Search results

 1. L

  Ubaguzi wa rangi ughaibuni, tupeane maujuzi kuukabili

  Nina uhakika wapo wenzetu wenye uzoefu na hii kitu (racism) hasa walioishi ughaibuni more than 10 years watusadie ma-new comer jinsi ya kuwakabili hawa wenzetu maana naona soon uzalendo utanishinda nimtwange ngumi mzungu na kufukuzwa huku wakati sijamaliza kilichonileta. Naomba mtupe ujuzi huwa...
 2. L

  Polisi wa TZ kwa mikwara na vitisho...WTF!

  Huu mkwara wote ni kwa ajili ya wanafunzi wa IAA na mbunge wa Arusha mjini..
 3. L

  Poor lil girl....this is after 50 years of independence

  Aisee ni masikitiko kuona bado watanzania wenzetu wanateseka hivi, huyu mtoto either anaumwa tetekuanga/surua akapakwa jivu kwa kukosa dawa nyingine, or ni utundu wa kitoto kaangukia debe la unga... I wish I could see her and her family
 4. L

  A true sad story: Taarifa fupi ya Wastara na mumewe SAJUKI

  A George Iron mini documentary, 2012 TRUE SAD STORY ILIKUWA siku ya furaha…kwanza kukutana na familia yako maeneo ya Tabata…pili kuisikiliza historia yako na mke wako Wastara ilivyokuwa ya kustaajabisha. Katika mahojiano Wastara alijizuia asitokwe machozi lakini ilishindikana alilia sana na...
 5. L

  Pictures of the Worst and funny dressed at the Miss TZ 2012

  Alieshika namba moja kwa kuchemsha ni kaka yetu Le Mutuz WILLIAM MALECELA,,SERIOUSLY ITS AN EVENT AND YOU CAME LOOKING LIKE THIS WITH JEANS SHORTS AND ALL,,,,COME ON!! Sauda Mwilima Duuu aibu gani hii KILA SIKU HUWA NASEMA NA NARUDIA TENA,WABONGO TUJIFUNZE KUVAA ACCORDINGLY NA PALE...
 6. L

  Nape Nnauye mgongo haupindi??

  KATIBU WA NEC,ITIKADI NA UENEZI CCM NAPE NNAUYE AKIWA SAMBAMBA NA UJUMBE WA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMONISTI CHA CHINA CPC LIU YUNSHAN AMBAYE PIA NI MKUU WA IDARA YA UENEZI YA CHAMA HICHO KATIKA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWENYE ENEO LA MAKABURI YA WATAALAMU WA KICHINA,ENEO LA...
 7. L

  Gaddafi’s death: How Arusha missed a potential client

  Arusha "was expecting" to host Ghadafi's case kama jamaa asingeuliwa. Bahati mbaya waasi wamemtoa roho hivyo kulikosesha jiji hili mapato ambayo yangetokana na kesi hii...... For more infos visit Arusha times. Untitled Document. Kweli kufa kufaana, yaani jamaa washampigia mwenzao na...
 8. L

  Msaada wa tatizo hili: winsrv was not found?

  Wataalam heshima mbele. Tangu wiki iliyopita nikiwasha laptop yangu, wakati wa ku upload inatokea blue screen of death na maandishi yafuatayo: "The application has failed to start because winsrv was not found. Re-installing the application may fix problem". Sijui nianzie wapi na niishie wapi...
 9. L

  The number of Americans living in poverty rose to 46.2 million last year

  Number of Americans in poverty hits record high The number of Americans living in poverty rose to 46.2 million last year, nearly one in six people, according to the US Census Bureau's annual report. The 2010 data shows the poverty rate at 15.1%, from 14.3% in 2009. The number of Americans...
 10. L

  Miss TZ 2011 kuondoka na Jeep lenye gharama ya Tsh.72 millions

  Hii zawadi baadae itageuka mzigo manake repairing and maintaining Jeep Patroit sio kazi ndogo. Acha mbali gharama ya mafuta kwa mwanafunzi wa chuo as most of these young ladies ni wanachuo. Bora wampe hiyo cash, itamsaida kwenye elimu na maisha ya baadae, sasa li-jeep sijui unalifanyia nini...
 11. L

  Huruma za wazungu sometimes ni kituko...

  Hii nimeikuta kwenye wall page ya mholanzi aishiye Arusha, akielezea furaha ya kuokoa maisha ya mbwa. "I think it is safe to tell now, we have a new puppy her name is Suffy and she survived the streets of Arusha, she improves, karibu nyumbani" Huruma hii angefanya kwa mtoto wa mtaani...
 12. L

  Mtazamo wa wazungu kuhusu baa la njaa Africa 2011...amaizing

  Katika kufanya background research ya Famine in Africa particulary in Ethiopia, nikakutana na hii comment ambayo imeshinda kama "the best comment" : "In Ethiopia іtѕ thе same аѕ οthеr african nations,thе men refuse tο ɡеt up...
 13. L

  Albino flani unatishaa

  The guy is really talented kunako fani ya muziki, anatisha kwa kutoa nyimbo zilizotulia. Pia nampongeza kwa kampeni zake dhidi ya mauaji ya albino chini ya kampuni yake Afrobino Ltd. Cheki wimbo huu YouTube - ‪ALBINO FULANI FT. PIPI - USIHOFU (www.DarTalk.com)‬‏
 14. L

  Sheria inasemaje kuhusu mtoto wa nje ya ndoa?

  Nina mshikaji wangu huu mwaka wa tano anateseka kudai mtoto wake bila mafanikio. Stori ilikuwa hivi: Yeye kaoana na mmarekani walikutana alipoenda huko kimasomo, bahati mbaya mkewe aligundulika ana matatizo ya uzazi hivyo hataweza kupata nae mtoto. Jamaa anapenda sana kuwa na watoto au walau...
 15. L

  Polisi Uganda watoroka na keki kwenye "birthday" ya Museveni

  Vituko haviishi nchini Uganda kati ya wapinzani na serikali ya Yoweri Museveni, Ugandan police have broken up a "mock birthday party" for President Yoweri Museveni held by opposition activists. They declared the party in the capital, Kampala, illegal and confiscated a birthday cake and the...
 16. L

  Hawa jamaa wanamaanisha nini? kitendawili kigumu.

  Je ni udini ulioletwa na serikali ya JK au ndio kusema paka huyu ni mwizi wa kitoweo kiasi kwamba imebidi asulubiwe msalabani?? Sina jibu ila maswali kibao.
 17. L

  Kueleke miaka 50 ya uhuru, mmh

  Maskini watoto hawa, tena wapo eneo nyeti linaloingizia hii nchi mamilioni ya shilingi kwa mwaka. Watoto wa umasaini wakiwa darasani. Nini cha kujivunia miaka 50 ya uhuru kama hali bado mbaya hivi? hizo fedha wanazoandalia sherehe ya uhuru ( nimeona vijana wa bongo fleva wanjifua uwanja wa taifa...
 18. L

  Mila zingine mnaweza mkimbiane..

  Du jamaa wamejiremba hadi wanatisha sasa ....
 19. L

  Wenye Moyo jitokezeni basi.....

  Kama kibao kinavyojieleza, watanzania wenye moyo wako wapi ? ni kina nani? manake waliopo karibu wote wabomoaji na mafisadi wasio na moyo.
Top Bottom