Search results

 1. K

  Mungu wetu tupatie rais aliye safi

  Wakuu hii nimeikuta mahala nikaipenda naona niwawekee hapa jamvini.
 2. K

  Hapa nimeshakamata namba akisogea mtu tatatoana ngeu!

  Shikamoo Mzee PK! Naomba unikubali niwe mwanao, ule uzushi wa hapa JF ni uongo mtupu na thread zake mie wala huwa sichangii.
 3. K

  Behind Kenyan Elections

  Photos and analysis credit of BBCNews Kenyans go to the polls on 4 March in a general election that has been overshadowed by memories of the violence which unexpectedly erupted after the disputed contest of December 2007. President Mwai Kibaki is not seeking re-election - his partner in the...
 4. K

  Luninga hupoteza nguvu za kiume

  Hii imekaaje? Hizi habari za kutiana hofu, ooohooo!!! Wanaotumia runinga kwa muda mrefu hupoteza nguvu za kiume WANAUME wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga wanapoteza nguvu za kiume ukilinganisha na wale wanaotazama runinga mara chache. Utafiti uliofanywa na Chuo...
 5. K

  Africa's 5 Most/Least Peaciful Nations

  1. Least: Somalia To use the old chestnut, if you looked up 'failed state', Somalia would be the author of that section. For the second year in a row it is the least-peaceful nation in the world. There is no real government, though the most recent attempt at one (the 14th since 1991) is holding...
 6. K

  Home Alone!

  Wasanii wetu wanaovuma tazameni hii
 7. K

  Stiegler's gorge hydropower project

  Huu mradi uliwahi kujadiliwa humu jamvini siku za nyuma lakini ilwekwa jukwaa la Siasa na ilijadiliwa kisiasa zaidi na uzi ukapoteza mwelekeo. Hivi sasa dalili zinaonyesha kuelekea kwenye utekelezaji na itakuwa bora tukazungumzia mradi huu kwa mtazamo wa kibishara na kiuchumi. Mkurugenzi Mkuu...
 8. K

  Kijasti

  Wakuu huyu bwana ana blogu yake, komic first pitia utazikuta nyingi za hivi
 9. K

  Kafulila kuendelea na ubunge

  Ni amri ya Mahakama. Habari ndio hiyo! SOURCE: http://twitter.com/#!/zittokabwe =================== Zitto Kabwe Kafulila kuendelea na Ubunge..... Mahakama Kuu imetoa amri muda mfupi uliopita. Ataendelea kuwa Mbunge mpaka hapo kesi ya msingi itakapokwisha. Mungu yupo pamoja na...
 10. K

  JF Kama Chanzo cha Kuaminika cha Taarifa

  Hizi picha zikiwa na nimezikuta kule BBC News juu ya mafuriko ya Dar. Kudos Invisible and the Team!
 11. K

  Kili Stars Vs Sudan 3RD Round Playoff

  Tanzania 0 Sudan 1 (second half) Mpira bado unaendelea, nadhani safari hii tutashika nafasi ya 4
 12. K

  Enzi za Kuandikiana Barua!

  Hii makala nimeikuta mahala nikaona wazee wenzangu wataifurahia hasa ukikumbuka enzi za boarding school! Mourning `death` of handwritten letters By Wilson Kaigarula 9th October 2011 In metropolitan Dar es Salaam, the Old and New Post Office (Posta ya Zamani and Posta Mpya) have lent their...
 13. K

  Kilimo Kwanza

  Tutoe sifa pale inapostahili, hawa nao wabunifu! Maharusi wakimeremeta huko Malawi, picha kwa hisani ya MICHUZI
 14. K

  Ndoa ya Mkataba!

  Hii sheria ikiletwa Bongo itakuwa balaa! Najua humu ndani kuna wachungaji huwa wanapitapita, vitabu vinasemaje kuhusu hili? Mexico City considers 2-year marriage licence Lawmakers in Mexico City are proposing a new marriage licence that would allow couples to split after a two-year trial...
 15. K

  Upuuzi wa Kipanya

  Kwa hisani ya MICHUZI
 16. K

  Rectal Bleeding: Source, Management Cure? Naomba kuelimishwa

  Unaweza ukaichanganya na dysentry lakini choo ni kigumu na damu mbichi (fresh) huonekana unapomalizia. Ukifanya lab. test huonyesha hakuna infection yoyote wanaripoti kuwemo damu kwenye sample ya choo. Mara zote tatizo hili huanza unapokaa muda mrefu bila kula, hasa wakati wa safari. Anti-amoeba...
 17. K

  Msimamo wa Premier League UK

  Hii jamaa wa Emirates wataipenda lakini Old Trafford mmmhhh!!!!
 18. K

  UDOM Waitwa kurejea Chuoni

  Watafanyiwa Usajili upya utakuwa J'mosi na J'pili ijayo. Isipokuwa watu 15 ambao majina yao yametajwa na wale wanaodaiwa ada. Source: TBC1
 19. K

  Africa Magic SWAHILI Ch. 127

  DSTV wanazindua Chanel ya movie za Kiswahili, kwa wale mashabiki wa Bongo movies kaeni mkao wa kula itakuwa hewani Julai mosi.
 20. K

  IT Love Story

  A lady sat on my LAPTOP, I laid her on my DESKTOP to RAM my HARDWARE into her SOFTWARE! After lots of INPUTS and OUTPUTS, I finally DOWNLOADED. Now I'm a FLOPPY DICK!
Top Bottom