Search results

 1. M

  Wanafunzi Algeria wacheleweshewa mikopo na Bodi ya Mikopo Tanzania

  Nani amjuae Mkurugenzi wa bodi ya mikopo? Amwambie kuna vijana Wakitanzania wanaosoma Algeria wana hali ngumu sana kwa kucheleweshewa mikopo yao. Si vyema kuwapa shida watoto wetu kiasi hiki ilihali kampeni zinaendeshwa kwa mamilioni ya fedha. Hata Magufuli alisema anashangaa kuona wanafunzi...
 2. M

  Mustakabali wa taifa letu

  Nionavyo mimi majeraha ya uchaguzi inamaanisha hali ya kutoridhika na matokeo ya uchaguzi, mtu au kundi fulani linadhani kuwa halijatendewa haki kulingana na sababu zinazoainishwa na kundi hilo. Kutibu majeraha ya uchaguzi mkuu 2010 itawezekana endapo kitafanya kazi yake kwa ukamilifu...
 3. M

  Ndondondo si chururu

  Nimekuja kuwapa changamoto...nahamisha milima
Top Bottom