Search results

 1. Mr. Purpose

  USIHADAIKE: Hakuna uchawi wa kumfanya mtu akulipe deni

  "uwezo wao ni kukuharibu na kukuumiza tu lakini sio kukufanya ulipe". Ukiharibiwa na kuumizwa ni notification tosha na litalipwa kwa namna yoyote. Upo sahihi: Hakuna uchawi unaomuingia mtu na kumshawishi kwa hiari alipe deni. Na best alternative ni kukuharibu na kukuvuruga ikiwezekana...
 2. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Ni kweli mkuu. Changamoto ni nyingi, yaani ukishaingia tu polisi, suala lako kuja kuisha ni umepata hasara na kupoteza muda wa kutosha bila kujali una hatia au huna, they don't care kabisa.
 3. Mr. Purpose

  Unazingatia nini unaponunua simu janja?

  Simu ni ofisi. Ram, Ukubwa wa screen, betri, ROM na Camera. Sinaga muda na Brand, performance kipao mbele
 4. Mr. Purpose

  Ney wa Mitego aanza mchakato wa kujiondoa Basata, asema atasambaza muziki wake Mitaani

  1. Ni wazi BASATA hawajui nini maana ya sanaa, hasa muziki hili wamelionyesha wazi kabisa kwa kitendo walichomfanyia kijana trueboy (Nay). 2. BASATA waache ubinafsi yaani wanajifikiria wao na faida wanayoipata wao bila kujali kile wanachokifanya na madhara yanayotokea kwa wahusika...
 5. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Shukrani mkuu. Najifunza mengi kupitia hili jambo. Kuna mambo yanatokea sikuwahi kujua ni kweli yanatokea mpaka nilipofika sero na kuishi mle.
 6. Mr. Purpose

  Nahitaji walimu wa kujitolea: Nataka kufungua NGO inayohusika na maswala ya elimu tufanye kazi

  Wazo zuri mkuu. Ukipata watu wenye nia ya dhati mtafika mbali. Kila kheri boss
 7. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Mkuu nishaandaa list yangu hapa ya watu wangu, watanilipa hasara waliyonisababishia.
 8. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Ni changamoto mkuu. Ila kwa hii yangu ni kesi ambayo sijahusika kabisa. Ni katika harakati za biashara mzigo ufike kwako hujui kuwa kimebebwa huko bila idhini ya wahusika. Nimewatajia watu wao bado wanakomaa na mimi na kunihisi ndiyo mhusika mkuu aliyebeba. Mimi vifaa vyangu tu ndo nahitaji...
 9. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Shukrani sana. Hili suala nitalifuatilia kwa moyo wote. Inauma sana mtu unachukuliwa vifaa vyako vyote vya kazi na kuachwa mtupu kwa kesi ambayo ukikaa na kuifikiria unabaki jiuliza hivi ndivyo mambo yalivyo nchini kwetu kweli? Nawaza wanaokutwa na kesi za mauaji huwa wanapitia mangapi kama...
 10. Mr. Purpose

  Waandishi wa Habari waaibishwa kutoripoti uwanja wa ndege wa Katavi kuota nyasi na mmliki wa ambulance zilizokamatwa bandarini

  Na siyo waandishi wa habari tu, ebu fuatailia kinachoendelea BASATA na wasanii. Yaani ubunifu kwasasa katika utendaji fanyia chumbani kwako huku nje tunataka kile TUNACHOKIONA kipo sawa na SIYO kutuambia sisi na elimu zetu hatujui. Hii nchi bado tuna safari ndefu Mungu saidia.
 11. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Nawasubiri boss
 12. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Pole sana mkuu. Boss binafsi hivi vifaa nimetumia gharama na muda mrefu sana kuvipata, kuwaachia naona ni jambo gumu, tofauti na hilo kesi yangu ni ya ajabu sana mpka sometimes naona cybercrime hawana kazi ya kufanya pale pamoja na Taasisi husika inayoshtaki. Wamenitia hasara sana kwa jambo la...
 13. Mr. Purpose

  Kujiongezea mapato Serikali ianze kujenga Magereza ya kulipia kwaajili ya wafungwa wenye pesa zao

  Swali ninalojiuliza mpaka kesho, hivi huwa inawezekana vipi mwizi wa kuku kuhukumiwa jela, ila mwizi wa mabilioni kuendelea kudunda mtaani???
 14. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Vifaa walirejesha mkuu ? Au uliwaachia kila kitu boss??
 15. Mr. Purpose

  Rais Samia kwenye hili la ajira mpya umeturudisha nyuma alipotuachia Hayati Magufuli

  Best alternative ni kuwa mpole uanzie chini kisha lenga kufika kule juu walipo wanaopanga hizo ajira kisha kula maisha. Tafuta Power na Pesa kwa namna yoyote hakuna atakayekusumbua kichwa. Ulimwengu unaendeshwa na watu wenye nguvu, pambana kuwa mmoja wao kisha ishi kibingwa. Ila ukisubiri hao...
 16. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Asante boss. Ngoja tuwasubiri
 17. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Sawa mkuu. Ngoja tuendelee kuwasubiri
 18. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Wakuu naomba kupata muongozo katika hili kwa uzoefu wenu
 19. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Hapana boss. Ilikuwa inahusu masuala ya IT
 20. Mr. Purpose

  Msaada ushauri kesi za jamhuri

  Wakuu kwema? Naomba kujua jambo kuhusu kesi zinazohusu jamhuri. Taasisi ya serikali ikikushtaki na ukakamatwa na mwisho wa kesi ikagundulika huna hatia, na wakati unakamatwa vifaa vya ofisi vyote vilichukuliwa kama vielelezo ikiwemo computer zote:- Je, vifaa vyangu nitarejeshewa au sitovipata...
Top Bottom