Search results

 1. Mallia

  Siku basi la mwendokasi likilipuka na watu ndani ndio Serikali itaanza kuchukua tahadhari?

  Niko Magomeni hapa mwenye macho haambiwi ona kuwa huu mradi kwa sasa umelemewa na sio salama tena kwa afya za watu na usalama wao pia. Gari 100 haziwezi kuwamudu watu wote wa Dar es salaam ambao wanatumia usafiri huu , magari yamechakaa na yanajaza watu kupitiliza kitu ambacho ni hatari kwa...
 2. Mallia

  Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

  Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
 3. Mallia

  Lulu ameruhusiwa vipi kuingia na hili vazi kanisani?

  Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha binti kifua kipo wazi hivyo anaruhusiwa vipi kuingia ndani ya kanisa hivyo Sina wivu jamani ila...
 4. Mallia

  Ushauri wangu kuhusu COVID 19 ni kila mtu akae mguu sawa

  Ushauri wangu kutoka South Africa ambapo nimepata experience kubwa ya huu ugonjwa na mimi nikiwa ni mhanga wa huu ugonjwa ni kwamba hakuna aliye salama na unamvamia kila mtu kwa mda wake yaani mnaweza familia moja akaupata mtu mmoja au wawili na wengine mkaponea lakini baada ya miezi kadhaa...
 5. Mallia

  Niko kwenye Dar express imetoka Dar saa 12 kasoro hadi sasa saa moja usiku haijafika Arusha

  Sijui niseme ndio kampuni imechoka au Dereva kachoka ama ni sheria za usalama barabarani maana gari imetoka Shekilango saa 11 na dk 50 asubuhi hadi usiku huu saa mbili kasoro haijafika Arusha na imepita njia fupi ya Bagamoyo. Haijaharibika njiani wala nini wala kusimama simama maana imetoka Dar...
 6. Mallia

  Wanaume wengi humu ni wanafiki mnaponda wanaowekeza kwa wanawake wakati mpo wengi

  Nimeshtuka baada ya kuona uzi wa member aliyekuja kuomba ushauri kuhusu kuwekeza kwa mwanamke , na kati ya waliokuwa wanamponda mmoja wapo nishamchuna sana tokea naanza jf alikuwa ananisumbua sana pm, hadi nikampa namba think mtu hatujawahi kukutana nilikuwa natumiwa hela kila nlipohitaji na...
 7. Mallia

  Tunapinga majaribio kufanyiwa Afrika ila Dawa ikipatikana tunaililia tuletewe

  Lengo la uzi huu sio ku-support wazungu kutaka kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Africa bali ni kuambizana ukweli kuwa Waafrica hasa wataalam wetu vichwa vimelala. Rejea madawa ya Ukimwi Arvs, madawa ya TB, Homa ya Ini, Malaria, Ebola na magonjwa mengine mengi yanayoisumbua Africa...
 8. Mallia

  Ningekuwa Jacqueline Mengi ningefanya haya kuepuka migogoro

  Mabinti wengi huwa tunajisahau kuweka mambo sawa mapema pale tunapojukuta tupo mikononi mwa hawa wazee Matajiri maana wengi mda wowote kukuacha mjane ni kitu cha kawaida. Ningekuwa Jaqy mapema sana ningemshauri mzee aniwekezee biashara zangu peke yangu au aniwekezee kiasi cha fedha kwa siri...
 9. Mallia

  Nipeni ushauri: Mdogo wetu wa kuasili anataka mali zote zilizoachwa na wazazi kwa kisingizio cha kuwa mtoto pekee wa kiume

  Ningekuwa na uwezo au namiliki Risasi ningeshamtandika kwa sababu ni shida hii. Katika familia yetu tumezaliwa Mabinti wawili tu, mimi wa kwanza 1986 na wa pili kazaliwa 1990. Ilipofika mwaka 1992 Baba ailimchukua mtoto mdogo ambaye alikuwa na miezi 16 katika kituo cha watoto yatima...
 10. Mallia

  Mbasha naanza kuamini kuwa Flora hakuwa na tatizo, wewe ndio ulikuwa Mvurugaji

  Huyu kaka inaonekana Flola alikuwa akimcontrol pakubwa sana, kipindi yupo na flora alikuwa anavutia sana kitabia lakini sasa kaka anatukana hadharani na kutoa mada za ajabu ajabu mitandaoni
 11. Mallia

  Wanaume wa Uturuki wana wivu sana na Dada zao, Mdogo wangu katolewa Ngeu

  Ni kule kule kwa akina Hurem mke wa Mtukufu Sultan Turkey , Mdogo wangu anasoma kule mwaka wa pili sasa, So kihoja kimekuja baada ya mwezi wa 12 mwaka uliopita kurudi kwa likizo ya muda mfupi. Alirudi na Ngeu usoni huku jicho lake la kushoto likiwa limevimba, kumuuliza akadai kuwa eti...
 12. Mallia

  Naombeni msaada jinsi ya kuitoa TBC kwenye Chanel List ya Azam na DSTV

  Habari zenu Kama kuna anayefaham jinsi ya kuifuta kabisa TBC isionekane hapa kwenye chanel list naomba anielekeze, kiukweli nikiifungua nakosa amani siipendi kabisa nahitaji ipotee kabisa kwenye chanel list zangu. Naombeni msaaada kwa anayejua.
 13. Mallia

  Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

  Hii imetokea this week kuna Rafiki yangu mmoja nlisoma nae jangwani girls 2007 mimi sikufanikiwa kuendelea na Advance mean nilifeli f~4 yeye akaendelea hadi chuo, UDSM mimi baada ya kumaliza Olevel nikaenda kusomea course fupi fupi tofauti za mashine Opreratots, pale Bandari college nkasomea, ~...
 14. Mallia

  Kama mwanaume humtaki na Aznakusumbua usihangaike nae we mpige vibom vizito tu kama utamuona tena akikusumbua

  Girls wengi wanafunguaga thread humu wakilalamika kusumbuliwa na wanaume lakini hawawataki ila wanalazimishwa tu mapenzi Mwanaume ukijiona humtaki na bado anakung'ang'ania we usihangaike nae, mpige kibom kizito tu cha laki tano na kuendelea kama utamuona tena[emoji23][emoji23] na kukublock...
 15. Mallia

  Nina tatizo la hamu ya ngono mara kwa mara. Je, ni ugonjwa?

  Je, hii hali huletwa na nini na dawa yake ni nini? Ni nguvu za giza au ni hali ya kawaida tu kwa mwanamke yoyote? Au ni sababu ya vyakula nnavyotumia? Ushauri please
 16. Mallia

  Mmiliki halali wa mtoto ni mama au ni baba?

  Eti kwanini wanaume ndio huwa wanapewa asilimia kubwa kama wamiliki wa watoto wanao zaliwa? Ikitokea mimba mwanaume ndio anapewa lawama za kwanza na majukumu yote ya kulea mtoto kama mhusika mkuu na watoto huwa tunawaambia wanaume kwamba tuna mimba zao. Lakini kibaolojia inasemekana kuwa yai la...
 17. Mallia

  Video clip ya udhalilishaji wa mwanamke inayosambaa kwa kasi instagram Jeshi la polisi mulikeni

  Katika mtandao wa instagram kuna video clip ya mwanamke ambaye alikuwa akipokea kipigo kikali kutoka kwa watu ambao wanadai kuwa mwanamke huyo baada ya kuingia katika nyumba ya kulala wageni na mtu wake, alimuibia vitu vya thamani na baada ya mwanaume kurudi chumbani na kushtukia huo mchezo...
 18. Mallia

  Hivi we GuDumee utaacha lini tabia ya kumfungulia nyuzi humu kila mwanamke aliyekuchuna?

  Loooh Mwanaume ana Gubu huyuu sijapata kuona yani. Hata ule miatano yake ni lazima aje kukufungulia nyuzi hapa ya kulia lia. Mwanamke anahitaji matunzo babuu, sio ukihonga unamtangaza mtu hebu badilika we mwanaume Chefuuuu.....
Top Bottom