Search results

 1. F

  Kwanini waarabu wanapingwa na kusakamwa kwa hapa JF?

  Asalam Alaikum wanajamii Omba ujaliwe vitu viwili hapa duniani 1) Mali (utajiri) 2) Akili Sitaingilia kwenye dini kwasababu dini ni ya mtu binafsi na si yakulazimishana. Wasalam
 2. F

  BoT: Bidhaa kutouzwa nje ya nchi na kupungua kwa Watalii nchini zaweza kuwa sababu za kuporomoka kwa thamani ya shilingi

  Endelea tu kutembea kifua mbele. Uko na sisi kwenye right track.
 3. F

  Zanzibar kielimu iko nyuma zaidi ya Mtwara, ni ujinga kusema tunafelishwa

  Ndugu usipoteze muda na huyo, miaka zaidi ya khamsini ya uhuru, shida ni zilezile na wala hazijapatiwa uvumbuzi na wasomi wetu, hao wanaojidai wamesoma. Ukitembelea nchi za kiarabu zilizokuwa zinaendeshwa kiislamu ni nchi zilizo na maendeleo makubwa, ukilinganisha na tz. Hapa nitatilia mkazo...
 4. F

  Adha za Mwendokasi: Abiria wamejaa kituoni, magari yamepaki

  Asalam alaikum Hii project kwakeli ni nzuri sana, mara ya mwisho kupanda mwendokasi ilikuwa 2016 na kiukweli uongozi waliopewa hii project ni watu wa hovyo kabisa. Mabasi yamejaa tele lakini wanayapaki na kusubiri watu wajae ili waje, na muda mwengine unaweza kusubiri mpaka nusu saa. Ukienda...
 5. F

  Zanzibar kielimu iko nyuma zaidi ya Mtwara, ni ujinga kusema tunafelishwa

  Ok, sasa elimu yetu ni ya kuajiriwa tu na wala sio ya kujiajiri, kuvumbua na kujaribu kuleta maendeleo yeyote nchini zaidi ya kujikita kwenye kuajiriwa. Hao hao wasomi na viongozi wakiumwa kidogo mbio india au ulaya kutibiwa, je kwasababu gani hawawamini madocta wetu wa hapa wa div 1. ? Huoni...
 6. F

  Zanzibar kielimu iko nyuma zaidi ya Mtwara, ni ujinga kusema tunafelishwa

  Ndugu naona hujajibu swali langu lolote, zaidi ya kuniuliza mimi swali. Hiyo ndio hoja muflis. Kwahiyo hao wa one na hao wa zero wote ni sawa?
 7. F

  Zanzibar kielimu iko nyuma zaidi ya Mtwara, ni ujinga kusema tunafelishwa

  Asalam alaikum ndugu wanajamvi Mimi nina maswali machache.. Elimu ya hao vijana walioleta div 1 katika masomo yao, katika hizo shule zinazo ongoza kielemu. Ni faida gani waliyoileta kutokana na elimu yao katika jamii?. Na jee tumeona maendeleo mazuri ya maendeleo yenye kuonekana katika jamii...
 8. F

  Mtu kupigwa na kuchomwa moto mbele ya askari mwenye silaha nzito, nini maana yake? Tuna Jeshi dhaifu?

  Asalam Alaikum ndugu Sitaongea sana lakini mwenye haki ya kutoa adhabu ya moto kwa binadamu ni Mwenyezi Mungu pekee na wala sio sisi binadamu. Kumchoma binadamu mwenzako haijahalalishwa katika kitabu chochote cha dini. Na kutii sheria ya nchi husika ni moja ya ibada.
 9. F

  Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

  Aisee, mleta mada ndio starehe yake hiyo Pombe, sigara nk sio starehe, bali ni hasara ya mali, mwili,
 10. F

  Nawapongeza sana Madaktari hawa wa Saudia Arabia, Mungu awabariki!

  Habari kama hii haitapata wachangiaji kabisa !!!!
 11. F

  Haya ndio Mataifa yanayoongoza Duniani kwa Utajiri

  Hao wana ndege karibia 250 hizo ndege mia ni A380 ndege kubwa kabisa duniani na wana order karibia 50 nyingine.
 12. F

  AU wakataa wazo la voluntary colonies cities..

  Maudhui nzuri kama hii Baada ya mda kidogo bila kuingiza neno humu jukwaani. Leo nimerudi kidogo. Mleta mada unaushauri upi wa zanzibar kurudi kwa warabu? si ndio wakoloni wao. Najua hili swali litawaumiza wale wapenda wazungu... Oke, turudi kwenye mada, swali lengine dogo tu, nini maana ya...
 13. F

  KENYA: Watu 30 wamefariki baada ya Basi kugongana na Lori

  Poleni jirani zetu Mwenyezi MUNGU awalaze mahali pema peponi
 14. F

  Hatma ya Jerusalem: Tanzania yapingana na Trump UN

  Utakuta ni jitu limesoma na lina jicheo jikubwa serikalini lakini jiakili lake limejazwa pumba ndani. Mijitu kama hii ndio inayorudisha nyuma nchi. Ningependa kumuuliza hilo lijitu swali dogo tu, kama yeye anapenda msaada au kujitafutia mwenyewe riziki ? Tz inamiaka maelfu nyuma na watu walikuwa...
 15. F

  Jerusalem kwa mujibu wa BBC

  Shida za ndugu zangu wa tz wanayo elimu katika kiganja chao lakini hawataki kuitumia kwa kuendeleza nchi yao. Wanafikiri wao wanapendwa saana na mayahudi. Wakati ukienda israel wayahudi weusi wako kwenye detention center kama wakimbizi. Na hao ni dini moja na kabila moja. Na kwa myahudi hakuna...
 16. F

  Jerusalem kwa mujibu wa BBC

  Hahaha Sipendelei kushiriki kwenye thread kama hizi. Lakini ndugu zetu wa ------- wanafikiri wayahudi ni ndugu zao wa karibu kabisa kuliko hat jirani zake, wakati wayahudi wenyewe wanajiona ni bora na watu wengine ni m**bwa na m*ny*ni 2, na hii imo katika dini yao.
Top Bottom