Search results

 1. W

  Usiku wa manane, dua humfikia Mungu haraka. Nawatakia Simba ushindi

  Ni usiku wa manane... Usiku wa utulivu,ambao dua hufika haraka sana. Naitakia heri timu yangu ya simba ipate ushindi. Eid hii haiwezi enda bure kwetu. All the best mnyama...
 2. W

  Tumeharibu brand ya ligi yetu

  Kufuatia kadhia ya kufuta mechi ya simba vs yanga madhara yake ni makubwa. Tumeua ari ya wanamichezo Kuna mashabiki hawataenda tena viwanjani Kuna mashabiki wameamua kuachana kabisa na habari za mpira wa tanzania Hatuwezi tena kupata wadhamini wa maana kwa ubabaishaji huu wa TFF & Co. Kwa...
 3. W

  NIMRI na chanjo/tiba ya corona mbona kimya?

  Nimewakumbuka hawa watafiti wetu, Hivi kuna muendelezo wowote juu ya harakati zao za covidol/nimcaf katika kutibu corona. Vipi msimamo wao juu ya hizi tiba asilia na kupiga nyungu? Kuna yule mkuu wa mkoa wa Mtwara huko, naye ameshamaliza usajili wa waganga? Naona wamekuwa kimya kama hakuna...
 4. W

  Rais Mwinyi aka wa Mzee Ruksa ni muungwana sana. Kumbukumbu zaanza kumuacha

  Kongole kwake. Pamoja na kuwa amekiri kuwa sasa anapoteza kumbukumbu lakini bado mkewe anaonekana kuwa msaada mkubwa. Amsahau mwanae. Asahau mahali alipo ni Chato, mlinzi amkumbusha. Hotuba nzuri ya Kiswahili murua kabisa katika kumuaga Hayati Rais John Magufuli. Ila kufuatia hali...
 5. W

  Wafanyakazi tarehe 22 na 25 Machi 2021 ni siku za mapumziko ili kutoa fursa ya kushiriki kuaga na mazishi ya Dkt. John Magufuli

  Rais Samia ametaja tarehe hizo kuwa ni mapumziko. Ili tupate wasaa kumuombea na kuomboleza msiba wa aliyekuwa Rais ndugu John Magufuli. Tarehe 22 mwili wa hayati, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli utaagwa rasmi jijini Dodoma kuanzia saa tatu asubuhi na siku hii itakuwa siku ya mapumziko. Tarehe...
 6. W

  Mamelod yaomba "support" ya mashabiki wa Simba

  Simba sasa yaanza kukodisha mashabiki,baada ya mamelod kuomba waungwe mkono ktk mechi yao itakayopigwa dimba la mkapa. Hakika wanamsimbazi sasa wanatisha.
 7. W

  Hivi kweli Burundi inatoa wataalamu wa soka kuishinda Tanzania?

  Kwa siku za karibuni tumeshuhudia Burundi ikileta watu wake kupata ajira hapa Tanzania. Kuna makocha,tena wapo timu kubwa kabisa. Achilia mbali lundo la wachezaji waliopo katika vilabu vyetu. TFF isifanye nchi yetu shamba la bibi,ndiyo maana soka haliendi mbele.
 8. W

  NHIF imeishiwa pumzi? Madeni yatamalaki

  Kwanza nawapongeza katika jitihada zenu kuhakikisha wanachama wenu wanapata huduma bora. Hakika mmejitahidi kwa ubora wa huduma ikiwa ni pamoja na kutolea ufafanuzi wa uposhaji wa baadhi za taarifa hivyo kuleta hofu kwa wanachama. Hakika mzidi kuwa na huduma nzuri zaidi maana ndiyo mategemeo...
 9. W

  Matumizi ya tiketi za mwendokasi Dar

  Nilipanda zangu mwendokasi, Shekilango kwenda Kariakoo Ilikuwa ni ishu ya kufanya mara moja tu kama dk 20 hivi, then nirudi zangu. Nilipo rudi sikutaka kukata tiketi nyingine maana ike niliyoitumia awali nilikuwa nayo huku ikiinionesha muda wake wa mwisho wa matumizi bado. Kimbembe kilianza...
 10. W

  TRA Kimara imekosa eneo "location" bora?

  Kwako Comm Gen Phd Mhede, Hii ofisi yetu siye walipa kodi wa Kimara inatukwaza sana. Kwanza njia ya kuelekea ilipo ofisi za TRA Kimara ni chafu, mbaya madimbwi ya maji n.k Pili ofisi yenyewe unapoingia getini ni mteremko mkali ambao unaweza leta ajali kwa sie walipa kodi hivyo tukapeleka kodi...
 11. W

  WIDA: War In Dar.

  Watanzania tukiamua jambo tunaweza. Tumeifukuza corona kwa umoja wetu...kujifukiza, kula malimao, ndimu, tangawizi, vitunguu swaumu n.k Sasa Simba na Namungo wameibeba Tanzania kimataifa. Nia, ari na dhamira tukiwa navyo, hakika tunaweza ifanyia makubwa nchi yetu. War in dar Asante Haji...
 12. W

  Ubaguzi na ulaghai wa wagombea, viongozi wa dini mnasemaje?

  Hongereni na harakati za uchaguzi mkuu. Tumeshuhudia ulaghai wa wazi wazi, ahadi / rushwa na masimango kutoka kwa wagombea. Tumeshuhudia kauli za ubaguzi dhidi ya watu wenye mlengo fulani, kuwa hawatapata maendeleo kama wakitofautiana na mtoa kauli. Najiulize,viongozi wetu wa dini hata kama...
 13. W

  Yupo wapi Pascal Mayalla baada ya kura za maoni?

  Wasalam, Huyu ndugu yetu tangu akutane na spana za wajumbe wa Kawe amekosekana kabisa kutoa mada za maslahi mapana ya taifa. Tunamuomba arudi humu, asifadhaike sana hayo yameshapita wala asihofu juu ya ukada wake. Sisi tunajua alikuwa kazini tu. Ama tujifariji kuwa kobe akiinama.
 14. W

  The story book Wasafi TV na Jamal Mustapha

  Pongezi kwa huyu nguli kwa kutupatia story za kusisimua. Tuna members humu wanaweza kuwa msaada sana kwa huyu jamaa, naomba apewe msaada ili azidi kutoa vitu vikali zaidi. Hakika wamepatia ubunifu wa kipindi na namna nzuri ya kutoa maudhui.
 15. W

  Ngao ya Hisani/jamii msimu wa 2020/21 SIMBA vs YANGA?

  Nawakumbusha tu, msijisahau leo mnapowashabikia Namungo huko Nelson Mandela Swanga. Kuwa kwenye kufungua msimu tunapiga gongowazi aka utopolo aka manyani fc goli nyngine za kutosha. Labda TFF wawaokoe.
 16. W

  Gombe National park hits in Hardtalk

  Huyu mama Dkt. Jane Goodall na taasisi yake anaifahamu gombe kama vile ni Muha. Pongezi kwake kwa kutetea/kulinda wanyama adhimu kama chipanzee wasitoweke katika uso wa dunia. Hakika mama huyu anafanya kazi nzuri. Ndugu Steven Sucker ameikubali kazi yake. Wito kwa wizara ya maliasili na utalii...
 17. W

  Tuwataje wakola aka mabaharia viongozi wa serikali

  Nianze kumpongeza mh Rais kwa kumtumbulia mbali DAS wa Kisarawe ndugu Mwambapa kwa kutongoza wake za watu. Rais amekuwa akiweka standard za maadili mema kwa watanzania. Sasa tumsaidie kwa kuwataja viongozi wote wenye tabia kama hizo,ushahidi ukiwepo wewe weka tu,hata kama ni tuhuma maana...
 18. W

  Humphrey Polepole ndani ya Wasafi FM Sunday gospel

  Bwana Polepole leo anatoa cheche za neno la Mungu. Baada ya Paul Makonda hatimae tunaye kiongozi mwingine mwenye hofu ya Mungu. Hakika CCM tuna wacha Mungu. Karibuni tumsikilize
 19. W

  Tumejipanga, Mwaka huu mtaisoma. CCM mbele kwa mbele

  Wapinzani wataisoma...
 20. W

  Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

  Naibu waziri wa Tamisemi anausurika kupokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Bwana Bwire Meya ( mkurugenzi wa shule za Alliance) wa huko jijini Mwanza. Hii migogoro ya Ardhi wamuachie Lukuvi. Chanzo: ITV Habari
Top Bottom