Search results

 1. L

  Treni ya umeme ya Ethiopia, kuanza kujengwa Kenya na Tanzania ?

  kuzindua treni mbona cha mtoto... Wenzetu wana shirika lao la ndege linaitwa ethiopian airlines linafanya vizuri. WATANZANIA TUNA LA KUJIFUNZA
 2. L

  Hivi ni kweli kwamba White people wana akili kuliko Blacks?

  Inategema na impact unayoleta kwenye taifa lako..kama layman anajituma na kuleta maendeleo wakati profesa mwafrica kakaa tu bure ofisini hatuoni anachofanya then better a layman no matter where the layman is.
 3. L

  Tanzia: Nimefiwa na Baba yangu Mzazi (RIP Daddy)

  Pole sana aisee. Maumivu yake hayaelezeki dah
 4. L

  Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

  sasa wanakimbilia ulaya mfano italy au ujerumani...hadi wajue lugha za hizo nchi na kusettle si chini ya miaka 5. Dah vita isikie kwa mwenzio usiombe.
 5. L

  Huyu mwanamke ataniua jamani

  Hahahahaa aisee mkuu umenichekesha sanaa...hadi kazini unasinzia kwa shughuli pevu unayotoa
 6. L

  Gharama za kwenda Cape Town na kukaa siku moja?

  Water front ndio mpango mzima....japo hotel zake ghali kidogo maeneo haya unakuja kutalii siku nzima then unasepa zako kwenda kulala kwenye townships:wink2:.....
 7. L

  North Korea 'executes vice premier over forestry dispute'

  Hapa bongo uwaziri watu tunaupigania..nchini Korea kwa bwana mdogo ukipewa uwaziri jua ukizembea tu umeenda na maji..dogo hana utani. Kuna waziri alimpiga bomu majuzi kwa kusinzia wakati wa hotuba...
 8. L

  Libya court sentences Gaddafi's son and eight others to DEATH!

  Dah kumbe huyu jamaa ndo wamemtesa hivi? wangemwachia tu maana kumuua baba yake na kaka zake ni adhabu tosha...
 9. L

  ISIS wamchimbisha kaburi mateka na kumzika humo

  Mimi nisingechimba maana kuniua wangeniua tu sasa kwa nini nitii amri ya kujichimbia kaburi? aisee hawa jamaa makatili beyond madness dah
 10. L

  Afisa ugavi TEMESA ashtakiwa kwa kutaka kulipua ofisi

  Rachel mtoto mrembo hatari......ugaidi umeanza lini kulipua majengo. Pole sana kwa urembo ulio nao hukustahili kutaabika kiasi hiki hadi kufikia kuwa gaidi na fisadi. So sad.
 11. L

  Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

  huu ni uonevu..mbona wabunge wanapigwa chafu zaidi wakiwa wanafanya mapenzi na hawavuliwi ubunge? wanyonge hawana haki tz
 12. L

  Kariakoo inapendeza mno kwa kweli (BIG UP! Meki chadiki)

  picha niliokua nayo kichwani ya kupendeza kwa kariakoo na nilichokutana nacho baadaya kufungua huu uzi...dah :A S-eek::A S-eek::wacko::A S 109:
 13. L

  Usiyoyajua kuhusu Hamisa Mobeto

  Siku kuna umri wa aina mbili..umri wa pasipoti/RITA na umri wa kudanganyia kwenye mitandao...Lulu wa Kanumba nae alikua mtoto akadanganya umri ili tu aruhusiwe kuingia disco..kilichompata baada ya kumuua Kanumba anajua mwenyewe.
 14. L

  Nimemkumbuka Ngwizikulu Jilala jamani

  Chezea pesa wewe..hadi mrembo kama Nora alikubali kuolewa na Sangoma.... By that time Nora was my TV Crush..as a young boy nilikua disappointed sana hahahaa
 15. L

  Kumbe namna ya kula yatupasa kujifunza

  Aisee hii comment imenitapisha wali maharage wangu mtamu woote..just imagining jinsi hao wasomali wanavokula :doh:
 16. L

  Paka kulia hovyo

  Wanataka ku-mate..ni kawaida ya paka kulia kabla ya kufanya io kitu sijui kwa nini
 17. L

  OCS afumaniwa na mwanafunzi wa Kidato cha Nne

  Sasa wanampeleka kituo cha polisi na yeye ndo mkuu wa hicho kituo? utashangaa kesho anadunda na kusema walikubaliana na huyo mwanafunzi..wangemwasha kiberiti huyo mbakaji afu kabla hajafariki wazime moto abaki na majeraha ambayo angeyatibu maisha yake yote...
 18. L

  Abdullah Mrisho, mchezaji wa Simba miaka ya 70

  Duh..hili balaa sasa
Top Bottom