Search results

 1. mhuri25

  Kwa wafuasi wa CHADEMA na baadhi ya viongozi wao

  Umofia wanajamii humu ndani kabla ya yote naomba kusisitiza KUNAWA MIKONO KWA SABUNI NA MAJI SAFI YANAYOTIRIRIKA, ZAIDI KUKAA MAJUMBANI MWETU PIA KUFUATA MIONGOZO NA KANUNI ZA AFYA. Turejee sasa katika mada tajwa hapo juu, maalumu kwa wanachama, wafuasi, wakereketwa na baadhi ya viongozi wa...
 2. mhuri25

  Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali, Brigedia Jenerali Suleiman Mzee awa Kamishna Jenerali Mpya wa Magereza

  Rasmi ile kauli ya Mtukufu kuwa ipo siku atateua Mwanajeshi kuwa Kamishina Jenerali wa Magereza imetimia leo Baada ya kumteua Brigedia Jenerali Suleiman Mzee kutoka JWTZ kuwa Kamishina Jenareali wa Magereza na Naibu Kamishina John Masunga Toka Magereza kuwa Kamishina Jenerali wa Zimamoto na...
 3. mhuri25

  Sherehe za uhuru 2019 kitaifa kufanyika jijini Mwanza

  Wakuu habari za wakati huu, kuna taarifa za chinichini japo hazijawa rasmi kuwa SHEREHE ZA UHURU mwaka huu kufanyika kitaifa jijini MWANZA, kiukweli nimeridhishwa na maamuzi haya kuleta sherehe hizi mikoani. Rai yangu kwa SERIKALI isiishie Mwanza tu mwakani waangalie hata KIGOMA huko angalau...
 4. mhuri25

  Nahitaji kumfanyia Application mdogo wangu katika ngazi ya Stashahada/Diploma kupitia NACTE

  Wakuu habari ya wakati huu, samahani nahitaji kumfanyia Application mdogo wangu katika ngazi ya Stashahada/Diploma kupitia NACTE nimekutana na maelekezo yanasema 10,000/= per Institution na sio per Institutions asa wasiwasi wangu ni kuwa ina maana kwa kila taasisi au chuo nitakachochagua nalipia...
 5. mhuri25

  Msaada wa kioo cha simu TECNO SPARK #

  Wakuu habari ya wakati huu.. Samahani kuna hiyo simu imepasuka kioo imetoa mistari mingi Sana baada ya kudondoka chini ila touch inafanya kazi Kama kawaida!!! Nauliza Inaweza kubadilishiwa kioo na je bei ni shilingi ngapi ukijumlisha na ufundi... Location DODOMA MJINI
 6. mhuri25

  TANZIA: Dr. Carjetan K. Maganga (Mzee wa EF 100) AMETUTOKA

  Kwa wale waliopita UDSM hasa toka SoED, CoNAS na wale wa CoSS& CoHU mzee wetu mkufunzi wetu Dr Cajetan K. Maganga Mzee wa EF 100 ametutoka hatunae tena. namkumbuka mzee huyu kwa jinsi alivyokuwa mwalimu mashuhuri sana katika Philosophy of Education na alivyokuwa simple sana wale wadau wa CAFE...
 7. mhuri25

  NENDA CHUO NA JONATHANI KWIZERA; ACHA NISHARE

  Kalamu ya Miambili ya Jonathan Kwizera (JK), Katibu Mkuu Mstafu DARUSO na Mhitimu UDSM* Nakupongeza kwa kufaulu kwenda Chuo Kikuu , aya nenda Mdogo wangu. Wanafunzi 40,000 watapata mkopo , na wewe utapata mdogo wangu nenda. Najua hujawahi kumiliki hata elfu 20 ya kwako mdogo wangu. Pesa...
 8. mhuri25

  Sifa zinaponza

  Ebwanaeeeh Wakuu juzi hapa tukiwa ndani ya Usafiri Wa UMMA Jamaa mmoja mtanashati na anaonekana mambo safi kidogo akiwa ndani ya gari akawa anajifanya anajua kila kitu ilmradi tu apate sifa baada ya muda kidogo Mara Simu yake ikaita jamaa kwa kupenda Sifa tu kama kawaida yake si akaweka loud...
 9. mhuri25

  Huwa nakerwa sana na hii kauli 'Upelelezi haujakamilika'

  Hello Wakuu ndani ya GT ni Jumapili moja maridhawa kabisa pengine ya mwisho kabisa kwa mwezi huu August... Wakuu awali ya yote Mimi sio mwanasheria sisomi sheria na wala sina interest na sijawahi kuwa na interest za kusoma sheria....Kutokana na akili hizi za MEMKWA nilizonazo pengine ndio maana...
 10. mhuri25

  Naomba ufafanuzi wa Udahili St. Joseph University

  Wakuu habari ya wakati huu Alhamis moja maridhawa kabisa... Samahani hivi hawa St Joseph wamekuwa wakifanya udahili wao Buree ONLINE ukimaliza kutuma baada ya muda unatumiwa sms kuwa You are provisionally selected!!! Sasa swali langu ni Je watatoa toa selection ambazo ni CONFIRMED na kwa...
 11. mhuri25

  Icons za kupiga, Meseji na Majina hazifanyi kazi kwenye Huawei Y360, tatizo nini?

  Habari ya wakati huu wakuu...Samahani Mimi kijana makini na maskini nina Simu tajwa hapo juu ambayo wiki iliyopita ilikuwa ikistuck sana mpaka nakosa raha ya kutumia sasa kupita pita kwa rafiki zangu na watu wakaribu nikapewa ushauri ni-reset Basi nikafanya nikafuta kila kitu majina mpaka...
 12. mhuri25

  Prof. Palamagamba Kabudi ni nani!?

  Wakuu habari ya wakati huu poleni na majukumu yenu!! Samahani najua huenda huyu mtu niliemtaja hapo juu humu ndanj ameshawahi kuzungumzwa. Ningependa kama kuna mtu ama watu waweze kumuelezea kidogo hasa Wasifu wake pia bila kusahau ni mwenyeji wa wapi sina nia mbaya ila ningependa tu...
 13. mhuri25

  UDOM na UDSM: Kipi ni chuo bora

  Wakuu habari ya wakati huu... Natumaini wote humu ndani ni wazima na mnaendelea Vizuri na shughuli zenu za hapa na pale japo changamoto haziepukiki... Twende moja kwa moja kwenye mada kumekuwa na mabishano mengi kuhusu kipi ni chuo bora watu wamekuja humu na Points zao lukuki Kuwa wao ni bora...
 14. mhuri25

  UDOM WAACHIA MAJINA YA SELECTED APPLICANTS INTO NON DEGREE PROGRAMME

  Uteuzi huo umehusisha baadhi tu ya colleges, college kama health science bado ingia kwenye website yao sasa!!!!!!!
 15. mhuri25

  UDOM 2 batch selection pdf

  Pakua hapo chini
 16. mhuri25

  Naomba kufahamishwa kuhusu Singida Health Laboratory Training Centre

  Shikamoni wakuu, natumaini asubuh hii mko vizuri kabisa aseeh samahani sana anaefaham hicho chuo hapo juu ni lini hasa wanaanza mwaka mpya wa masomo pia namna ya kupata joining instruction form katika ORDINARY DIPLOMA IN MEDICAL LABORATORY SCIENCE anisaidie Ahsanteni!!!!
Top Bottom