Mkuu sio inaitwa El Camino maana ndo movie inayomzungumzia Jesse Pinkman baada ya BB na imeshatoka mbona Sent using Jamii Forums mobile app
 7. DAD'S SON

  Cross-Examination Mahakamani

  Very deep,alafu kuna watu wanashabikia tu. Ila ile speech ina maswali mengi sana ambayo majibu yake itabidi ujijibu mwenyew Sent using Jamii Forums mobile app
 8. DAD'S SON

  Leo Nimejaribu kwa pupa Kusoma kitabu, Nimeishia pg ya Tatu chali, Shikamooni JF bookworms

  Nina vitabu kama 500 iv kuna siku nakuwa moto san il naishia chapter 5 au 6 sijui nani anacheza na medulla yangu Sent using Jamii Forums mobile app
 9. DAD'S SON

  Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

  Mkuu mbn unahasira sana. Kwa hasira hizi msomi huwezi kumpelekesha maana kila kitu lazima akuchallage. Sent using Jamii Forums mobile app
 10. DAD'S SON

  Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

  dem anamjua mpk waliomzika Yuda,dem anawajua mpk wale watu buku waliopewa mikate na yesu[emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 11. DAD'S SON

  Football is back

  Keno ipoje iyo??! Sent using Jamii Forums mobile app
 12. DAD'S SON

  Tuliowahi kusaliti na kusalitiwa tukutane kwenye mkutano

  [emoji23][emoji23] wasaliti ni wengi ila wamekimbia na wamegoma kutoa mawazo. Wasalitiwa ndo kabisaa hawataki hii story coz inatonesha kidonda Sent using Jamii Forums mobile app
 13. DAD'S SON

  Calculator ya kodi ya gari TRA imepunguza thamani ya baadhi ya magari?

  Seat ya nyuma hapa nimetulia nasubiri majibu huku nafikiria kuleta Chevrolet Sent using Jamii Forums mobile app
 14. DAD'S SON

  Mliowai kukimbia kulipa bili mje hapa

  Ohoo vitu vyangu vile. Bongo wanafeli sana sababu ya capital huwezi kutengeneza movie kali na quality km ile kwa bajeti ya 10m au 50m ni lazima umenyeke haswaa at least 200M unaweza tengeneza mov watu km sisi tukapoteza muda kuiangalia Sent using Jamii Forums mobile app
 15. DAD'S SON

  Mliowai kukimbia kulipa bili mje hapa

  Alafu wakakutan kwenye night class na muhudumu Hatari sana. Sent using Jamii Forums mobile app
 16. DAD'S SON

  Tuliowahi kupewa hela na wanawake

  Hakika Mkuu Kudate na team ndingandanga ni hatari sana ila ukipata mtoto yuko smart kichwa kutoka familia safi anaelewa nini anataka kwako ila hawa team of side ni balaa tupu yani ni uparasite mwi mwa. Sent using Jamii Forums mobile app
 17. DAD'S SON

  Mliowai kukimbia kulipa bili mje hapa

  [emoji23][emoji23][emoji23] sister jane alikimbia bill nae. Sent using Jamii Forums mobile app
 18. DAD'S SON

  Mliowai kukimbia kulipa bili mje hapa

  [emoji23][emoji23] umeamua kunipa mzigo dah story ya mzee wangu niliekuwa nakula nae kitabu. Of course kumwambia Mtoto mzuri ataje kiwanja cha kula bata ni moja ya mistake kubwa sana,utakimbia bill sana. Sent using Jamii Forums mobile app
 19. DAD'S SON

  Football is back

  Ni habari njema sana kwa wapenzi wa soka dunia,tumeona jana ligi kuu German imerudi,hii inaatupa matumaini na ligi zingine kurudi mwishoni mwa mwezi huu zingine mwanzoni mwa mwezi ujao. Mashabiki wa Liverpool naowaona wakiwa na furaha isiyo na kifani baada ya kusikia league haifutwi na...
 20. DAD'S SON

  Mliowai kukimbia kulipa bili mje hapa

  Wasalaam, Binadamu ni kiumbe hatari sana na very smart creature kuwai kuumbwa. Lengo la uzi tuambiane namna gani uliweza kuescape kulipa bill,iwe ilikuwa bar,hotel ama popote pale ila Mwisho wa siku ulifanikiwa kukimbia kulipa bill. STORY FUPI Mwanangu mmoja alikuw ni mzee wa totozi...
Top Bottom