Search results

 1. nsimba

  Wadau wa Elimu hapa itatumika Division au GPA

  Mfumo wa matokeo ya K4 na K6 unapaswa kuwa wa GPA ili kuendana na mifumo ya NACTE na TCU ya udahili yenye mifumo ya GPA Kuwezesha udahili wa watahiniwa kujiunga na elimu ya juu kufanywa na mifumo ya Kompyuta unaowarahisishia watahiniwa kuomba kujiunga na vyuo vya Kati na elimu ya juu kwa simu au...
 2. nsimba

  Wadau wa Elimu hapa itatumika Division au GPA

  Tunaharibu Jukwaa hili kwa kuwa wazushi! Kwenye website ya NECTA kuna tangazo linalokanusha taarifa za mabadiliko haya kuwa ni za UONGO na zimetolewa na watu kwenye mitandao ya kijamii kwa nia ya kuzusha taharuki na kupotosha jamii ya watanzania. Baraza la Mitihani limewataka watahiniwa wote na...
 3. nsimba

  niaje wazee wa jamvi jaman naombeni kujua nimesikia kuwa alama ya ufaulu umebadilishwa ni kwelii???

  Baraza la mitihani limeshakanusha kuwa taarifa hizo za mabadiliko zilizotolewa na baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamii ni za UONGO na zimelenga kupotosha jamii na kuleta taharuki kwa watanzania, na limewataka watanzania kuzipuuza.
 4. nsimba

  Tumshauri Dr. Joyce Ndalichako

  Bro. NECTA hawahusiki na malipo YA wasimamizi mitihani, mhusika ni wakurugenzi wa halmashauri, manispaa na majiji.
 5. nsimba

  Fundi wa marumaru, talazo, mable na pelvng block yupo hapa.

  weka bei yako standard uwe muwazi bana.
 6. nsimba

  Fundi wa marumaru, talazo, mable na pelvng block yupo hapa.

  Shilingi ngapi tiles squire meter moja?
 7. nsimba

  Namchukia Dr. Shukuru Kawambwa

  Chuki binafsi. Mnyongeni mnyongezi lakini haki yake mpeni. Hujatoa hoja na kuithibitisha kwa takwimu, ndo maana inakuwa Kama chuki binafsi.
 8. nsimba

  Baraza la Mitihani, NECTA, Siasa inauwa elimu

  Kwa hoja na Mitazamo yako kaka au dada umefulia. Umejidanganya wewe na mtoto wako. Siyo mbaya, ni mitazamo yenu ambayo siyo sahihi, na haiukubaliki, any way.
 9. nsimba

  Baraza la Mitihani, NECTA, Siasa inauwa elimu

  MchunguZI pole sana kwa kuwa hujui ulisemalo wala ulitendalo. Umedanganywa na kijana wako kwa kuwa kuvuja paper la NECTA Siku hizi ni ndoto za mchana. Pengine umetumwa, hata Kama umetumwa, umetumia hoja dhaifu. Pole!!!
 10. nsimba

  95% ya Wabunge wa viti maalum CHADEMA hawafai kurudi tena bungeni

  mhe. Christowaja Mtinda na Halima Mdee ni majembe haswa
 11. nsimba

  Upangaji wa GPA kidato cha sita

  Utaratibu ni kama ilivyo CSEE. uzito wa A= 5, B+=4, B=3, C=2, D=1 E=0.5 na F=0. GPA= Jumla ya Pointi za masomo 3 ya tahasusi (combinational subjects) gawanya kwa 3.
 12. nsimba

  Msaada qualifications za kujiunga form 5 this year

  Sema unahitaji kujua sifa za kujiunga na K5' wala usiingize utani kwa kuweka sifa za BRN, kwa kuwa hizo hazipo. Sifa kujiunga na K5 kwa watahiniwa wa shule (gov na Private) ni Kama ifuatavyo: 1. Awe amepata daraja la siyo chini ya Credit (awali lilijulikana Kama Div.III), 2. Awe anaufaulu wa...
 13. nsimba

  Ratiba ya mtihani wa ualimu diploma na cheti

  Gatce itaanza tarehe 4-13 Mei 2015
 14. nsimba

  Ratiba ya mtihani wa ualimu diploma na cheti

  Angalia tovuti ya necta NECTA | Home ipo ilishawekwa.
 15. nsimba

  Kawambwa anaharibu ubora wa Elimu Tanzania

  Kinachofanya ufaulu kuwa juu private VS PUBLIC schools ni 1. Wanachukuwa watoto waliofaulu azidi 2. Miundo mbinu na walimu wakutosha Hakuna hoja ya kuchuja watahiniwa azide kwa ufaulu wao. Mitihani wa K.2 ukishapima wanaofaulu wanapaswa kuendelea kuelimishwe hadi mitihani wa K4, na ndio sera...
 16. nsimba

  QT result-2014

  Matokeo ya QT hutoka sambamba na Yale K.4, hivyo bado, subiri.
 17. nsimba

  Ajira za M.A Kiswahili

  Mtaalam wa lugha Nchi za afrika na ulaya, marekani, asia, nk anahitajika sana.
 18. nsimba

  Matokeo ya form two walomaliza mwaka jana mwezi December

  Hatuishi kulalamika. Matokeo K.2 miaka yote hutoka Februari. Na matokeo haya hayazuii mwanafunzi kuendelea na K.3 kwa sasa. Wanafunzi wote waliofanya mitihani ya K.2 huendelea na masomo hadi matokeo yakitoka ambapo wanaotakiwa kurudia hubainishwa. Hivyo, subra yavuta heri, yatatoka tu.
 19. nsimba

  Ukawa Mkilifanya hili, 2015 Mnashinda kwa zaidi ya 80% na kuingia Magogoni kiulaini

  Naunga mkono hoja, wahusika waifanyie kazi.
 20. nsimba

  Ukweli kuhusu makosa makubwa yaliyofanywa na tcu.

  Principal Passes ACSEE ni A, B+,B, na C na D ni Pass. D ni sawa na ilivyokuwa subsidiary kwenye old system.
Top Bottom