Search results

 1. Dnmunisi

  Hivi kumuota mtu mara kwa mara ina maana gani?

  Wakuu mimi nina rafiki yangu tulikuaga mabest sana advance lakini tulivyorudi mtaani kila mtu na mishe zake hakuna anayemtafuta mwenzake imetokea tupo nae chuo kimoja sema kozi tofauti ila ukaribu wetu sio sanaa tena kama kipindi kile tukiwa advance. Sasa inanitokea mara nyingi ninakuwa namuota...
 2. Dnmunisi

  Nina tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi

  Habari wana Jf Jamani mimi ninasumbuliwa na tatizo la macho tangu nikiwa na miaka saba macho yananiwasha sana muda wote mchana na usiku pia ila usiku ndio sana na kadri ninavyokua ndo naona yanazidi kuwasha na kutoa machozi na yana maumivu makali yanachoma choma. Nimeenda hospitali nikapewa...
 3. Dnmunisi

  Ufahamu kuhusu kozi ya HIS

  Ni matumaini yangu mu wazima na mnaendelea vema na majukumu ya hapa na pale Kuna hii kozi inayoitwa health information system (HIS) inatolewa UDOM ninaomba kujua inahusika na nini na pia mtu anaweza akafanyia wapi kazi na soko lake apa Tanzania lipoje? Shukrani sana
 4. Dnmunisi

  Naomba ufafanuzi wa taratibu za kufuata endapo mwanafunzi ambaye ni mnufaika wa mkopo na ambae ameshasajiliwa chuo kingine kama anaweza kuomba upya

  Habari za wakati huu, ni matumaini yangu kuwa mnaendekea vizuri na shughili za kujenga taifa..hongereni sana Kuna mdogo wangu yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dodoma (udom) anasomea environmental science kufikia hapo alipo anasema anachokisomea hakipendi na kwamba alikubali tuu...
 5. Dnmunisi

  Kati ya kozi ya Interior Design na Multimedia Technology and Animation ipi ina soko Tanzania na ipi ni nzuri kusomea?

  Habari zenu jamani... Ninaombeni ushauri wenu kuwa kati ya Interior Design na kozi ya Multimedia Technology and Animation ipi ni kozi nzuri kusomea na yenye wigo mpana wa ajira hapa Tanzania. Nitashukuru kwa ushauri wenu
Top Bottom