Search results

 1. Sijijui

  Rais Samia achana na kuikumbatia CCM, fanya kazi zenye Maslahi mapana kwa Watanzania

  Kwani aliyeagiza uchunguzi ufanyike ni kigogo?
 2. Sijijui

  Hii inatokea na inawezekana tu Tanzania, hivyo acheni wenye Akili watucheke na watudharau kwani tumejitakia na tunastahili

  Naomba kujua ndani ya miaka 23 ya uongozi wake,Nyerere aliongoza awamu ngapi?
 3. Sijijui

  Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

  Katiba yetu inataja degree kama moja ya simu za mtu ili awe rais mkuu.sasa tunaapa kulinda katiba ipi sasa au tuipige chini tu kama tunashindwa kufuata utaratibu tuliojiwekea wenyewe
 4. Sijijui

  Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

  Katiba yetu inataja kiwango cha elimu cha angalau first degree ndiyo uqualify kuwania na kuwa rais wa nchi hii
 5. Sijijui

  Kwanini wanataka kuzuia Rais Samia Suluhu asiende kinyume na Hayati Magufuli?

  Nadhani shida kubwa kwake itakuwa ni katiba,hivi mkiangalia mle bungeni kuna watu wengine zaidi hao wanaomzunguka?
 6. Sijijui

  Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

  Kazi ya CAG si kutafuta mazuri yaliyofanywa na serikali,
 7. Sijijui

  Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

  Ulitakiwa kusema umeridhika na si kutujumuisha wote kuwa tumeridhika na wezi wa magufuli na wanaccm wengine
 8. Sijijui

  Waziri azifunga leseni za Madereva wa Mabasi 10 kwa kuendesha speed 125 kwa saa. Aagiza washtakiwe

  Wasiguse magari kwa nini? Tangu lini wanyonge mmeanza kuogopa kufa?
 9. Sijijui

  Waziri azifunga leseni za Madereva wa Mabasi 10 kwa kuendesha speed 125 kwa saa. Aagiza washtakiwe

  Jamani tumeanza kuogopa kufa tena? Au sisi tunaogopa vifo vinavyotokana na mambo mengine isipokuwa Corona
 10. Sijijui

  Kujenga miundombinu na kuruhusu wamachinga wasibughudhiwe ndio kusema kunafuta madoa ya utawala wa hayati Magufuli?

  Magu amefanya makosa mengi kuliko mazuri,deni la taifa sasa ni 60 tri,yaani ni kubwa kuliko vitu vyote tulivyonavyo kama nchi
 11. Sijijui

  Kujenga miundombinu na kuruhusu wamachinga wasibughudhiwe ndio kusema kunafuta madoa ya utawala wa hayati Magufuli?

  Hiyo miundombinu yenyewe aliyojenga iko wapi wajamani? Au ni hii reli ambayo haijafikia hata 30% ya kukamilika kwake?
 12. Sijijui

  Ungekuwa Rais Samia nani ungeanza kumtimua?

  Kama kweli alisema hivyo na kama kweli anaakili anapaswa kujiuzilu wala hana subabu ya kusibiri kutumbuliwa
 13. Sijijui

  Ushauri kwa viongozi wa Umma kuepuka kutumbuliwa na Rais Samia Suluhu

  Samia anaakili na ni mstarabu wewe,hawezi kamwe kufata ujinga wa magu,magu alikuwa mfano mbaya katika jamii ya wastaarabu
 14. Sijijui

  Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

  Adui wa kwanza wa nchi hii alikuwa ni mwenda kwao,mwenda kwao was a very shirt sighted leader aliyeangalia tu maslahi yake ya kisiasa tena ya muda mfupi,kwa hiyo mtu yeyote aliyeonekana kuwa against upinzani basi alimpa cheo na wengine kuwapa kazi idara ya usalama,matokeo ya kazi yake hiyo ndo...
 15. Sijijui

  Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

  Lakini pia umesaidia kuprove namna mwenda kwao alivyoharibu akili za watanzania
 16. Sijijui

  Demokrasia inavyohujumiwa CCM. Mwenyekiti hana mshindani

  Maana nzima ya ccm kufanya rais ndo awe mwenyekiti wa chama kwanza ni hulka yao ya kutaka kutumia resources za nchi vibaya au kwa manufaa ya chama Chao na pili kurahisisha wizi wa kura kupitia vyonbo vya serikali na tatu chama kutotambua wajibu wake kwa serikali basi
 17. Sijijui

  Demokrasia inavyohujumiwa CCM. Mwenyekiti hana mshindani

  Kwani democracy inamtaka mtu aongoze kwa miaka mingapi aisee
Top Bottom