Search results

 1. M

  VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

  Tanzania ni nchi iliyotolewa macho sana na kutamaniwa na hawa majirani zetu. Waganda tulipigana nao vita kwa sababu ya kuitamani ardhi yetu. Kagame kumsema Kikwete kipindi kile kuwa hajui kuiongoza nchi hii yenye rasilimali nyingi. Watu wa Malawi wanataka ziwa Nyasa lote liwe lao. Sisi tuishie...
 2. M

  Ushauri wa Mange kwa Wema Sepetu, Idris ageuka mbogo amjia juu

  Mange kimavi. Yani huyu ndo alitaka kugombea ubunge!? Uu ndo ujinga anaoendekeza.
 3. M

  Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

  Huna point hapa. Nenda akakuoe wewe bas kama unaona Joyce hamfai.
 4. M

  Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

  Wewe ni mshamba kweli. Ndoa ya mtu usiingilie. Ndoa inapaswa kuwa ndio kitu cha kwanza ndo ifuate chadema sijui ukawa. Kama wewe uko radhi kumuacha mkeo kisa chadema basi nenda kanisani kafunge ndoa na chama. Masuala ya nyumba ya mtu yanakuhusu nin? Huna point ya msingi wala nini. Alipofungwa...
 5. M

  Wanafunzi Algeria wacheleweshewa mikopo na Bodi ya Mikopo Tanzania

  Nani amjuae Mkurugenzi wa bodi ya mikopo? Amwambie kuna vijana Wakitanzania wanaosoma Algeria wana hali ngumu sana kwa kucheleweshewa mikopo yao. Si vyema kuwapa shida watoto wetu kiasi hiki ilihali kampeni zinaendeshwa kwa mamilioni ya fedha. Hata Magufuli alisema anashangaa kuona wanafunzi...
 6. M

  SONGEA: Maandamano yameanza upyaaa, mabomu yanarindima!

  tehteh eti kuna mkono wa siasa!
 7. M

  Horny Rooster...

  bwahahahah!
 8. M

  Between your legs!

  SALT between your legs
 9. M

  Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

  Pia naomba niulize kuwa je hatuna sheria ambayo itaweza kumsota rumande, huyu Jairo aliesaini barua ya kuwezesha utoaji wa rushwa ili bajeti yao dhaifu ipite, kwa muda ambao uchunguzi wa kashfa hii unafanyika?
 10. M

  Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

  Ni wakati mzuri kwa waziri Ngeleja kung'atuka kwani ameonesha wazi hana umakini katika kazi ya kusimamia na kuiongoza wizara nyeti kama ile.
 11. M

  Suala la epa pia kufikishwa kwenye mikono ya sheria wachochezi wa vurugu tarime

  Ni kawaida jwa waliolishwa limbwata na CCM kutofikiri kabla ya kutema pumba zao kama viongozi wao walivyo.
 12. M

  CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

  Wenye uelewa wanaelewa jinsi ambavyo Tundu Lissu hupigania haki za raia kama alivyoonyesha jinsi Ngeleza ambavyo hatumii busara kutetea maslahi ya taifa.HIVI NI LINI CCM MTAKUWA NA UZALENDO? Ushauri: MWAKA 2015 hatutakubali mchukue nchi maana ni dhambi kwa mbwa kupewa kitakatifu.
 13. M

  CCM mbona hawaandamani?

  Maskini hawez kuandamana na mnyonyaji wake.HATA HIVYO HUWEZI KUTEMBEA NA MWIZI WOTE MTAPIGWA MAWE.
 14. M

  Mtikila ampa siku 7 Ridhiwan aende mahakamani

  Hiyo jeuri ya kwenda mahakamani anayo? SIKU ZOTE WAMESHINDWA KUMPELEKA DR. SLAA MAHAKAMANI KUPINGA SHUTUMA ANAZOIBUA.
 15. M

  The Japanese Earthquake and its Aftermath....

  My God, my Divine Father, please send your angels and help the japanese. Let the catastrophe pass with a minimum demage to life and to property.
 16. M

  Waziri Mkuu Pinda asitisha utekelezaji wa agizo la Magufuli la Bomoa bomoa

  Huyu Waziri wetu mkuu anataka sana aonekane muungwana sana. Sawa, lakini alishindwa kumwita faragha mhe. Magufuli na kumweleza hayo maoni yake? Ni ukosefu wa hekima ya kiuongozi. Huku ni kujipendekeza!!
 17. M

  IN Tanzania thamani ya kifo ni 8 MILLION

  Hiyo ni rambi rambi ya serikali. Lazma tutambue kifo cha mtu hakilipwi ila tunawezatoa rambi rambi tu. Naipongeza serikali kwa uamuzi huo kwani hata ingetoa bilioni moja kwa kila familia isingetosha kuondo majonzi kwa wafiwa.
Top Bottom