Search results

 1. Philipo D. Ruzige

  Motherboard ya HP 430 G2 inahitajika

  Hi, Nahitaji motherboard ya HP Probook 430 G2. Kama unayo au kuna Mtu unaweza nilink nae nitashukuru. Contact: 0745 09 09 05 (whatsapp/calls)
 2. Philipo D. Ruzige

  Wapenzi wa Bus Simulator Indonesia tukutane hapa

  Morning Guys Naamini tupo sawia na wale wa Daslam mnajiandaa na bonge la party J'pili [emoji38][emoji38] Kichwa cha habari chahusu. Kama wewe ni mpenzi wa bus simulator Indonesia au mpenzi wa android games karibu tufanye kushare skin, mods na tactics nyinginezo kwenye bus simulator...
 3. Philipo D. Ruzige

  Naomba kujuzwa Daktari bingwa wa Macho

  Hello guys. Poleni na hizi mbinde mbinde za Korona. Kuna tatizo la macho linalomsumbua mwanangu. Kwa sasa yupo Clinic CCBRT. Sasa basi, nilikua naomba kusaidiwa kupata nambari ya dokta bingwa wa macho, au nipatiwe clinic yake au kama yupo humu jukwaani anijuze tu nitamtafuta. Nitashukuru...
 4. Philipo D. Ruzige

  Fundi cherehani wa kiduku wa NK

  Nadhani huyu fundi ndio mtu jasiri kabisa duniani. Yani pamoja na huyu mjomba kuogopwa ila yeye anamshonesa jisuruali kama ligunia[emoji23][emoji23][emoji23] "Ruzige"
 5. Philipo D. Ruzige

  Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018)

  Hello JF. Wazoefu zaidi yangu naomba ushauri ipi ni simu sahihi kuchukua hapo kati ya hizo tatu. Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018) Price: Zote napata kwa bei moja ya 220000/= (Used , import from Dubai). Zote storage ni 32GB. Condition: Clean as new Cc...
 6. Philipo D. Ruzige

  400K ! Nitumie picha niweke dhamana

  Hii ni kiboko. Hii kitu ni zaidi ya dhamana.[emoji16][emoji16]
 7. Philipo D. Ruzige

  Embe Nyonyo.

  Maembe adimu sana haya. [emoji4][emoji4]
 8. Philipo D. Ruzige

  Kizazi cha Bonanza

  Sijui bongo tunatengeneza kizazi cha ina gani. ? Hii mikamari ya bonanza ni janga na wahusika wameshafeli kuidhibiti. (huu ni upuuzi) Haya madubwashwa yanawekwa wekwa tu kama maandazi bila udhibiti wowote. Watoto wanayachezea haya madubwasha na wahusika wapo kimyaaaa. Sijui pesa wanatoa...
 9. Philipo D. Ruzige

  Academic Transcript ya UDOM - T/UDOM/2011/02961 imeokotwa

  Hello JF Nimeokota Academic Transcript ya UDOM JINA: RAMADHANI, SAID REG: T/UDOM/2011/02961 COLLEGE: EDUCATION PROG: BACHELOR OF EDUCATION IN SPECIAL NEEDS Kama unamfahamu muhusika basi mjuze. Cont: 0656400654 Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Philipo D. Ruzige

  Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

  Hello Techs, Naona sasa ule ubishi wa kiwango cha ubora wa simu za TECNO kinaelekea mwisho. Uliwahi anzishwa uzi humu, watu fulani wakakomaa kuwa simu za Tecno hazipo GSM ARENA hivyo hazina ubora wa kuuzika ulaya. USA etc. Sasa GSM ARENA wameziweka rasmi simu za TECNO , je mna jipya...
 11. Philipo D. Ruzige

  Msaada: M-Pesa MasterCard

  Hello Tech. guys. Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal. Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe. Mana hizo website nikitumia crdb visa card inakubali tu bila shida. Nimewapigia voda wanasema kama haitaki...
 12. Philipo D. Ruzige

  Majibu ya mfanyakazi wa NMB kuhusu kadi ya ATM

  Hello , Ijumaa nilienda kupokea kadi yangu ya NMB mpya baada ya kupoteza ya awali. Sasa kilichonishangaza ni majibu ya muhudumu wa qubicle ya kupokelea kadi. Nilimuuliza "hivi vistari vinne vilivyojokunya kwenye hii kadi vina maana gani? Kwa kuwa mastercard yangu iliyopotea haikua navyo"...
 13. Philipo D. Ruzige

  Waliofariki ajalini wasimulia......

  Kama ni kweli , hii ni aibu kubwa aisee
 14. Philipo D. Ruzige

  Hili ndio Gundu haswaa

  Nipo ndan ya basi nimekaa na papuchi, nimenunua korosho kiroho safi nikasema nimgawie kidogo basi kakinga mikono miwili ile kumimina tu kumbe nimeshika pakti vibaya nashtuka zimeenda nyingi kwake yani nimebaki na za kusuuzia mdomo tu. [emoji35][emoji35][emoji35] Huyu demu sijui ni chuma ulete...
 15. Philipo D. Ruzige

  Nafasi ya Kazi Halotel Mtwara

  Wale wa Kusini Kuchele changamkieni hii. Mwisho ni tarehe 25/08 Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Philipo D. Ruzige

  Huu ni upigaji mwingine kwa jina la Jeshi la Polisi

  Habari Wanajukwaa. Nimebahatika kuona tangazo ambalo naamini 100% ni utapeli. Ni matangazo ambayo yamesambaa sana kwenye vituo vya daladala especially maeneo ya tegeta. Yani hapa nazionea huruma zile familia maskini zitakavyopigwa pesa.
 17. Philipo D. Ruzige

  RPG Tena... ?

  Just ha ha ha... Hivi kuna umuhimu wa kubebana na RPG kitaani....?
 18. Philipo D. Ruzige

  Karibu Town

  Mkitoka mikoani muwe mnauliza.. .
 19. Philipo D. Ruzige

  Nyumba Inapangishwa

  Hiyo nyumba hapo mbele inapangishwa. Bei maelewano...
Top Bottom