Search results

 1. Kaburiwazi

  Msaada wa haraka kwa wenyeji wa Morogoro

  Heshma yenu ndugu, nina safari ya kwenda Morogoro leo huenda nitaondoka kwa magari ya kuungaunga na ninaamini nitafika usiku. Moro sipajui kiviiile, huwa napita tu nikienda Dom, natakiwa kuwepo mitaa ya jamhuri kesho asubuh hivyo nitafika usiku naamini. So naombeni mnijuze maeneo rafiki...
 2. Kaburiwazi

  Anthony Joshua vs Jarrell Miller. June 1, 2019

  Joshua – Miller Nationality: British – American Age: 29 – 30 Height: 6ft 6 – 6ft 4 Reach: 82in – 78in Record: 22-0-0 – 23-0-1 KOs: 21 – 20 Rounds: 83 – 88 Nickname: AJ – Big Baby UNADHANI NANI ATACHAPIKA? Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Kaburiwazi

  NATAFUTA TUITION CENTRE MITAA YA TABATA BARAKUDA.

  Kichwa cha habari kinahusika, nimehamia Dar rasmi mwaka huu. Kuna sehem nimefikia kwa muda ila mwishoni mwa mwezi huu (January) nitahamia tabata barakuda, nina mpango wakurudia mtihani wa kidato cha4 mwaka huu. Hivyo naomba wadau mnasaidie kunijuza kituo cha kusomea kwa maeneo ya tabata...
Top Bottom