Search results

  1. mFuKuZa nDoTo

    True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

    Watu wa Jamii Forum Salaam, Naitwa Mfukuza Ndoto, Nina umri wa katikati ya ujana naishi mkoa fulani kanda ya kati. Basi bwana mnamo mwaka fulani nikiwa na 20+yrs nilitokea kumpenda binti fulani toka nyanda za juu kusini, binti huyo alikuwa mwanafunzi wakati huo katika chuo fulani hapa mjini...
  2. mFuKuZa nDoTo

    Msaada hatua za kufuata ili kubadili jina kisheria

    Wakuu, Poleni na majukumu ya kila siku, nisiwe na maneno mengi naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada husika. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, binafsi kadri siku zinavyosonga najikuta nahusudu zaidi uafrika na kutupia mbali uzungu. Spirit hii imeanza kunikaa kwa kiasi cha kutisha lakini...
Top Bottom