Search results

 1. nygax

  Kazi inapoendelea kila Rais anapohutubia Makamu na Waziri Mkuu nao wapo. Imekaaje hii?

  Ndo kitu nachojaribu kusema hapa, kwamba president anahotuba yake, pm nae ananafasi yake na atazungumza vitu tofauti kabisa ambavyo navyo ni muhimu kwa taifa, japo nimesema si Mara zote.
 2. nygax

  Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

  Inawezekana kunashida mahala. Viongozi wetu sasa wanafanya personal attack, wanakuwa more subjective ktk maneno yao hata ktk matendo. Hii iaweza kuwa na madhara hasi ktk ustawi wa taifa letu.
 3. nygax

  Kazi inapoendelea kila Rais anapohutubia Makamu na Waziri Mkuu nao wapo. Imekaaje hii?

  Inawezekena ktk baadhi ya matukio kuna issues ambazo waziri mkuu anahusika sana ktk kuzitolea ufafanuzi kwa nafasi yake, Haina maana kwamba presdent anaweza kutoa ufafanuzi kwa mambo yote kwa wakati mmoja, hivyo anahitaji pengine kuandamana na top officials japo si ktk matukio yote. Suala la...
 4. nygax

  News Alert: Mlimani City, Dar: Rais Samia ongea na Wazee wa Dar es Salaam

  Katika mambo yanayoleta baraka tele ni pamoja na kuwathamini wazee. Nawatakia kila la kheri kwenye mkutano huo.
 5. nygax

  Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue ubunge kwa Haki?

  Mimi nadhani CHADEMA wangeumaliza huu mchezo mapema tu. Hebu pelekeni hizo documents ili hawa 'wasaliti' wapishe mjengoni fasta.
 6. nygax

  Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

  Aisee!
 7. nygax

  BAVICHA: Tumesikitishwa na tunalaani kitendo cha BASATA kuufungia wimbo wa ‘MAMA'

  Basi kama ni hivyo kunatatizo. Inawezekana kumbe kunashughuli nyingi tu hizi unazoziita za kila Siku ambazo zinazaa matunda, lakini hazitengenezewi 'taarifa kwa umma' Mimi nilidhani mafanikio ya shughuli za vyama vya upinzani ndiyo yangepewa kipaumbele kwenye 'taarifa kwa umma' na si haya...
 8. nygax

  Rais Samia Suluhu kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam Ijumaa Mei 7, 2021

  Kwa sababu hizi ni zama mpya ni vizuri wa upande mwingine nao wakaalikwa.
 9. nygax

  Rais Samia Suluhu kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam Ijumaa Mei 7, 2021

  Asante mkuu. Nadhani kama wa vyama vingine nao wakialikwa litakuwa jambo la afya sana kwa ustawi wa siasa za Tanzania.
 10. nygax

  Rais Samia Suluhu kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam Ijumaa Mei 7, 2021

  Aisee ni wazee wote ama wa CCM tu?
 11. nygax

  Rais Samia Suluhu kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam Ijumaa Mei 7, 2021

  Watakuwa ni wazee wote ama wa CCM peke yake?
 12. nygax

  BAVICHA: Tumesikitishwa na tunalaani kitendo cha BASATA kuufungia wimbo wa ‘MAMA'

  Mkuu unaweza kufanya kosa kwa kuweka hayo mashairi maana umefungiwa. Vinginevyo kama wamefungia audio na video peke yake.
 13. nygax

  BAVICHA: Tumesikitishwa na tunalaani kitendo cha BASATA kuufungia wimbo wa ‘MAMA'

  Samahani wakuu, hivi hawa BAVICHA pamoja na BAWACHA wao huwa hawana majukumu mengine ya kichama na labda ya kitaifa? Maana ukisikia haya majina mawili ujue ni tamko flani. Hawana majukumu mengine tofauti na hili la matamko?
 14. nygax

  Hakuna Taifa lililoendelea kwa kujipendekeza na kujidharau

  Wasukuma ni wakazi wa jiji la mwanza ( idadi yake unaifahamu), Lakini ni wakazi wa mkoa wa shinyanga, pia wapo tabora (wanyamwezi) ukiacha idadi kubwa iliyolowea mbeya, pwani, daressalaam na mikoa mingine nchi nzima. Kwa nini sasa unawatukana wasukuma? Tuseme kwamba nchi hii igawanywe kwa...
 15. nygax

  Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

  Unzinzi hutokea pale ambapo mmoja au wote mnashindwa kuwa waaminifu ktk uhusiano wenu. Kama yeye yuko peke yake kwako na wewe uko peke yako kwake then uhusiano wenu unabaraka tele sana, huko kuanguka kiroho kunatoka wapi? Kufanya mapenzi na mchumba wako kunakufanya unaanguka kiroho? Uzi wako...
 16. nygax

  Kongole Rais Samia kwa kutumia Kiswahili ziarani nchini Kenya

  Hili ni jambo jema kwa sababu ingekuwa si haki kupeleka ujumbe kwa waswahili( idadi kubwa ya wakenya wanatumia kiswahili) huku wakikwepa kutumia kiswahili. Vinginevyo mama akienda kwa wazungu bila shaka atatumia 'kizungu' kama ilivyo kawaida.
 17. nygax

  Rais Samia umeanza kutuangusha kabla ya siku 100 za uongozi wako

  Asee, kama hakutakiwa kukaribisha wakenya wanaotaka kuwekeza ktk madini kwa sababu tz inamabilionea wengi kuliko Kenya, Hakutakiwa pia kusema kwamba tz tuna aridhi ya kutosha, Sasa yeye alitakiwa asemeje sasa? Nionavyo Mimi neno 'tunawakaribisha' pamoja na mambo mengine mengi lisingeweza...
 18. nygax

  Katibu Mwenezi na Itikadi (CCM), Ndugu Shaka tumekuelewa

  Hivi aliyesimamishwa kupambana na mgombea wa CCM ni nani huko?
 19. nygax

  Kwanini mume wa Rais Samia Suluhu hajaambatana na mkewe ziarani Kenya?

  Umesema Mara nyingi, hii inamaanisha si Mara zote. Halafu kumbuka suala hili halina ulazima wowote kisheria. Kumbuka pia kwamba yule ni mwanaume kichwa cha familia,anahangaika huku na huko ili familia ile.
Top Bottom