Search results

 1. Perth

  Acha kulalamika vifurushi kupanda, anza kuwa na data plan

  PUNGUZA MATUMIZI YA MTANDAO YASIYO NA TIJA. 👉🏿 Punguza kutizama video za kuchekesha na zisizofundisha chochote. 👉🏿Punguza na Acha kutizama video zenye maudhui ya NGONO hapa MB zinakwenda sana bila faida 👉🏿Punguza na futa magroup ya telegram yenye maudhui yasio na faida, mfano magroup ya...
 2. Perth

  Nani aliyehisi tetemeko la ardhi tarehe 22 Machi, 2021 jijini Dar es Salaam?

  Hope mko njema, Binafsi jana nikiawa nimetulia kibarazanii mida ya saa mbili usiku nilihisi mtikisiko wa nguvu tu uliodumu kama sekunde 10 hivi. Sikutilia maanani maana nilikua nipo bize na simu ila nilihis kama tinga tinga la kushindilia lami limepita kwa ule mtikisiko Nikasema niingie ndani...
 3. Perth

  Ungechukua uamuzi gani?

  Wakuu Naomba nisamaraizi Nilioa mwaka jana kutokana na shinikizo la wazazi, nilikua na wasichana wawili ambao niliwatambulisha kwa wazazi Mmoja alikua ni jirani yetu alikua anajulikana tabia zake na wazazi, huyu nikakataliwa nisimwoe ila ALIKUA NA MIMBA YANGU, Ikabid nioe huyu wa pili nae...
 4. Perth

  Mke wangu kaniruhusu nimchakate rafikiye kipenzi

  Wakuu muhali ganii? Na drop hapa kwa wakulungwa mnieleze hii imekaaje N.b Sio mimi mwenye hichi kisa ushauri wenu nitaufikisha mahala pake. Nakuja hivii. " Mimi na mke wangu tunapendana na tumezoeana sana tu hii ni kutokana na kujuana kitambo sana, tunaish kwa furaha na amani tele kila mmoja...
 5. Perth

  Reseater form 4 msaada

  Mwenye kujua tarehe mwisho wa kulipa hela ya mtihani ni lini
 6. Perth

  Boresha mahusiano/penzi kwa ladha tofauti za piano

  Maisha yenyewe yashakua vagara vagala vululu vululu ,huku covid kule covid version 2.0 kule chanjo huku kuchokonolewa site nyeti ilimaradi tu mambo yawe shagalabaghara. Leo bana nimeona nishare na wakulungwa wenzangu maana haya maswala ya mapenzi hayana professional yani yanahitaji ubunifu...
 7. Perth

  Hivi kuna watu mnaamini Lissu atakuwa Rais?

  Habari wakuu, Tunaaswa kuwa na IMANI iliyo imara ila sio kutumia imani kwa ovyo,jukwaa la siasa mmepata washabiki wengi wa chama cha Lissu maana ni nyuzi za Lisu mshindi, Lisu ndo anatakiwa. Anyway, sioni uwezekano wa lisu kushika madaraka, wananchi watanzania ni watu wavumilivu ni watu...
 8. Perth

  Fursa fursa kwa watu wa IT iyo apo kama unaweza kazi mkate uo

  Kazi ni ya mtu kama unaweza nikuelekeze post yake iyo apo kama ni guru changamka Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Perth

  Lazima tukubaliane Mungu aliwaumba kusudi, ila maana yao ni kuzaa tu tunacho kifanya ni kucimplicate

  Wakuu Nisiwafiche,kama huna nia ya kuacha chapa/au mtoto katika dunia hii basi ni marufuku kujihusisha na mwanamke, hawa viumbe wameumbwa kwa ajili ya kuzaa tu na sio kuishi nao,na ndo maana mitume wote ambao hawakua na nia ya kuacha mtoto hawakujihusisha na mwanamke hata nukta, So moja kama...
 10. Perth

  Stadi za kazi

  Kwakutumia vishingo vya chupa ya plastic mtoto katengeneza kitu kama hichi
 11. Perth

  Mmawajua videge joni?,sugua rungu je,vyura expensive je?

  Habari zenu wakuU Hivi mnavitambua ivo vikundi apo juu nilivyovitaja?,ukukutana nao utaweza kuwatofautisha? Ni hatari,hao ni wasichana wa uswahilini walioamua kujiita ivo Ni wasichana ambao wanaweza kukuingiza dhambini kama haupo makini Wanatabia mbaya mnooo unaweza kwenda nae shoo magetoni...
 12. Perth

  Msaada wa anuani hizi mwenye kujua

  Habari wakuu, Naomba msaada wa mwenye kujua anuani na eneo ambalo ndio ofisi yake ilipo 1. Katibu Tawala Dar es salaam 2. Afisa Elimu Sekondari Dar es salaam Nataka uamisho wa shule sasa hizo anuani ni za muhimu.
 13. Perth

  Leo kanisuprise kama nae anayajua ya kitandani

  Habari wakuu Leo nawatetea rasmi ili kabila pendwa la kaskazini na wanawake wengine wanaonekana ovyo kitandani kutokana na hichi nilichokiipata leo hii., Kabaridi kaleo dzm kamenichochea na kunitoa akili nikaingia ktk phone book yangu nikamtafuta mtoto wa kichaga nilie mgaya kama mwezi hivi...
 14. Perth

  Naomba kujua tiba ya mishipa ya jicho kuvilia damu na jicho kuwa jekundu

  Igweee! Wakuu nina tatizo hilo macho yangu yamekua mekundu kama mvuta bangi, hayana maumivu yoyote wala hayajavimba, ila nikijitizama kwenye kioo naona spot ya redness kwingine naona weusi fulani Nikizidi kutizma kwa makini naona kama zile vessels ndogo ndogo ndiyo zipo nyekundu sana sasa...
 15. Perth

  Sio kila mwanamke ndoto yake itatimia

  Punjani wafyetu Wanawake wetu ni chombo cha starehe kwa sisi wanaume, mwanaume ambae upo chama cha CHAPUTA acha uo upuuzi mara moja, changamkia wanawake usiogope alivyo alie katika ndoa achana nae. Wanawake wamekua na ndoto moja kubwa ambayo wengi wao hudhani itatimia kwa namna moja ama...
 16. Perth

  Fuso la kuni hadi kufika Dar ni bei gani

  Habari Wajuvi wa hili nipeni gharama za manunuzi ya kuni kutoka mikoani hadi kufika Dar kwa fuso/canter Nina kijana wangu anataka kufanya biashara hii nataka kujua gharama zake ili nimpatie mtaji (mkopo)
 17. Perth

  East africa's got talent ni [emoji91][emoji91] season 1 episode 1

  Heloo, Mi ni mpenzi sana na mfuatiliaji wa hizi talent ukiacha ile ya nigeria's got talent kiboko yao wote wanajua dadeki, Sasa tumekuja nyumbani ndo mwanzooo picha linaanza mshindi dola 50,000$ iyooo, jamani zinavutia hizi talent kuna watu wanavipaji acha kabisa Katika hii season I episode...
 18. Perth

  Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

  Habari zenu wakuu Onyo, siandiki kama matangazo ya biashara What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa hivi ni utani au serious!?? Nahisi ni serious maana hata mimi binafsi siwezi nunua hisa DSE kutokana...
 19. Perth

  Wazee wa forex mtanielewa vyema I banked 23,5700$ this week through Eurjpy and Audjpy (Sells)

  Habari zenu wakuu ONYO, siandiki kama matangazo ya biashara What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa hivi ni utani au serious!?? Nahisi ni serious maana hata mimi binafsi siwezi nunua hisa DSE kutokana...
 20. Perth

  Mapenzi ni madawa ya kulevya tena makali sana

  Habari zenu Grear thinkers Mapenzi ni mazuri na ni matamu sana pia yanaumiza haswa,ni matamu pale unapoona yanakufit kwa namna yako na jinsi unavyo ya tafsiri, Mapenzi hayana tofauti na matumizi ya madawa ya kulevya, ukiyashiriki jua umeshajitoa na kuruhusu kila kitu chako kiathirike na...
Top Bottom