Search results

 1. R

  Mlio Muhambwe na Buhigwe tupeni kinachoendelea

  Bado masanduku ya kura hawajakimbia nayo? Bado kura zilizopigwa tayari hazijatumbukizwa kwenye masanduku ya kura Bado mawakala hawajafurushwa kutoka kwenye vituo vya kupigia kura? Bado Majina ya wapiga kura wenu hayafutwa
 2. R

  Anna Elisha Mghwira anarudi ACT? CCM atakaa kama mwanachama wa kawaida? Vitawezekana kweli?

  Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli? Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
 3. R

  Rais, Mama Samia ni kweli tuna utaalamu na wataalamu wa kisayansi kujiridhisha kama chanjo za corona zinafaa au hazifai?

  Simply hatuna wataalamu wa kubaini kama chanjo inafaa au haifai kwetu! Haya mambo siyo rahisi kama wanavyokuaminisha. Hatuna Investigators brochure (IB) za hizo chanjo, then how do you judge the safety of an investigational product? (sidhani kama J&J, Moderna, Pfizer utawalazimisha wakupe hizo...
 4. R

  Wanasheria wa CHADEMA ratibu ukusanyaji ushahidi dhidi ya Sabaya maana ukatili mwingi walifanyiwa wanachama wa CHADEMA

  Hii ina mantiki kubwa. Ukatili ulio mwingi walifanyiwa wafuasi wa Chadema, ni vema CHADEMA ikaratibu ukusanyaji wa ushahidi dhidi ya Sabaya ili haki itendeke. Waandae waathirika waweze kutoa ushahidi wa kweli na si vinginevyo. Walindwe dhidi ya vitisho vya Sabaya na genge lake etc........
 5. R

  Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

  Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri. Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke...
 6. R

  Bado DPP Biswalo Mganga baada ya Ole Sabaya

  Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens. Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
 7. R

  Ukanda wa Pwani na ukame uliokithiri, TMA ukame huu unasababishwa na nini?

  Mfano Tanga hapakuwa na mvua kabisa. Hapakuwa na masika. Jua ni kali sana, Tatizo linasababishwa na nini? TMA tunaomba maelezo ya kitaalamu
 8. R

  Pdf activation inakataa, nisaidieni

  PDF inakataa kufanya kazi mpaka iwe activated. Nisaidieni nifanyeje iwe activated?
 9. R

  Waziri Lukuvi, huku Idara ya Ardhi hakujakaa sawa

  Tunaomba platform ambapo tunaweza kukutonya nini kinaendelela nyumbani kwako idara ya ardhi. Kuna madudu yanafanyika yanahitaji uyaingilie Kati. Kumeoza, needs your intervention.
 10. R

  Batuli Actress ana ujumbe huu kwenu wanaume

  Kwenu wanaume, najua kuna wakati huwa mnatawaliwa na hasira lakini kabla ya kumtusi au kumkashifu mwanamke rudi nyuma mtazame mama yako, dada zako au hata mabinti zako kama upo mbali nao tazama picha zao kisha utajua unatakiwa kufanya nini kwa mama, mwanamke. @batuli_actress
 11. R

  Ndugai siyo Jaji/ Hakimu hana mamlaka ya kudai ushahidi

  Ndugai siyo Mahakama kuwa inahitaji ushahidi kama alivyodai. Yeye anachotakiwa kuthibitisha ni kuwa barua aliyopokea imetokea Chadema na kufuata sheria an kanuni na taratibu za kuandika barua hiyo eg Imetolewa na Katibu Mkuu, ameisaini, ina mihuri ya chama (Kama mihuri unahitajika)etc...
 12. R

  Pamoja na mishahara kutopanda, nimetoka uwanjani na amani moyoni kwa kutofokewa na lugha za kejeli

  Matumaini ilikuwa kupanda mishahara, haikuwa hivyo lakini Kuna sababu maana Mwendazake alivuruga uchumi mpàka 4.7 growth. Kilichonipa faraja ni kutofokewa, kutukanwa , kukejeliwa na kuwapiga shangazi zetu. Tumebembelezwa kuwa mwakani tutapandishiwa. Kuna tumaini, mama ni mzazi! Tuombe uzima...
 13. R

  Kama DC ametukana na bado yuko kwenye ofisi ya imma, Basi itakuwa afadhali ya mkoloni

  Katika Hali ya kawaida na utawala Bora, matusi yale ya DC yalibidi yamwondoe ofisini. Bado yupo Kama vile hakuna "uhalifu" alioufanya. Angalau Jiwe alimwajibisha aliyetishia mtu na pistol. Sasa mama yetu anaona ni sawa matusi hadharani. Tumeliwa tumeisha, titajuta milele na milele
 14. R

  Wajibu wa viongozi kutii Katiba na sheria: Waziri Mkuu wa Thailand atozwa faini kwa kutovaa Barakoa

  Waziri mkuu Thailand Prayut Chan-o-Cha ametozwa faini ya $190 kwa kosa la kutovaa Barakoa baada kuwepo kwa tahadhali zaidi nchini humo.Prayut aliweka picha katika ukurasa wake wa facebook ikimuonesha akiwa kwenye kikao bila barakoa. Take home msg: Rais/Waziri Mkuu hamko juu ya Sheria. --- As...
 15. R

  Martha Koome apendekezwa kuwa Chief Justice wa Kenya

  Mwanamke wa kwànza kuwa Chief Justice wa Kenya. Wakenya wameamua kufanya mageuzi ya judiciary. Kwangu nawaongeza. Court of Appeal Judge Martha Koome has been selected to succeed Chief Justice David Maraga. Her name will be forwaded to President Uhuru Kenyatta for approval, and, thereafter...
 16. R

  Aulizaye ataka kujua: Hivi mabasi ya mwendokasi ni mali ya nani per se?

  Waziri Mkuu, Majaliwa kamsimamisha Mkurugenzi wa fedha. tetesi ni ile ni mali ya watu binafsi sasa Majaliwa anaingiliaje hapo? Nakumbuka kulikuwa na utata wa nani anamiliki mara zabuni haikufuata taratibu etc. JE NI MALI YA NANI? KAMA UBIA UKOJE? NANI WENYE SHARES?
 17. R

  TMA vs BBC/CNN weather forecast: Mama Kijazi mnakosea wapi?

  Kwa wiki kama mbili nyuma sasa, TMA walitoa utabiri kuwa kutakuwa na mvua kubwa mikoa ya ukanda wa pwani ya Tanzania. Haikutokea mpaka leo hii hakuna mvua. Jana nikaangalia BBC/CNN weather wakasema coast of Tanzania with a mentin of DSM kutakuwa na mvua. Kweli sasa hivi niadikapo mvua kubwa...
 18. R

  Msaada wa tatizo la constipation tafadhali

  Nina mgonjwa anasumbuliwa na constipation. Nimempa duculax lakini haijasaidia. Mwenye alternative medicine anisaidie tafadhali. Maji, mapapai na matunda mbalimbali etc haijasaidia lolote.
 19. R

  Kesi George Floyd: Inadhihirisha alivyosema Shaaban Robert kuwa Uanasheria ni elimu ya kupingana na haki

  1. Defense wanajenga hoja, wana create doubt kuwa kwa vile Floyd alikuwa anatumia madawa ya kulevya na alikuwa na magonjwa ya moyo, basi kifo chake kwa kiasi kikubwa kilichangiwa na matumizi ya madawa ya kulevya ma magojwa ya moyo aliyokuwa nayo na siyo kukosa hewa kulikosababishwa na...
 20. R

  In the era of covid 19 pandemic: Tuna mahitaji yanayotofautiana sana-angalia mahitaji yetu yalivyo diverse in terms of defying covid-19 restrictions

  1. Wazungu wana defy covid restriction ili waende beach kuogelea. Wao shida yao ni kustarehe! Beach partygoers in Barcelona defy Covid-19 restrictions 2. Wahindi wamefanya kitu kinaitwa super spreader kwa kwenda mto Ganges kuogelea ili watakaswe dhambi zao! wao shiida yao ni dini, waondolewe...
Top Bottom