Search results

 1. S

  Mashaka makubwa kwa uongozi wa awamu ya tano

  Wapendwa wanajamvi, Nimevumilia na hàtimaye uzalendo umenishinda. Hakuna rais yeyote duniani ambaye alishawahi kuwa na kauli za dharau na maudhi kwa wananchi wake kama rais magufuli. Hata ukifuatilia rekodi za Marais ambao waliongoza kidikiteta katika nchi zao hawakuwa na kauli za kuudhi na za...
 2. S

  Lema kufanya mkutano leo saa tisa kwenye viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro

  Wadau ni matumaini yangu kuwa mmeamka salama, Mtaani jina la Kichuya limetamalaki kulingana na jinsi anavyoziadabisha timu zinazokutana na Simba. Lakini kwa Arusha mjini watu wanamfananisha mbunge wao (Lema) kama mchezaji Kichuya na kwa wanasiasa anafananishwa na Nelson Mandela. Leo hii ndugu...
 3. S

  Uitishwe uhakiki wa vyeti kwa wateule wa Mheshimiwa Rais wote

  Habari za mchana wadau, Mimi "say no to actors" baada ya kusikiliza mjadala unaoendelea katika mitandao ya kijamii, vyombo vya habari, makanisani, misikitini pamoja na mitaani juu ya tuhuma za baadhi ya wateule wa Mheshimiwa Rais kutumia vyeti vya taaluma visivyokuwa vya kwao mmojawapo akiwa...
 4. S

  Wito kwa vijana wote wapenda haki

  Ndugu wana jamvi kuna siku nilipost Uzi juu ya dhamira ya kuanzisha movement kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kuna waliounga mkono na kusema ni jambo njema na kuna waliobeza na wengine kudiriki kusema katiba mpya siyo hitaji la watanzania. Lakini mm nazidi kusisitiza kuwa mtu huwezi...
 5. S

  Wito kwa vijana wote na wazee wanaojitambua juu ya kuipata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

  Ndugu wadau habari zenu... Pasipo kupoteza muda nianze kwa kujitambulisha kuwa mm ni mtanzania halisi, mzalendo wa kweli na mwenye nia njema ya kupata taifa lenye malengo, maadili, na maendeleo kwa ujumla wake. Katika kipindi cha kwanza cha awamu ya NNE kuna kundi kubwa la watu liliibuka kudai...
 6. S

  Ni nani mwenye mamlaka ya kuhoji mamlaka ya Mungu?

  Ndugu wana jamvi, Kwa hali ya kawaida na isiyokuwa ya kawaida na kwa muumini wa dini yoyote ile anajua hakuna chombo chochote iwe mbinguni ama duniani cha kuhoji mamlaka ya Mungu. Ni jambo la kushangaza dunia na mbingu na tena muujiza mkubwa ambao haujawahi kutokea leo kuona hicho chombo chenye...
 7. S

  Rais Magufuli na CCM waliwaahidi watanzania Katiba Mpya kabla ya 2020

  Wadau ni matunaini yangu kuwa wazima wa buheri. Soma Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020 Leo napenda nidadavue juu ya majibu ya mkuu wetu wa nchi siku amekutana Na wahariri wa vyombo vya habari. Rais aliulizwa suala la katiba mpya lakini yeye majibu aliyotoa hayakuwa yenye uhalisia na wataalam...
 8. S

  Je, Waziri wa Ardhi unaliangalia hili hapo ofisini kwako?

  Vijana wengi wa kwa sasa wanalia dhidi ya ajira na serikali imetulia huku kukiwepo na uwezekano mkubwa wa kutoa ajira kupitia kilimo. Tanzania imejaariwa kuwa na ardhi ya kubwa inayofaa kwa kilimo na sehemu kubwa mpaka sasa iko wazi kwa baadhi ya mikoa huku vijana wa kitanzania wakitaabika kwa...
 9. S

  Huduma ya fumigation kwa wa Arusha na Kilimanjaro

  Wadau kwa yeyote atakayehitaji huduma ya fumigation au kama ana mtu,ofisi,hotel inayohitaji huduma ya fumigation tuwasiriane kwa simu namba 0685232010 tumfanyie hiyo kazi. Ni kazi tunayoimudu tena kwa ufanisi wa hali ya juu na tumezifanya hizi kazi kwa muda mrefu sasa katika mkoa wa Dar es salaam.
 10. S

  Soko la dagaa wa ziwa Victoria.

  Wadau Nina mtaji wangu hapa wa shilingi million mbili nataka nianze biashara ya dagaa ya jumla wa ziwa Victoria. Dagaa wa kukaanga, waliokauka kwa jua na pia dagaa kwa ajili ya kutengenezea Chakula cha mifugo. Samahani kwa mdau yeyote anayeweza kuwa na uhitaji tuwasiliane kwa +255685232010...
Top Bottom