Search results

 1. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Bwana wetu Yesu asifiwe wapendwa, Asalaam naalykum kwa waisilam wote natumaini mu wazima wote. Moja kwa moja nizame ndani ya maada wapendwa. Mimi ni kijana ambaye natarajia kuingia kunako ndoa ikimpendeza Mungu wangu, Umri wangu miaka 25 Kuna binti ambae tulikutana kwa mazingira fulani...
 2. Bin Shaib

  Msaada katika kipaji changu hiki, nimekata tamaa

  Habari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu. Mimi ni kijana mwenye umri 25 years old,nimekulia maeneo ya kijijini, kipaji changu cha uchoraji kiligundulika toka nipo shule ya...
 3. Bin Shaib

  Msaada kwa wanaotumia WhatsApp

  Habari za uzima wapendwa, natumai mko poa japo changamoto hazikosekani hiyo ni sehemu ya maisha. Maada yangu inahusu changamoto ya WhatsApp,katika kutuma audio kwa mtu,, kuna audio ambazo nilimtumia mtu zikagoma kuna maneno haya hapa chini inaandika na mimi sijajua tatizo ni nini,,kuna audio...
 4. Bin Shaib

  Nataka kuoa wapendwa

  Habari wapendwa mimi kijana ambaye ni mwenye umri wa miaka 25 kwa sasa,si mtu ambae nilipenda kudinya dinya katika maisha yangu,,kwa sasa nataka nioe lakini bado sijapata mtu sahihi wa kuingia nae kwenye ndoa,japo kuna wasichana kama wawili hivi ambao wanataka ndoa na mimi. Kati ya hao...
 5. Bin Shaib

  Nimrudie tena huyu mpenzi?

  Wakuu habari za jf Bwana Yesu asifiwe, assaalam alykum wapendwa,, niwaombe tuzidi kuliombea taifa letu liwe na uchaguzi wa amani. Bila kupoteza muda niingie kunako maada,, siku za nyuma nilileta kesi ya huyu binti humu aliyekuwa akinitishia tuachane na ni kama mara mbili amewahi nitishia...
 6. Bin Shaib

  Hatimae nimeanza maisha ya geto

  Bwana Yesu asifiwe,, Assaalam alykum wapendwa,,natumai hamjambo nyote kama kuna wenye udhaifu Mungu Baba atawarehemu. Maada : Hatimae nimejitegemea kigeto kama nilivyo waambia kwenye uzi niliouleta kipindi cha nyuma @Nimekukuwa, nataka kujitegemea. Nimeishi kwa mjomba kwa mwaka na miezi...
 7. Bin Shaib

  Wakala mnaosajili ni wahuni, nimekuta namba nisiyoifahamu kwenye uhakiki

  Habari tena wana jukwaa, nimekuja kasi sana usiku huu baada ya kukutana ma swala ambalo limenikera sana tena sana, Ni baada ya 1-8-2020 Vodacom walinitumia ujumbe kuwa nihakiki namba zangu zilizosajiliwa kwa namba yangu ya NIDA. Wakati huo sikuwa nayo hiyo namba yangu ya NIDA, nilitaka nihakiki...
 8. Bin Shaib

  Mishindo miwili kwa usiku mmoja

  Habari zenu wana jukwaa, natumai hamjambo nyote na munaendelea kupambana na majukumu. Mimi kwa upande wangu pia namshukuru Mungu kwa kuniwezesha pumzi bila gharama yoyote. Mungu ni mwema wakati wote. Maada.. Wapendwa wa Mungu hiki kitu kimekaaje? Ilikuwa usiku wa tarehe 3-8-2020 Wakati nikiwa...
 9. Bin Shaib

  Kumbukumbu ya siku Punyeto ilivyonitenda

  Wakuu habari za mida tena, hamjambo natumaini na kama mko poa nijambo la kheri. Maada. Nimeamua niweke kisa changu kuhusu punyeto ilivyo nikosesha papuchi mwaka 2012. Kipindi hicho nilitokea kumpenda binti ambae alikuwa ananivutia sana na nilimpenda kupitiliza yaani kufa kuoza. Nilimtongoza...
 10. Bin Shaib

  Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

  Wakuu habari za ijumaa hii njema, mu wazima wote natumaini. Nina mpenzi ambae nipo nae muda mrefu sana kwenye mahusiano, kwa sasa mimi nimechoka kuvumilia ahadi za uongo kama mwanaume ,tumekaa nae bila hata tendo la ndoa, maana amekuwa akikwepa nikimwambia kuhusu swala la kufanya...
 11. Bin Shaib

  Nimtongoze tena?

  Habari za uzima wana JF, natumai hamjambo nyote na niwazima wa afya,. Maada.: Tusichelewe sana kunako majamboz, mnamo mwaka 2018 nilimpenda binti ambae aliusumbua moyo wangu sana, nilimfukuzia lakini akanitolea nje akanambia nikome na nisimfuatilie. Pote nimetembea sijaona msichana hadi...
 12. Bin Shaib

  Walikuwa hawaandaani

  Alhamis njema wakuu. Tanzania bila Corona inawezekana kupitia kupitia kumuomba Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na adidhi, kinachotakiwa ni imani. Wakuu mimi kama mimi nikiangalia na kutathimini wakati huu na wakati ule enzi za mababu zetu naamini hili swala halikuwepo. Nilimaanisha swala la...
 13. Bin Shaib

  Sisi wanadamu tunakula chakula ili tusife?

  Wakuu habari za shughuli,nazani ni njema wakuu. Kuna hii ishu tumekuwa tukibishana bila mafanikio ,kwa humu jf naamini ntapata mwanga. Ni swali ambalo lilizua utata maeneo fulani. Swali lenyewe ni kama ifuatavyo. 1.Sisi wanadamu tunakula chakula ili tusife? 2.Au tunakula chakula ili...
 14. Bin Shaib

  Mpenzi wangu kanikataa live leo

  Habari za humu ,nimekuwa na mfululizo wa thread lakini na wewe utajifunza kupitia hiki kisa kilicho nitokea leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana. Nisipoteze muda twende kisa chenyewe kama kawaida. Nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa Anna tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana cha...
 15. Bin Shaib

  Huu ndo urafiki feki?

  Ndugu wana jukwaa ningependa kuwashiirikisha hili na ninahitaji ushauri wenu nahisi itanisaidia sana . Nina rafiki yangu natamani kumuepuka kimya kimya kutokana na tabia zake ambazo naona ni rafiki ambaye si rafiki anayeweza kuniongoza hata kunako mafanikio. KISA CHA KULETA UZI HAPA Nina...
 16. Bin Shaib

  Mke wa mjomba ananishawishi nifanye naye mapenzi

  Wazima nyote naamini, japo hili janga la corona linatisha, lakini kilicho na mwanzo hakikosi mwisho nalo litaisha tu, Amen Moja kwa moja naanza na kisa changu Huwa nalikumbuka hili tukio japo ni kitambo na nilimuwa bado kinda Ilikuwa mwaka 2002 nikiwa kama na umri wa miaka 10 niliwahi kumla...
 17. Bin Shaib

  Namtafuta baba yangu mzazi

  Wana jukwaa habari za Alhamis hii njema iliyo njema machoni pa Mungu ametuwezesha kuiona hatunabudi kumpa sifa na utukufu, [emoji122] Maada yangu mimi ni kijana ambaye nimeishi maisha ya Mama pekee bila Baba mzazi ikiwa na maana kwamba toka nizaliwe sijawahi muona baba yangu na wala simfahamu...
 18. Bin Shaib

  Homa gani hii wakuu?

  Wakuu habari za uzima ,natumai hamjambo, mi mwenzenu si mzima wa afya sababu naumwa. Kama siku tano zimepita kabla ya hili kutokea, hizo siku tano nyuma nilifanya kazi ngumu ambayo ilipelekea joint zote na viungo kama kiuno, mikono na sehemu nyingine kwenye mwili wangu, Kazi yenyewe ilikuwa...
 19. Bin Shaib

  Nimeamini hanipendi huyu msichana

  Wakuu mpo naamini mnaendelea kulijenga taifa letu pendwa Tanzania. Nimekaa kwa muda bila kuwa kwenye mahusiano baada ya kuumizwa sana, nikiwa najiuliza kweli nitampata mwenye mapenzi ya kweli? Daaaah! Sijui alinishauri nani? Ok twende.. Hivi hawa wanawake ili wakupende kwa dhati inatakiwa...
 20. Bin Shaib

  Sitasahau kuhusu hii Condom

  Wakuu, nipo kasi kwa maada mwaka huu 2020 na naona ni jambo jema kujuzana kumbukumbu za maisha. Ilikuwa mwaka 12 nilikuwa na manzi mmoja, yaani namaanisha demu wangu au mpenzi wangu na ndo alikuwa mtu wangu wa kwanza toka nianze mahusiano. Tuliendelea katika mahusiano yetu kwa muda mrefu, huyo...
Top Bottom