Search results

 1. linyaku

  Nahitaji billboards kama hiii

  Mwenye anajua inapatikana wapi
 2. linyaku

  Msaada wa shockup za starlet za ges

  Jaman nina gari yangu starlet nimekuwa nikinunua shockup mpya lakini hata siku 2 zishakufa sasa msaada na ushauri shockup nzuri kampuni zaid ya jumbo Sent using Jamii Forums mobile app
 3. linyaku

  Naomba kuuliza ulaji wa mafuta kwa toyota brevis

  Naomba mnisaidie cc 2500 Sent using Jamii Forums mobile app
 4. linyaku

  Natafuta gari ya kutembelea inayotumia mafuta kidogo, iwe starlet bei isizidi mil 3.5

  Jamani nataka kununua gari ya kutembelea mimi shughuli zangu ni ndogo2 naipenda sana starlet au duet na nipe ubora wake kama starlet ila duet nackia spea ghari na hata kuna gari aina hizo ndogo2 ambayo spea zipo na bei rahisi
 5. linyaku

  Lini kwenda vyuo vikuu 2014/2015

  Naombeni kuuliza hivi ni mwezi gani wanaenda vyuo kuanza kwa watakao chaguliwa? Msaada please!
Top Bottom