Search results

 1. chameleon

  Size za nguo za ndani (vest) "X". "XXL" na "XXX" zinachanganya

  Kuhusu ufafanuzi wa size nguo za Wachina kulikoni? Wadau mimi ni mpenzi wa kuvalia fulana (vest) lakini nakosa inayonienea vizuri kati ya zote hizi "X". "XXL" na "XXX" kwani nikivaa "XXX" inanibana kifua lakini mashati saizi yangu ni "L" (katika mtiririko wa Small, Mediam na Large) ama au XL
 2. chameleon

  Usinipite tafadhali, natafuta mtoto nimrithishe

  Nina hamu nimpate mtoto wa kike au wa kiume. Kifupi mimi nimeoa mke wa tatu sasa baada yule wa kwanza kutimuana na wifi zake kwa kisa cha kumfumania na mume wa mmoja kati yao. Wa pili tuliachana naye baada ya kuzaa na mzungu ambaye anadai ni padri na kutoroka yeye na mwanaye. Huyu...
 3. chameleon

  Ni Sheria za Usalama Barabarani zinabagua au Wabaguzi ni Police Trafick?

  Naamini zipo sababu za msingi zinazopelekea abiria kupanda gari lililojaa au dereva kupakia abiria zaidi ya kiasi kinachoruhusiwa kisheria ikiwa ni pamoja uhaba wa vyombo vya usafiri na dharura mbalimbali. Hoja ya msingi hapa ni kwanini mabasi ya Dsm yanajaza abiria kiasi cha kufurika lakini...
 4. chameleon

  Unamuitaje mshamba kwao hupajui? Samaki mjanja majini nchi kavu mjinga!

  Ipo tabia ya kuchekana baina ya watu wanaojua jambo fulani na wale wanasiolijua, sielewi ni kwanini waitane washamba. Ona sasa. Binti mmoja wa jijini Dsm kabila mzaramo alikua na tabia ya kuwananga watu wa Arusha na kuwaita washamba. Ikawa siku moja katika kuchanga kwake karata...
 5. chameleon

  Umeachana na Mwenzio, Mmeo au Mkeo chuki ya nini na (nduguze) Wifi au Shemeji zako?

  Wewe na mpenzi au mwenza wako mmeachana au kutalikiana kwa wale wenye ndoa sikatai. Hoja yangu ni kwanini umnunie shemeji au wifi yako hadi kutokusalimiana? Je, ni uungwana ama ni halali? Tujadiliane.
 6. chameleon

  Mwana"mme" kwa mwana"mke" sawa, mwana"ume" kwa mwana"uke" sawa?

  Naomba kuuliza kama neno "mwanaume" ni la kiswahili na kwanini neno pacha "mwanauke" halitumiki sambamba nalo?
 7. chameleon

  Nataka unifundishe kiswahili.

  Naomba kuuliza kama neno "mwanaume" ni la kiswahili na hutumika wakati gani?
 8. chameleon

  Nataka unifundishe Kiswahili

  Naomba kuuliza kama neno "mwanaume" ni la kiswahili na hutumika wakati gani.
 9. chameleon

  Natamani kuwa mjasiriamali, nianze na Bodaboda au Taxi?

  Wanajf wenzangu naomba ushauri wenu muhimu ili wasijesema nimeuingia mji kwa pupa. Binafsi nimepata mkopo wa Tsh milioni 10 toka kwa mfadhili wangu. Utafiti wa haraka haraka nilioufanya nabaini kuwa kwa pesa hiyo naweza kumiliki pikipiki za Mchina 6 ingawa nitaonekana lofa lakini nitaajiri...
 10. chameleon

  Tumbo la kuhara lilnaleta ahueni?

  Tumbo linapochafuka kazi ya mku... ni kuharisha ili kutoa uchafu na kwa kufanya hivyo ni wajibu wake na sio kulaumu tumbo aliyevimbiwa wala kumuomba msamaha mmiliki.
 11. chameleon

  Mahusiano, Kigugumizi cha kutangaza matokeo ya Kura, maji ya washawasha na Mabomu!

  Mambo ya kizamani kabisa haya . Wazazi wakitaka kufanya mambo yao watawavizia watoto walale au watawatuma mbali na wasipotii (wataadabishwa) watakiona cha mtemakuni. Leo wazazi ni serikalii siku tatu matokeo ya kura yanashlndikana (watoto bado kulala) kutangaza kama vile watanzania hawajui...
 12. chameleon

  Sheria ya Uchaguzi kupoka haki za raia, Uchaguzi utakua Huru na wa Haki?

  Kama wananchi tumepata kwa mshituko mkubwa sana taarifa za Tume ya Uchaguzi kuhusu sheria ya ubaguzi ya uchaguzi inayompoka wananchi haki yake ya kikatiba . Ni wazi kwamba kwa kumlazimisha Mtanzania apige kura sehemu aliyojiandikisha tu na si kwingineko ndani ya Tanzania ni ubaguzi ambao...
 13. chameleon

  Heko TAKUKURU mwaka huu posho (rushwa) katika uchaguzi imedhibitiwa .

  Yaani bendera nyingi zinazopepea zimeangikwa kwenye kamba kama nguo kwenye miti na nguzo za umeme. Aidha picha za wagombea na mabango yapo juu ya miti na yamewekwa na vijana wanaolipwa na vyama vya siasa. Kwenye nyumba mitaani hakuna, vile/ yale (vijiwe) mashina ya wakereketwa hakuna. ni kama...
 14. chameleon

  Yamenikuta, vituko vya mke bosi, nifanyeje na kazi naipenda?

  Mimi ni kijana wa makamo. Nimeajiriwa na bosi wangu ambaye ni waziri katika wizara fulani hapa Tanzania kwa kazi ya kuendesha magari ya nyumbani likiwepo lile la mke wa bosi ili kumpeleka atakaponiamuru ikiwa ni kwenda na kurudi ofisini, salon, kutembelea jamaa zake na kwingineko. Huyu mama...
 15. chameleon

  Msiba na "nguo nyeusi" vina mahusiano gani?

  Nimeona mara nyingi nguo nyeusi zikivaliwa nyakati za misiba mbalimbali kama vazi rasmi na hata wanajeshi wanavaa riboni nyeusi mkononi wakati wa msiba. Nakiri sielewi maana yake nini ingawa nami huvaa kama zuzu. Naomba anayejua anijulishe kama ni mila, utamaduni, au imani ya madhehebu fulani...
 16. chameleon

  Kwanini niamini CHADEMA itashinda uchaguzi mkuu? Ni mpambano kati ya CCM v/s UKAWA

  Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea kufanyika uchaguzi mkuu 25 Oct vyama vya siasa vipo katika mchuano mkali wa kisiasa ikiwa na mashambulizi makali ya kisera, kashfa, kejeli na matusi. Wakati wengine wakionekana kama wasindikizaji ktk vita kali kuiteka ikulu ya JMT(kisiasa) baina ya CCM...
 17. chameleon

  Kupanda kwa bei ya gas hata baada ya kupatikana kwa gesi toka Mtwara, inakuwaje?

  Jana nillenda kununa gesi ya kupikia mtungi wa Kg 6 ambao niliuziwa kwa Tsh 21,000. Naona kama kuna ongezeko la bei lisilokua na maelezo. Nilitegemea kuwa gesi ingeshuka bei kutokana na upatikaji wa gesi toka Mtwara ili taifa liweze sasa kupunguza ukataji miti kwa ajili ya matumizi ya kuni...
 18. chameleon

  CCM mtihani wa ukomavu wa mgombea wenu ni TANESCO kuwasha umeme sasa na si baada ya uchaguzi

  Hivi msichana akishakupevuka akawa mwanamke anayesubiri kuolewa anawezaje kushindwa kupika vizuri kila akiharibu anasema nikiolewa - NITApika vizuri, - nitafuafua vizuri nk? Hivi ndivyo ifanyavo CCM. Ipo madarakani lakini kila kitu mgombea wake anasema mkinichagua Nita..., Nita...
 19. chameleon

  Tanzia: Katibu kata, kata ya Msongola afariki dunia

  Katibu kata wa CCM kata ya Msongola manispaa ya Ilala mkoani Dar es salaam Bw. Daud Mnamata ameugua ghafla na kufariki dunia leo. Maziko ni kesho 6/10/15. Inna lilah wa Innalilah rajun.
 20. chameleon

  Siku Edward Ngoyai Lowassa atakapotangazwa mshindi wa urais ...

  Nawaza siku Edward Ngoyai Lowassa atakapotangazwa mshindi katika uchaguzi mkuu.Itaitwa Lowassa's Day. 1. Ni siku ya kuzaliwa upya Tanzania yenye matumaini, elimu bora na bure hadi chuo kikuu. 2. Siku ya kuanzisha muafaka wa kitaifa. 3. Siku kuuzika umaskini wa Mtanzania. 4...
Top Bottom