Search results

 1. MfalmewaKiha

  Tigo kwa heri, natumia line yenu nipigeni mawe

  Siamini ninacho kiona ayse
 2. MfalmewaKiha

  NIDA nakuja kuchukua kitambulisho changu

  Takriban mwaka mmoja ulio pita Niliahidi kumshikisha au kuwasilisha Maafisa wa uhamiaji kwenye mikono ya sheria baada ya kuwa na uhitaji wa Hati ya kusafiria Ukisoma kwenye website yao inasema na kutoa maelezo na gharama za kupata Hati ya kusafiria ambayo bei yake ni shilingi 150,000 ila pamoja...
 3. MfalmewaKiha

  Hospitali ya Mwendakulima, Kahama lugha chafu kwa wahudumu zimezidi ichunguzeni

  Habari zenu wadau, Niende kwenye Mada husika, Kiukweli katika jamii hospitali ni sehemu nyeti sana kwani mtu anapo hisi Afya kuzorota NDIO sehem peke ya kukimbilia, Cha Ajabu hii hospitali ya MWENDAKULIMA_KAHAMA,ni tofauti na kile wengi wanacho kitegemea, 1_Wahidumu wa pale huwezi fanikiwa...
 4. MfalmewaKiha

  Nipo Rusumo kwa nia ya kuingia Rwanda ila hapapitiki

  Wadau Habari, Wiki chache zilizo pita nilileta Thread ya kwamba nategemea kwenda Rwanda, na kweli juzi nimeanza Safari yangu ya kufanya hivyo,Ila kwa bahati mbaya wageni wanaoingia ni wachache sana kuliko. Sasa hivi wanahitaji VISA kwakuwa mipaka imefungwa. Kwa bahati mbaya sina Visa hiyo...
 5. MfalmewaKiha

  Je, Rwanda wameshafungja mipaka? Rusumo panapitika?

  Ndugu zanguni habari zenu, Binafsi nimekuwa na shauku kubwa ya kwenda kutembea nchini Rwanda. Lakini pamoja na hayo kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya juhudi za kupata mwenyeji huko hadi sasa nimesha pata watu karibia 3 ambao wamekubaki kuni Host. Mipaka ilifungwa kwa Sababu ya kupunguza...
 6. MfalmewaKiha

  Narudia tena,hawa Polisi wa Babati Mjini waangaliwe upya

  Habari zenu wakuu,poleni kwa makujumu, Leo nimekuja hapa kuwapa Taarifa,Kazi ya Police ni pamoja ma kulinda usalama wa Raia, Nk. Katika hali isiyo ya kawaida kuna MAASIKARI police wanao tembea mitaani kwaajili ya kukamata pikipiki,maarufu km SANYA,Hawa asikali kwa Babati mjini wako 4 ,kwa...
 7. MfalmewaKiha

  Maaskari Polisi (wawili) wa Babati wanaokamata pikipiki (sanya/voda fasta) wamekuwa kero kwa rushwa

  Habari zenu wakuu,poleni kwa makujumu, Leo nimekuja hapa kuwapa Taarifa,Kazi ya Police ni pamoja ma kulinda usalama wa Raia, Nk. Katika hali isiyo ya kawaida kuna MAASIKARI police wanao tembea mitaani kwaajili ya kukamata pikipiki,maarufu km SANYA,Hawa asikali kwa Babati mjini wako 4 ,kwa...
 8. MfalmewaKiha

  Nahitaji Kitu Kama Hiki Dodoma Mjini

  Habari zenu Ndugu zangu, Hongereni na poleni kwa janga la Corona. NAHITAJI kuingia mjini Dodoma kwa ajili ya kutafuta kitu Kama hiki Selfe StickJe ntafanikwa kweli kupata kwa maduka ya hapo au nikate ticket ya moja kwa moja Dar Zaidi ningenda kupata kama hiyo picha ya kwanza, Zaidi Tripod...
 9. MfalmewaKiha

  Naomba anayefahamu maisha ya Rwanda anipe mwongozo

  Habari zenu Sina mengi zaidi Naomba anae faham maisha ya rwanda anipe mwongozo (1) Kibiashara (2)Kilimo No Sent using Jamii Forums mobile app
 10. MfalmewaKiha

  Jinsi tamaa ya kwenda South Africa inavyowaumiza vichwa wadau

  Heshima kwenu Poleni kwa majukumu ya kila siku, Nafurahi kuona uzima upo kwako hasa kipindi hiki Cha hatari ya magojwa mengi, wewe u mzima. Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zanguni kimaisha huwa hatuwezi kufanan wote tukawa sawa, kisura, kifedha/kiuchumi nk. Pamoja na hayo...
 11. MfalmewaKiha

  NITAFUTE NIKUJENGEE KWA BEI NAFUU

  Kwa mahitaji ya kujenga ghorofa,shule,kanisa, hospital Naomba unicheki kwa inbox Thax Sent using Jamii Forums mobile app
 12. MfalmewaKiha

  Sema ukweli, nguo ya ndani unabadilisha mara ngapi kwa wiki?

  Hello, Kama title inavyo sema,sitaki kusema mengi Binafsi nguo yangu ya ndani naweza kuiva wiki 3 mpaka baadhi ya maeneo yanakua meusi. Je, wewe unavaa kwa muda gani? Sent using Jamii Forums mobile app
 13. MfalmewaKiha

  Hivi kifo bado kipo?

  Hello, Sina mengi ya kusema ila maisha yamekuwa tight sana,Kodi shida,kula shida,kuvaa shida Yani kutwa nzima kichwa kinauma kisa ugumu wa maisha! NDUGU ZANGUNI HIVI YULE JINI MTOA ROHO SIKU HIZI KAENDA WAPI? Sent using Jamii Forums mobile app
 14. MfalmewaKiha

  Ni msanii yupi wa muziki unaweza kumshauri aache aende kulima?

  Shalom watu wa Mungu, Binafsi nimejaribu kufatilia muziki wetu wa hapa Tanzania ila kiukweli nimegundua kwamba wapo wasani wanapenda muziki ila muziki hauwapendi. Sasa basi tushauriane, wewe kama wewe ni msani gani unae weza kumshauri aachane na muziki aende akalime? Sent using Jamii Forums...
 15. MfalmewaKiha

  Ni Mbinu gani ya kupata Subscribers kwenye YouTube

  Habari zenu bandugu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Leo nipo chini ya miguu yenu. Nahitaji msaada kutoka kwenu. Najua hapa kuna watu wenye roho nzuri na siyo wachoyo wa maarifa. Hivi karibuni nimefanikiwa kuanzisha channel yangu ya YouTube ambayo in km muda wa miezi 9 lakini hadi sasa...
 16. MfalmewaKiha

  Nataka kufanya collabo na Stara Thomas

  Mimi ni mwanamziki,Nimewaza sana mtu ambae naweza fanya nae collabo nikagundua huyu mwana mama Anaweza Kusimama vzr kwenye Chorus yangu , Tatizo nimejaribu kumtafuta kwa namna yoyote ile ila nimekosa mawasiliano Tafadhari mwenye Mawasiliano yake anisaidie Naomba kuwakilisha Sent using Jamii...
 17. MfalmewaKiha

  Mdogo wa Jose Chameleone afanyiwa unyama Afrika Kusini

  Kama kichwa Cha habari kinavyo sema, Mdogo wake na Jose chamilion ambae anafahamika kwa jina la Pallaso alimanusura auawe huko SA aliko kuwa akifanya video yake ya wimbo uitwao BAKOMELERWE(Wasurubiwe) Taarifa zinasema kwamba kijana huyu yuko mahututi huko SA, Kisa Cha kushambuliwa na watu ni...
 18. MfalmewaKiha

  Maripota wengi wa televisheni hawana nguo

  Wazee kwema? Naomba leo nije na hili. Kuna kitu kimekuwa kikinikosesha ham ya kuangalia Taarifa za /ya habari hasa kwa hawa reporters wa mikoani. Kiukweli wengi wamekonda, hawana afya lakini pia wengi nguo zao zimepauka. Lakini pia namna wanavyotoa taarifa zao staili ni moja hawana ubunifu...
 19. MfalmewaKiha

  Mkurugenzi Babati Mjini azidi kufunga makanisa

  Salam kwenu, Sina mengi ya kusema ila katika hali isiyo ya kawaida, Mkurugenzi wa H/mji wa Babati anaendelea KUFUNGA makanisa kisa "Ardhi yake sio kwa matumizi ya ibada". Hali hii isipochunguzwa na kuleta suluhu inaweza kuleta situation isiyo ya kawaida kwakuwa kitendo cha kuingilia imani...
 20. MfalmewaKiha

  Nimejipanga kumshikisha afisa uhamiaji pesa za PCCB

  Ndugu zanguni habari zenu, Naomba niende kwenye point moja kwa moja . Mwaka uliopita 2019 nilipata mialiko kama miwili moja ni mwaliko wa kwenda USA na mwingine ilikuwa ni kwenda Durban, South Africa. Moja kwa moja nikaanza kuchukua hatua za kufuatilia Documents husika Hatua ya kwanza...
Top Bottom