Search results

 1. kitonger

  King'amuzi cha Azam hakiwaki

  Habarini Wakuu.Nina King'amuzi changu cha azam sikukitumia yapata 4 months,leo nakiwasha hakiwaki..nikajua tatizo ni adapter,nikakijaribisha kwa jirani yangu kupitia adapter yake..lakini bado tatizo lipo vilevile..Msaada wakuu nifanyaje.
 2. kitonger

  Naomba msaada jinsi ya kurudisha muamala wangu Airtel Money

  Habarini wakuu,saa 3 usiku wa leo nlihamisha 8500 kutoka airtel kwenda sportpesa, bahati mbaya nimekosea codes pesa ikaenda pasipojulikana. Nawezaje kuirudisha pesa yangu? Msaada wakubwa zangu.[emoji120][emoji120]. Hii hapo chini ndo text iliyokuja immediately nlivyofanya muamala.
 3. kitonger

  Msaada ndugu zangu Pc yangu haifunguki

  Habari wakuu..Nina laptop ya Dell..nimeiwasha Jana iliandika maneno hayo.msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom