Search results

 1. Lee Napoleon

  Sketi za mpira, na vigauni vifupi vya mpira

  Sitaki kusema mengi ila kama ni mwanaume Mimi tu ndo zinanipa tabu basi sinabudi kuvumilia. Kiukweli nikikutana na mdada amevaa hizi awe mwembamba au mnene napata shida Sana hasa ukute shape kajaaliwa. Hata kama kuna jambo nafanya muhimu napoteza concentration kabisa naeza haribu Kazi...
 2. Lee Napoleon

  Beef ya Nas na Jay Z nani alishinda

  Kwa wale wanajamii wafatiliaji wa muziki Wakufoka ( hip hop ) nadhani hayo majina Na kilichokajiri haviwezi kuwa vigeni kwenu. Kwa uchambuzi wa kawaida tukizingatia Ushairi, style na production nani alimuua Mwenzake kwenye zile disstracks. Zingatia hayo niliyoyasema. Ushairi.. Rapping style...
 3. Lee Napoleon

  MWANAUME KUWA NA RAFIKI WA KIKE

  Habari wana jamii wenzangu Wenye upendo na utani unaotufanya Tufurahi na kuelimika tukiingia katika mjumuiko huu wa majukwaa yetu. Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, Mimi kijana wala sio mzee so bado najifundisha mambo mengi ya kwenye jamii zetu. Najua humu tuna watu wazima waliopitia...
 4. Lee Napoleon

  Msaada wazoefu biashara ya vyombo

  Habari Wana jamvi muhimu kwa vijana. Natanguliza salamu za dhati kwenu... Suala naloleta mezani ni kwa wenye uzoefu wa biashara ya vyombo vya ndani. Nikimaanisha Bakuli, vikombe Mabeseni Majaba Na KADHALKA Kwa wenye uzoefu tafadhali nina mambo naomba kuyajua na kama kuna mambo ya Umuhimu...
 5. Lee Napoleon

  Kazi za RedTag

  Kwa waliowahi kusaka kazi za hii company Au wanaofanya kazi process zikoje ukishafanya interview. How long does it take to call for qualied People to start working. Additional... If there is any job or deal in Dodoma, Dsm or Moro tuchomekeane wazee. Ahsanteni.
 6. Lee Napoleon

  WADADA MUPUNGUZE UJUAJI...

  Mambo ya kuambia boy wako sijui hujui kitu, Mbumbumbu ukimpa maelekezo kistaarabu anayageuza kusema we hujui mara hujielewi hata kama hajasoma tafadhali mheshim tu ninahasira kishenzi nimetoka kugeuza hii manzi kuwa chombo ya kula na kuepa sababu ni ujuaji... Yaani utadhani amenitoa leo kwetu...
 7. Lee Napoleon

  Wadada punguzeni ujuaji

  Mambo ya kuambia boy wako sijui hujui kitu, Mbumbumbu ukimpa maelekezo kistaarabu anayageuza kusema we hujui mara hujielewi hata kama hajasoma tafadhali mheshim tu ninahasira kishenzi nimetoka kugeuza hii manzi kuwa chombo ya kula na kuepa sababu ni ujuaji... Yaani utadhani amenitoa leo kwetu...
 8. Lee Napoleon

 9. Lee Napoleon

  WADADA MUPUNGUZE UJUAJI...

  Mambo ya kuambia boy wako sijui "hujui kitu" "Mbumbumbu" hata kama hajasoma tafadhali mheshim tu ninahasira kishenzi nimetoka kugeuza hii manzi kuwa chombo ya kula na kuepa sababu ni ujuaji... Yaani utadhani amenitoa leo kwetu Masasi Ntwala. Wallah hatupendi hizi pigo wadada tuheshimiane Sent...
 10. Lee Napoleon

 11. Lee Napoleon

  Njia ya kupunguza risk ya kuwa mchepuko au kupangiwa foleni

  Dada zangu kabla haujaingia kwenye mahusiano na jamaa yeyote yule. Akianza kukusumbua fanya hivi... Chukua picha yake post facebook, instagram, twitter, Snapchat na WhatsApp status uliza huyu boyfriend wa nani..? ( Hakikisha unamTag ) Kama ikipita wiki hakuna alojitokeza Kusema ni wakwake, uko...
 12. Lee Napoleon

  KUJUA KUGEGEGEDA VIZURI NI RAHA MSIAMBIWE

  Kama tittle inavyoonesha, kuna huyu binti maringo nilikua namuonaga tu kwenye mtandao wa jamii ni kwamba nilikua namuelewa sana ila nilikua nasoma huko Dar kusikoisha mashaka mara Amber, Mara Tzswitati, Mara mashog na kadhalika. Basi nimerudi mkoani mtoto sikumuona kama 2weeks ni ananata kinyama...
 13. Lee Napoleon

  Top 10 world philosophers

  Top 10 Greatest Philosophers in History This list examines the influence, depth of insight and wide-reaching interest across many subjects of various “lovers of wisdom,” and ranks them accordingly. It should be noted, first and foremost, that philosophy in its traditional sense was science –...
 14. Lee Napoleon

  Tuzungumzie hili bifu lililowahi kutokea kati ya Langa na Jay Moe

  Kuna kipindi mwaka 2007 ilitokaga ngoma flani (nmeisahau kidogo) ila Jay Moe alishirikishwa then kwenye punch za MOE aliandika "AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA// WASHTUE WADOGO ZAKO WAACHE PODA WALE MMEA//" Halafu ikatoka ngoma ya Langa tena ilitoka ghafla bila kudhamiria kwa madai yao. Ndani...
 15. Lee Napoleon

  MTU AEKE CLARIFICATION HAPA

  Mwenye uzoefu na risasi inaeza kukona hivi ikipgwa juu? Au askari wetu wanatuona mabwege
 16. Lee Napoleon

  NA HII TABIA I HOPE MMEIACHA 2017

 17. Lee Napoleon

  KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI UALIMU

  Mwalimu wa shule ya Msingi niko Wilaya ya Newala mkoani Mtwara. Natafuta mtu wakubadilishana nae kituo cha kazi alieko Pwani au Dar es salaam au Tanga mjini. Ahsanteni
 18. Lee Napoleon

  Kinachotufanya wanaume tufeli kumantain relationship goals

  MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10. Mlinzi 11. Mpishi 12. Fundi umeme 13. Fundi bomba 14. Mchungaji 15. Mzee wa kanisa 16. Shehe 17. Daktari...
Top Bottom