Search results

 1. Online Pastor

  Nazipataje "Redeem Code" za Supabet!?

  Wakuu naomba kuelekezwa jinsi ya kupata code hizi kwa wale ambao ni wateja wapya wa Supabet
 2. Online Pastor

  Hivi Open University of Tanzania Wameshatoa Majina Ya Wale Waliomba Lozi Moja Kwa Shahada ya Kwanza!

  WakuNingependa kujuwa kama Chuo Huria nao wameshatoa majina kwa wale waliomba shahada ya kwanza!?
 3. Online Pastor

  Hivi Open University of Tanzania wameshatoa majina ya walioomba kusoma shahada ya kwanza?

  Wakuu, Naomba kuuliza kama OUT wameshatoa majina ya waliomba udahili wa shahada ya kwanza?
 4. Online Pastor

  Naomba ufafanuzi kuhusu Ofisi ya Taifa ya Mashitaka

  Wakuu, Kwa wenye uelwa,naomba ufafanuzi wa kisheria,kimuundo na kimfumo wa Ofisi hii. Pia ningependa kujua majukumu yake,nguvu yake katika kutoa maamuzi ya kisheria! Natanguliza shukrani.
 5. Online Pastor

  Fursa za Kimaisha nchini Kuwait

  Wakuu, Sisi wote ni vijana,hivyo ni vizuri kushirikishana. Miye ningependa kwenda nchini Kuwaiti kuwa minajili ya kibiashara,na pia pia kwa makazi ya muda mfupi. Ningependa kujuzwa na wale walio kwisha kwenda huko,je: 1)Ni biashara ipi ambayo naweza peleka,na taratibu za kuifungua? Mathalani...
 6. Online Pastor

  Naomba mawasiliano ya afisa mtendaji kata ya Usagara Mwanza

  Wakuu, Samahani kwa usumbufu. Kama kuna mdau mwenye mawasiliano ya afisa tajwa hapo juu,yawe ya kiofisi au binafsi. Natanguliza shukrani.
 7. Online Pastor

  Registration fee kwa kuomba kujiunga na Chuo Kikuu Huria ni shillingi ngapi?

  Wakuu, Kwa mwaka huu wa masomo,ni kiasi kinahitajika unapoomba nafasi chuo huria kwa ngazi ya shahada? Thanks in advance!
 8. Online Pastor

  Naomba sample ya barua ya kuomba kibali cha kuhamia halmashauri iliyo mkoa mwingine.

  Wakuu, Naomba mwenye nakala ya barua inayoonyesha mfumo mzima wa barua ya kuomba kibali cha kuhamia halmashauri nyingine katika mkoa mwingine. Au layout nzima ya kuomba kuhamia halmashauri nyingine katika mkoa mwingine bila ya kubadilishana na mtu. Thanks in advance!
 9. Online Pastor

  TANZIA: Diwani Elia Shukia wa Kata ya Mwanhuzi na Katibu wa Mbunge Meatu afariki kwa ajali ya gari

  Wakuu, Kwa taarifa za awali ni kuwa Mhe Elia Shukia amefariki leo kwa ajali ya gari maeneo ya Manyoni. Mhe Elia ambaye pia ni katibu wa Mbunge wa jimbo la Meatu alikuwa akitokea mkoani Dodoma,akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Wilaya ya Meatu,Mwenyekiti wa Halmashauri na Dereva la gari husika...
 10. Online Pastor

  Hivi minimum qualification ya kusoma LLB pale Open University ni ngapi?

  Wakuu, Naomba kuuliza kwa mwaka huu wa masomo 2018/2019 minimum qualification kwa kozi ya LLB ni ufaulu upi?
 11. Online Pastor

  Msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa wapata ajali Meatu

  Msafara wa Ndugu Kheri James Denice wapata ajali wilayani Meatu baada ya gari ya polisi kuchomoka tairi hivyo kuziba njia na magari ya nyuma kupandiana barabarani. More updates: Majeruhi wamefikia watatu wamepelekwa hospitali ya Mwandoya kwa huduma ya afya na gari ya basi ya Rombo imepata ajali...
 12. Online Pastor

  Msaada:Naomba Softcopy ya Syllabus ya Bible Knowledge Form 1 to 4

  Wakuu, Naomba mwenye hio syllabus anisaidie Plz
 13. Online Pastor

  Nahitaji nafasi ya kufundisha Bible Knowledge kwa mkoa wa Mwanza

  Wapendwa, Ninafanya kazi kuhubiri na kutoa huduma ya kiroho kwenye taasisi mbalimbali. Nitakaa Mwanza kwa miezi mitatu au minne katika likizo yangu. Hivyo ninependa kufundisha Bible Knowledge katika taasisi za Umma au Binafsi. Pia ninaweza kufundisha masomo ya Geography,History na English...
 14. Online Pastor

  Naomba kufahamishwa kuhusu kanisa la New Life in Christ

  Wapendwa, Nimekuwa nikikutana na kanisa hili katika huduma zangu za kiroho na muda mwingi sikulipeleleza sana. Ila hapo jana nilikutana na muumini wa kanisa hili,japo hakujieleza vizuri na kulipambambanua kanisa lake,ila nilipata mwanga kidogo. Mwenye kuwajua vizuri hawa jamaa naomba afunguke...
 15. Online Pastor

  Hivi Serikali ilishaupeleka Muswada wa Sheria ya Kudhibiti na Kusimamia Biashara ya Vyuma Chakavu Bungeni?

  Mnamo mwezi Aprili mwaka huu,Serikali kupitia Wizara ya Biashara iliahidi kuleta Rasimu ya Muswada wa Kusimamia na Kudhibiti Biashara Chakavu. Bunge la Bajeti limekwishwa na hili la mwezi wa kumi na moja limeshakwisha. Ninachoomba kujuzwa ni je hiyo Rasimu ilishaletwa Bungeni na kupitishwa ili...
 16. Online Pastor

  Naomba Orodha ya Vitabu vya Kiingereza vya Kujibia Kidato cha Tano na Sita!

  Wapendwa, Naomba orodha ya vitabu vya kujibia somo la Kiingereza kidato cha tano na sita vya Ushairi,Riwaya na Tamthilia. Natanguliza shukrani.
 17. Online Pastor

  Ukikutana na mtu anayekususia deni au kitu chochote katika awamu hii huyo ni mzuri sana..

  Kususa hakujaanza leo. Kama unakutana na wasusaji leo hii katika awamu hii ngumu kiuchumi,kisiasa na kijamii usijilaumu wala kujisikia vibaya. Ebu mshukuru Mungu,cause that is a blessing in disguise. Ukitaka kuamini kuwa ni baraka iliyojificha,ebu mkumbuke mtu kama Nabii Yona. Nabii Yona...
 18. Online Pastor

  Jina la kitaalamu la tunda hili na mti huu ni nini?

  Tunda hili huitwa mtogo na matunda yake huitwa matogo kwa kinyiramba. Kinyamwezi huitwa mahonda,na karibu kila lugha ina jina lake. Matunda yake yakiiva huwa matamu ya huwa magumu kabla ya kutafunwa,na huwa malaini kama makamasi. Wanyiramba huyaita bigiji ya asili. Naomba jina la kitaalamu...
 19. Online Pastor

  Hivi kuna walimu wa Bible Knowledge humu?

  Wapendwa, Nina shida nanyi,kama hamtojali naona mjongee hapa. Karibuni sana.
 20. Online Pastor

  Hivi kuna nyimbo za injili za kuchezeka na kuhamusha ari ya kumsifu Mungu kama za AIC?

  Miye ni muumini mkubwa wa nyimbo bora za injili,na hata maktaba yangu ya nyimbo imejaa nyimbo toka madhehebu karibu yote. Nina old and new school songs za RC,KKKT,SDA,AICT na nyinginezo. Binafsi,miye nimezaliwa katika u-KKKT na japo nilishaachana na udhehebu,ila navutiwa zaidi na nyimbo za...
Top Bottom