Search results

 1. Mwana Mtoka Pabaya

  Nini hatma ya miradi ya Chato?

  Unamzungumzia nani?
 2. Mwana Mtoka Pabaya

  Naomba kujuzwa utagaji wa kuku aina ya Kuroiler na SASSO

  Asee. Hawa sasso mi nawasikia tu. Nyama yao ni tamu? Kuroiler ndio ninawafuga, wanashawishi kuongeza stock kwa kweli. Tatizo watu wengi wamejiita wauzaji wa Kuroiler, ni shida sokoni.
 3. Mwana Mtoka Pabaya

  Tetesi: Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

  Pira Mpapaso halijawahi kumuacha mtu salama. Lazima vichwa viruke, hamna namna
 4. Mwana Mtoka Pabaya

  Tetesi: Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

  Wale jamaa kule kwao Nigeria wanagawa mikonzi hatari sasa naona mbumbumbu wameanza kutafuta sababu.
 5. Mwana Mtoka Pabaya

  Naomba kujuzwa utagaji wa kuku aina ya Kuroiler na SASSO

  Sijajua kama unayaongea haya kwa uzoefu au ushabiki. Ili useme juu ya utagaji wao inapaswa tuwe na mfano wa kulinganisha nao. Je unaposema hawana utagaji mzuri, utagaji wao ni mbaya kulinganisha na aina ipi? Hao waliokwambia kuku anataga mayai 95 tu kwa mwaka, wanazungumzia mwaka wa utagaji au...
 6. Mwana Mtoka Pabaya

  Viongozi wa Simba wanataka kutuaminisha Simba SC ni unbeaten

  Simba ni katimu ka kihindi, kalifaa tu kacheze cricket au songi. Katimu ambako kaliundwa wa watu waliokosa Uzalendo. Muda si mrefu, taifa litaingia aibu sababu ya haka katimu kanakomilikiwa na mwamedi
 7. Mwana Mtoka Pabaya

  Uchaguzi 2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

  Na sisi upande wetu tunaita Wajane kwa lazima waje kuhutubia, sababu pumzi bado nyingi :D :D :D
 8. Mwana Mtoka Pabaya

  Uchaguzi 2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa

  Muanzisha mada unapaswa kujua kuwa kuna tofauti kati ya NCHI na SERIKALI. Wewe kwa ufahamu wako, unadhani Lissu anaisema serikali au Tanzania?
 9. Mwana Mtoka Pabaya

  Mchomvu 'mabangi' anapoonesha mabange yake

  Jamani mwenye huo mtama si aupost na mimi niuone
 10. Mwana Mtoka Pabaya

  Geita: Wananchi wafanikiwa kumuua mamba aliyeua wakazi 5 akiwemo mtoto wa darasa la 3

  We nawe mbumbumbu kweli kweli, UTHIBITISHOA WA KIHISTORIA? Historia inathibitisha jambo vipi wakati yenyewe ni story? Ningekuelewa kama ungetaka uthibitishoa wa Kisayansi. Au ndio wale wa akili za kushikiwa na mzungu, huamini kitu hadi upate maadishi ya Kiingereza? Haya, soma hapa Nyongo ya...
 11. Mwana Mtoka Pabaya

  Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

  Kumbe MUME ndio mhimili eeh, huku kwa wananchi tunachanga...Mo nyie bakieni naye. Ila kama vichwa vinafanya kazi vizuri (na sio kuvunja viti mode), basi mkumbuke kuwa huyu huyu Morisson ndio alituambia rais wa klabu yenu ya Mbumbmbu FC amemtumia $10k, lkn kwake zimefika 5
 12. Mwana Mtoka Pabaya

  JATU ni Mr Kuku mwingine, ni swala la muda tu

  We kaa usubiri mifano ya maskini, naamini wewe utakuwa mfano.
 13. Mwana Mtoka Pabaya

  Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

  Changu wa malunde, mbona unaheeeeeema! Shida nini hupumui vizuri?
 14. Mwana Mtoka Pabaya

  Sheikh wa Mkoa wa Dar: Makonda kalikoroga mwenyewe, nisihusishwe

  Umechelewa sana kuzitambua lugha zisizo za KIONGOZI WA DINI, maana umesubiri hadi alipostrike CallMeJ. Lakini nikukumbushe ndugu Kada wa CCM, huyu mhishimiwa wa imani sio wa mchezo mchezo kiasi cha wewe kumkoromea, huyu sio wa kuwaambia omba omba waende kuhiji halafu wamgomee..., huyu akiamua...
 15. Mwana Mtoka Pabaya

  Ushauri please, mke wangu simuelewi, nimemkuta anasagana na mama yake

  Hata hiyo mimba usikute ni ya mama mkwe wako...wamekuonea kwa kweli.
 16. Mwana Mtoka Pabaya

  Cecil Mwambe: Mimi ni CCM mwenzenu nilirudishwa bungeni na Spika Ndugai kuigiza

  Mipira ya kiume kwenye pakiti kuna maneno ya kiingereza 'discard after use'
Top Bottom