Search results

 1. Idd Ninga

  Chapa ya Mnyama

  Chapa ya Mnyama Mrefu tena mpole,rangiye ya kupendeza Rangi kama ya vipele,manyoa ya kuteleza Wale wazee wa kale,wao walipendekeza Chapa ya huyo mnyama,yafaa wakilogewa. Mwenye mwendo wa maringo, na mwili ulonyooka Ndefu sana yake shingo,matawini inafika Hawa walishwa uongo,kumbe wamelaanika...
 2. Idd Ninga

  Shairi: Mzururaji

  MZURURAJI Nenda kote uzunguke Kapayuke upasuke Umbea kautangaze Na taifa uliuze Wazalendo twasubiri Kikinuka tukuanze Mjinga sana ni wewe. Kijijini una ndugu Tena masikini sugu Kula yao hawajui Nyumba mbavu ya mbwa Godoro lao busati Ila wewe kichwa maji Kutwa kiguu na njia. Asili yako kiburi...
 3. Idd Ninga

  Tuungane kwa pamoja kupinga ukatili wa kimtandao dhidi ya wanawake

  Udalilishaji na ukatili wa kijinsia dhidi ya mwanamke umekua ukichukua nafasi katika jamii ya watumiaji wengi wa mtandao nchini Tanzania huku idadi ya wanawake na mabinti wakizidi kunyanyaswa kupitia mitandao ya kijamii. Picha na video za udhalilishaji wa mwanamke zimekua zikisambazwa na baadhi...
 4. Idd Ninga

  Waso na maono,watawachagua.

  WASO NA MAONO,WATAWACHAGUA Naam Haina ubishi,hao Wasojitambua Wasojielewa Waso na maono. Tuseme tu Ndio wao,viherere Barabarani,na vikengele Vigelele,wapiga makofi Tutawachagua. Tena Kwa mara nyingine Tuwape ulaji Wale,wanenepe Si ndio. Hivyo Tena,hivyo hivyo Ndivyo tunataka,tumelogwa Tena...
 5. Idd Ninga

  IYD-Siku ya vijana duniani,Arusha

  Siku ya vijana kitaifa,maadhimisho yanaendelea katika ukumbi wa mkuu wa wilaya Arusha.
 6. Idd Ninga

  Madhara ya Rushwa katika Uchaguzi

  #UchaguziMkuu2020Tz.
 7. Idd Ninga

  Uchaguzi 2020 Nalitamani jimbo la Arusha mjini,ni wakati wa vijana wachapa kazi

  Haja yangu ni kuliona jimbo la Arusha mjini likiwa Geneva ya kweli ya Afrika,kuigeuza na kuifanya Arusha kuwa makao makuu ya utalii Afrika ya mashariki na kati na kuweka mikakati na mipango na wadau wa utalii katika jimbo hili kuhakikisha utalii unatangazwa na vijana wanapata ajira ya uhakika...
 8. Idd Ninga

  Tungo huru si mashairi

  TUNGO HURU SI SHAIRI Msiojua kutunga, leo nawapa salamu Tungo mnazozitunga, siyo tungo mfahamu Mnapaswa kujipanga, na mtunge kwa nidhamu Leo naimwaga mboga, tungo huru si shairi. Mashairi bila vina, si shairi mtambue Nitasema mkinuna, mkitaka mjiue Hapo utunzi hakuna, rukeni mjibenue Leo...
 9. Idd Ninga

  Mjadala wa Bajeti ya Mwaka 2020 kwa njia ya mtandao. Jiunge sasa

  MDAHALO WA BAJETI UKUMBI: ZOOM Topic: Mdahalo Kuhusu ya Nafasi ya Vijana Katika Bajeti MPYA 2020-2021 Time: Jun 27, 2020 11:55 AM Africa/Dar_es_Salaam Join Zoom Meeting Join our Cloud HD Video Meeting Meeting ID: 786 0216 8531 Password: 2sqLi9
 10. Idd Ninga

  Shairi: Siku Nikipata Demu

  SIKU NIKIPATA DEMU. Nasema kinywa kipana , sasa nihofie nini, Tena nasema kwa vina, kweli kutoka moyoni, Maneno yatapangana , nitanadi hadharani, Siku nikipata demu , ulimwengu utajua Mbona nikipata mwali, mtaona mashauzi, Nitajifutua kweli,kwa kimwendo cha mapozi, Mtaniona fedhuli, nikimpata...
 11. Idd Ninga

  Shairi - Nimekufa

  NIMEKUFA Masikio yameziba, sisikii na sioni Shingoni yamenikaba, nimelegea moyoni Ni nani wa kunibeba, nyota ipo ukingoni Nimekufa nimeoza, nasubiria kunuka. Niache niwe mtumwa, penzi lake ni kifani Hata kama nitasemwa, simwachi yeye jamani Hata mate nikitemwa, namganda kifuani Nimekufa...
 12. Idd Ninga

  Shairi: Karibu Ngomani

  KARIBU NGOMANI Manju utamu wa ngoma, ingia ndani ucheze Kuicheza ukigoma, siyo marimba ukaze Ngoma siyo homa homa, mdundo tusiuwaze Karibu tena ngomani, uone hali halisi. Wale walojua ngoma, waganga na waganguzi Sindano uliwachoma, ukawapa wauguzi Hawajui ukasema, eti wao wapuuzi Karibu tena...
 13. Idd Ninga

  Ushairi: Ngoma yaanza Kudunda

  NGOMA YAANZA KUDUNDA Alisema hii ngoma, hii ngoma ya zamani Ngoma isiyo na noma, akatupa tumaini Ngoma ya watoto jama, wakubwa mcheze nini Ngoma yaanza kudunda, manju huyo kajificha. Wajanja waliisoma, hii ngoma ya Uswini Ngoma hii siyo kama, inadundia hewani Wale waloitazama, walisema ni...
 14. Idd Ninga

  Lema afata nyayo za Mashinji,ajiunga CCM

  Mnisamahe ndugu zangu nipo naota ndoto za jioni ukichanganya na haka kammea ka Arusha basi mtu unaota mambo ya ajabu ajabu kweli
 15. Idd Ninga

  Nimeota ndoto kama Martin Luther King

  Eti mwaka 2020 katika uchaguzi mkuu vitambulisho vya NIDA vitatumika katika kupigia kura,wapiga kura watakua wengi mno,na ushindi wa kishindo utatokea. Hizi ndoto jamani,sijui kwanini imenirudia wiki nzima Mara paaap na huu uzi umeunganishwa,wakati ndi ndoto za uchaguzi,Jf bhana,.
 16. Idd Ninga

  Azam Ukwaju, badilini umbo la bidhaa yenu, wanaume wanapata tabu

  Unajikuta mwanaume upo kwenye Hiace, unanunua Ukwaju wa Azam unaanza kushusha taratibu, mara ghafla paap mdada anaingia ndani ya gari na yeye kashikilia ukwaju anaunyonya taratibu, ukimtazama jinsi anaushambulia kwa mashambulizi ya kimya kimya, anauweka mdomoni anautoa, dah! Yani mwanaume...
 17. Idd Ninga

  Huyu ndie Ally Bin Jahadhamiy,muite Basha Ally

  ALLY BIN SAID BIN RAASHIDI JAHADHAMIY Ushairi katika Afrika ya mashariki umekua na historia ndefu,historia ambayo ipo inayo julikana wengi na zipo ambazo zinajulikana na watu wachache mno,na nyingine zikiwa zimepotea na kutoweka bila ya kuandikwa wala kuwekewa kumbumbuku zozote,historia...
 18. Idd Ninga

  Wanawake kwa hili tuambieni ukweli

  Hivi mbona huwa hamtupi majibu ya uhakika? Mbali na mapenzi (sex), muna kitu gani kingine cha kutupa sisi wanaume?
 19. Idd Ninga

  Kwanini Iran itapigwa mapema mno

  Vita, vita hususani kwa mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi,hupiganwa kwa njia ya ushirikiano mkubwa na uzalendo wa hali ya juu. Wananchi wao na majeshi yao hutegemea urafiki kupiti baadhi ya mataifa yao ambayo ni washirika wanaofichiana siri na mambo mengi. Washirika hao huanzisha vita kwa...
 20. Idd Ninga

  Shairi: Uwaneni

  UWANENI Uwaneni! Chinjanen! Chukianen! Amani tena ya nini?. Piganeni! Shindaneni Mwende vitani? Nawasemesha wahuni. Wamarekani! Pia Irani! Ni mashetani? Mliopo duniani Yenye amani Tatizo nini? Majukwaani Mwaharibu amani. Vingi vijembe Vya wala sembe Nyinyi mang'ombe? Ziacheni zenu bangi...
Top Bottom