Search results

 1. Balagha

  Kinachofanywa na ITV kuhusu Hotuba za Muungano si haki kabisa

  Wadau salaam. Kwa muda sasa kituo cha televion cha ITV kimekua kikirusha vipande vya khutuba mbalimbali za hayati baba wa taifa baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Clip hizo huwa ni za mada mbalimbali lakin clip iliyonifanya kuandika uzi huu ni ile inayozungumzia muungano wa...
 2. Balagha

  Kesi ya CUF kwa Lipumba na Msajili

  Wadau habar. Mwenye taarifa nzuri jamani atupashe hivi ile kesi iliyofunguliwa na cuf kumshitaki msajili na lipumba imefika wapi? Maana naona prof. ambaye ni mwenyekiti halali akifanya kazi za chama ikiwemo hushiriki usafi wa jmosi ila mtatiro anakula nchi tu SA.
 3. Balagha

  Madudu NSSF yaweka rehani ubalozi wa Dk Dau

  Tanzania Bwana!! Hata ufanye mema vipi, utathamikika wakati huo tu ila baada ya hapo kila mtu hukulaani kama kwamba hujawahi kufanya lolote lenye manufaa kwa nchi yako. Hivi sasa kuna mbinu za chinichini za dhahiri na za siri zinazofanywa na watu fulani ili dr. arudishwe kutoka Malaysia na...
 4. Balagha

  Zitto: Niya ni uzalendo wa kuisaidia Zanzibar

  Katika muswada anaotaka kuuwasilisha bungeni hakika zitto kabwe niya yake hasa nikuwasaidia wazanzibar maana kwa hakika wao wenyewe hawawezi kujitetea. soma hii. Ndugu Wanahabari na Watanzania kwa Ujumla Oktoba 8 mwaka huu, chama chetu cha ACT Wazalendo kilifanya Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia...
 5. Balagha

  Ajali Chalinze: Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara ya Afya Hellen Semi afariki

  Ajali mbaya imetokea leo maeneo ya chalinze na kuua mkurugenzi msaidizi wa elimu kwa umma wa wizara ya afya kwa jina Helen Semu. =================== Habari Zaidi =================== Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara ya Afya Hellen Semi amefariki leo kwa ajali ya gari huko...
 6. Balagha

  Magufuli ni zaidi ya Nyerere

  Hili halina ubishi na linathibitishwa na watu wengi waliohojiwa kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 17 ya kifo cha Mwl J.Nyerere.
 7. Balagha

  Jussa: Mkoloni Tanganyika hawezi kuacha Zanzibar ichimbe mafuta yake

  Ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook haya: KISIWANDUI IMEITIKA JINA Katika SURA AT-TAUBAH, aya ya 119, Allah ametuusia tumche Mwenyezi Mungu na tuwe pamoja na watu wakweli. Wasia huu hautaki ufafanunuzi kwa sababu maisha yanasherehesha tafsiri na sababu za wasia huo. Watu wasipokuwa...
Top Bottom