Search results

 1. Keynes

  TBC ni television ya Taifa au ya chama fulani?

  Ina tusikitisha sana kwa kuwa habari za bunge zimekuwa zikirushwa live kama hoja zilizopo ni za CCM ila kama mjadala umeletwa na chama kingine mtawekewa ngoma .....Mara oh mtambo wetu dodoma umeharibika. What nonsense is this?
 2. Keynes

  Kutoka Davos: Misaada sasa basi kwa Africa Especially Tanzania

  Heri ya mwaka mpya bandugu Umbea kutoka DAvos Wa zungu wanaofuatilia mkutano unaondelea huko Davos,wanasema misaada sasa basi maana utajiri tumeukalia. Our economics editor Larry Elliott has been watching Gordon Brown's Africa session. He sends us these thoughts Gordon Brown is chairing a...
 3. Keynes

  Kuhusu SONGO SONGO Gas

  Jamani wana JF naomba michango yenu kuhusu ule ubadilishaji wa magari kutoka mfumo wa kutumia petroleum fuel kwenda kwenye gas uliokua unafanywa na TPDC umefikia wapi? Kama kuna mtu mwenye taarifa kamili tunaomba atuelimishe. My concerns. Matumizi ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje 60% ya...
 4. Keynes

  Vipi ofisi ya makamu wa Rais imehamishiwa kwenye mbuga za wanyama serengeti?

  Jamani wana JF na wana jukwaa la siasa naomba kuuliza. Je ofisi ya makamu wa rais imehamishiwa kwenye mbuga za wanyama siku hizi??...Maana tangu mwezi wa 12 mwaka jana vyombo vya habari vinaripoti yupo ziarani kwenye mbuga za wanyama na wakeze wawili!! Je hii ndo ilikua sababu ya kugombea...
 5. Keynes

  CUF watoa Tamko kali juu ya mauaji ya Arusha

  Mh. Prof lipumba kajieleza vizuri sana kuhusu mauaji ya arusha. Kama viongozi wa siasa wote watakua na umoja kama huu lazima mabadiliko yatapatikana tu. source; Nukuu just kipengele. Hivi tujiulize kama kweli pana tishio la ugaidi iweje mechi za mpira ziendelee bila kuzuiwa na polisi...
 6. Keynes

  Msamaha kwa mafisadi na mwaka mpya.

  Ndugu wana JF. Kwa muda mrefu tumekua tukipiga makelele ya ufisadi bila kutoa muafaka au solution. Kutokana na uongozi wa nchi kuonekana kua umeshindwa kurudisha maliasili zilizoibiwa na mafisadi na kufichwa nje ya nchi kwa mantiki kwamba katika kila dili la ufisadi ni viongozi wengi wa...
 7. Keynes

  Hii ni dharau kubwa kwa wizara ya mambo ya ndani

  Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya Knight Support,David Sutton akitishia kuondoka kikaoni kwa ghadhabu baada ya Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Jenerali Matwani Kapamba (kushoto)kumueleza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Shamsi Vuai Nahodha(wa pili kulia)kuhusu kampuni...
 8. Keynes

  Tunaposheherekea miaka takribani 50 ya uhuru wa Tanganyika, tunajivunia nini?

  Tarehe 9 disemba kama kawaida tutaalikwa pale uwanja wa taifa kwenda kusheherekea sikukuu ya uhuru na kuangalia ndege za mitumba za jeshi kutoka nchi za magharibi tukiwa na mafanikio yafuatayo UMEME - ni asilimia 14% tu ya watanzania milion 40 wanapata umeme ambao pia ni wa mgao MAJI- Ni...
 9. Keynes

  Elections 2010 Sasa tusubirie majambazi watakaopangwa kwenye first eleven

  Sasa tayari washajitawaza jamani mi nasubiria nione wezi watakao pangwa kwenye hilo baraza la mawaziri. Sio ajabu huyu mtu asivyo na aibu akawarudisha wale watuhumiwa wa ufisadi kwenye baraza la mawaziri. EE MUNGU PITISHA MBALI MAANA hii ni dharau kubwa kwa watanzania inaweza kunifanya nitupe...
 10. Keynes

  Elections 2010 Maoni kwa wana JF

  Ni kweli yawezakua hawa mafisadi walifanya uchakachuaji wa kura za uraisi. Lakini hata hivyo kulingana na vyama vya upinzani kutokua na umoja na nguvu ya pamoja hawakuweza kufika hadi vijijini kuelemisha wapiga kura sawa sawa. Hata Dr Slaa nakumbuka alikiri siku akihojiwa na waandishi wa habari...
 11. Keynes

  Elections 2010 Vipi same kwa mama anna kilango??

  Jamani naombeni taarifa kama kuna mtu mwenye data kama huyu mama kashinda maana bado tunamhitaji bungeni hata kama ni wa kijani
Top Bottom