Search results

 1. mdudu

  Airtel huduma kwa wateja ni janga la kitaifa

  Ndugu Wanajamvi, Nimepata tatizo kuhusiana na Airtel Money siku ya ijumaa, na nipo kijijini. Lakini kila nikipiga huduma kwa wateja namba 100 ili niwaeleze tatizo langu hawapatikani. Chakujiuliza ni kwamba, inawezekanaje mitandao mkubwa wa mawasiliano wakakosa namba ya simu ya kuwahudumia wateja?
 2. mdudu

  Spika Ndugai kumuomba Rais Magufuli ajenge Ofisi za TAKUKURU Kongwa ni sahihi?

  Ndugu wana bodi Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi mpya za TAKUKURU Chamwino mkoani Dodoma, Sipika Ndugai amemwambia Raisi Magufuli kuwa Wilayani kwake hawana Ofisi za Takukuru . Kitu cha kushangaza ni kwamba ,Bajeti ya Bunge imepitishwa takribani mwezi mmoja sasa na yeye alikuwa ndiye msimamizi wa...
 3. mdudu

  RC Tabora, ingilia kati kwa askari wa JWTZ kupiga raia ovyo

  Kufuatia kuuwawa kikatili kwa asikari wa JWTZ akiwa anatoka dolia ,kumeleta sintofahamu kwa wakazi wa mjini Tabora, Mimi nikiwa raia mwema,nimesikitishwa na vitendo vya asikari wa Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania kuwatembezea kipigo raia bila huruma kila wanaekutana nae tena bila kumpa...
 4. mdudu

  Morogoro: Anatafutwa kwa kutupa watoto

  Wanabodi,heri ya mwaka mpya,ndugu wanabodi,huyu Dada alikuwa anaishi morogoro mazimbu Malibu na chuo kikuu cha sua,tarehe 3/12/2017,alimwita dereva was bodaboda,akamwagiza awatangulize watoto wake wawili,mkubwa ni wakike anamiaka 9 na wapili ni wakiume anamiaka 6,ambao kawazaa mwenyewe,boda...
 5. mdudu

  Vipi kuhusu uamuzi wa mahakama juu ya madabida

  Ndugu wana bodi habali za siku nyingi, napenda kuuliza juu ya uamuzi wa rufaa ya mahakama dhidi ya mwenyekiti wa zamani wa ccm mkoa wa Dar juu ya dhamana yake leo hii, mwenye taalifa naomba anijulishe kwa sasa nipo shambani.
 6. mdudu

  Eneo la Stend kuu ya Mabasi Tabora, ni chafu Sana.

  Ndugu wana jamvi salaam kwenu RC, DC, afisa afya mkoa na wilaya ,licha ya jitihada za Rais Magufuli kuhimiza usafi, lakini uongozi wa mkoa wa Tabora,umeshindwa kusimamia zoezi la usafi, kitu cha kushangaza maafisa afya mkoa na wilaya kazi zao wanafanyia wapi au wako likizo? Jalibuni kutembelea...
 7. mdudu

  Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, huu ni uchapakazi au kuchanganyikiwa?

  Ndugu wanabodi, Nimeshindwa kumuelewa huyu ndugu mkuu wa mkoa wa DSM ndugu Makonda/D.Bashite kuitisha mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma Leo hii, lengo la mkutano huo ulikuwa nini?sijaona kitu cha muhimu alichowaambia wanahabari zaidi ya kuwaambia kuwa kesho kuna ugeni wa waziri mkuu...
 8. mdudu

  Kiteto: Mwananchi anusurika kifo kwa njaa

  Ndugu wanabodi kwa hali ya kushangaza,mtu mmoja amenusurika kufa baada ya wananchi kumkuta akiwa ameanguka chini huku akiwa anakula MAJANI kama mbuzi,kufuatia kuzidiwa kwa njaa kali,ndipo wasamalia wema walipomuokoa kwa kumpakiza kwenye Bodaboda na kumpeleka kwa afisa mtendaji wa kijiji cha...
 9. mdudu

  Jumanne Kishimba alishapatikana?

  Ndugu wana jamvi naomba kupata ufafanuzi,kwa mtu yeyote anayeelewa kuhusu mtu anayeitwa Jumanne Kishimba. Mwaka 2006 serikali kupitia Jeshi la Polisi,walitangaza kumtafuta kwa udi na uvumba na zawadi nono kwa mtu au kikundi cha mtu atakayefanikisha kupatikakana kwa mmiliki wa kampuni iitwayo...
 10. mdudu

  Mkoa wa Tabora washika nafasi ya mwisho Mtihani wa Darasa la 7

  Wakuu heri ya mwaka mpya, kwa sasa nipo kijijini, nimesikia taalifa ya habari kupitia Radio TBC kuwa, ule mpango wa BRN umejibu baada ya Mkoa wa Tabora kushika nafasi ya mwisho kwenye matokeo ya mtihani wa Darasa la saba, mwenye taalifa sahihi alete ufafanuzi hapa kwenye jukwaa.
 11. mdudu

  Polisi walinzi wa Bank Shinyanga, ni kero kwa wateja

  Polisi mkoani Shinyanga, namaanisha hawa wanaolinda Bank, licha ya kutambua kuwa wanalinda usalama wa wateja na fedha zetu lakini imekuwa ni kero kwa wateja hasa kwenye Bank za NMB tawi la Manonga na CRDB mjini Shinyanga, utakuta wamesimama na silaha zao kama wako vitani wamewasimamia wateja na...
 12. mdudu

  Basi la Kisbo Safari laua wawili Singida

  Basi la kampuni ya KISBO SAFARI,lenye namba T534 CHX,lilokuwa likitoka Dar kwenda Mwanza,limepinduka vibaya kufuatia tairi la mbele kupasuka likiwa kwenye mwendo kasi,na kuua watu wawili papo hapo na wengine zaidi ya hamsini kujeruhiwa vibaya. Ajali hiyo imetokea nje kidogo ya mji wa Ikungi...
 13. mdudu

  Tuongee asubuhi startv.

  Hodi hodi wakuu,mimi nitakuwa pamoja nanyi,naomba mnipokee viongozi wangu,tutakuwa pamoja.
Top Bottom