Search results

 1. W

  Re: Hotuba ya mr. President

  Mr president anaonesha wao kama chama cha ccm wana nia ya wazi ya kuwapa wanawake nafasi muhimu za uongozi nchini kama sehemu ya kuwawezesha.... Na hili anasema ndo maana wakamteua mama makinda agombee uspika. Najiuliza maswali 1. Kwanini asingeacha kutetea nafasi yake nawamteue mwanamke na...
 2. W

  Elections 2010 Ninahitaji kuongozwa na ccm yenye ilani inayoonesha tupo karne ya 20?

  TEMBELEENI HII ILANI YA CCM, KWENYE UTANGULIZI KIPENGELE CHA PILI MSTARI WA MWISHO UNASOMEKA "Aidha mafanikio ya azma hii unategemea kutambua hali na mazingira ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya karne ya ishirini ya dunia na ya nchi." Hivi kweli hiyo ilani imeandaliwa, imepitiwa mpaka...
 3. W

  Elections 2010 Vyama vya upinzani

  Nina swali: Ipi rahisi cuf kuungana na chadema? Au cuf kuungana na ccm? Naomba supporting document
 4. W

  Elections 2010 Dr. Slaa

  Tupe muongozo kiongozi, ila kuwa nje ya bunge naamini utaimarisha chama mpaka kila kona ya kila nchi
Top Bottom