Search results

 1. nsimba

  Suluhisho la umeme kwa watanzania wote liko wazi: Vijijini na mijini

  Kama ni kweli kuwa kwenye mradi wa IPTL serikali inalipia tshs 152, 000, 000 kwa siku basi suluhishisho la kuwapatia wananchi wote wa tanzania umeme liko wazi-kama si ufisadi. Kwa msingi huo ni kuwa serikali inauwezo kifedha kuweka miundo mbinu ya kuweka umeme vijijini na mijini kwa watanzania...
 2. nsimba

  Kwa hali ya jinsi hii: Maendeleo ya kijamii na kiuchumi itabakia kuwa ndoto

  Standard Three pupils of Chinyarira Primary School in Nanyumbu District, Mtwara Region, while away the time outside their classroom, as captured by our correspondent yesterday. (Photo:Correspondent Happy Severine)
 3. nsimba

  Rais anaposhindwa kutolea maamuzi vikwazo wapatavyo watendaje wake humanisha nini???

  Hebu soma kipisi hiki cha habari wakati rais akitembelea wizara ya uchukuzi: (IPPMEDIA 23 machi 2011) "Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), Israel Sekirasa, amelichongea Jeshi la Polisi nchini kwa Rais Jakaya Kikwete kuwa ndiyo kikwazo cha...
 4. nsimba

  Ninaamini "stop" kwa magufuli ya jk na pm inamasilahi kwa mafisadi na ya kisiasa kuelekea 2015

  "...Ni hatua inayoibua maswali mengi kuliko majibu. Kwa mfano, kwa nini Rais Kikwete na Waziri Mkuu Pinda waliona vyema kumkaripia Waziri Magufuli hadharani, tena kwa kauli za kumdhalilisha mbele ya wafanyakazi na wapigakura wake ili aonekane kama mtu katili asiye na utu wala ubinadamu? Kwa nini...
Top Bottom