Search results

 1. Mwana Mtoka Pabaya

  Tunasepa na kijiji

 2. Mwana Mtoka Pabaya

  Haya sasa Yanga, Mo Bejaiya mali yetu!

 3. Mwana Mtoka Pabaya

  Kwako Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa

  Asante Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa katazo lako juu ya matumizi ya SHISHA, lakini upande wa pili, WATANZANIA WANAKUFA. Jana imetokea ajali, mabasi mawili ya kampuni moja yakigongana na kuua watu 29+ ikiacha majeruhi wasio na idadi. Nasema majeruhi hawana idadi kwa kuwa, inapotokea ajali...
 4. Mwana Mtoka Pabaya

  Kwako Kamanda Mohammed Mpinga na RSA

  Usalama Barabarani ni jukumu letu sote, lakini wewe ndio KAMANDA. Naomba nianze kwa kupongeza juhudi zilizowahi kuoneshwa na kikosi chako kipindi fulani hapo nyuma, ambazo sasa zimefifia na zinatoweka. Askari wa Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Road Safety Ambassadors waliibuka na...
 5. Mwana Mtoka Pabaya

  Dereva wa St. Florence School/Academy school bus sio makini

  T 183 CMK school bus ya shule ya St. Florence imenipita hapa taa za mbuyuni kwenye fuel station ya GAPCO dereva anaendesha huku anaongea na simu. Mamlaka zinazohusika na uongozi wa shule, hii sio nidhamu tunayoitaka kwa mtu anayebeba watoto wetu.
 6. Mwana Mtoka Pabaya

  Makada wa CCM wanasumbuliwa na alichokisema Msekwa

  Huyu Lowassa, huyu huyu wanayemtukana majukwaani leo, alikuwa huko kwao. Akiwa huko walimpenda kweli kweli, na hili linathibitika dhahiri siku jina la Lowassa lilipokatwa. Uliimbwa wimbo matata kumkaribisha mwenyekiti na hapo tuliweza kuona mahaba waliokuwanayo wajumbe wa kamati kuu ya CCM kwa...
 7. Mwana Mtoka Pabaya

  CCM na kiini macho cha Beijing

  Hili jambo si la upinzani kufumbia macho hata kidogo. Jukwaa la kampeni linapaswa kulisema jambo hili kwa mapana kwani wanawake wa Tanzania ni wapiga kura mahiri. Na niwaombe DADAs & MAMAs mlioko JF kuwasaidia wanawake wenzenu katika hili. CCM wanayo hii 'Sera KIINIMACHO' ya kuwainua wanawake...
 8. Mwana Mtoka Pabaya

  Lowassa vs magufuli : Hakuna tumaini pasipo maono

  Moja kati ya mambo ambayo yametuangusha miaka 50 yote tunayoaminishwa kwamba tumefanikiwa, ni kuwa na viongozi wasio na dira wala mwelekeo. Kwa kifupi wamekosa vision na kwa namna fulani wanaitaraji siasa peke yake iwe nguzo ya mafanikio yao katika uongozi. Kiongozi mwenye kuja na ILANI...
 9. Mwana Mtoka Pabaya

  Good Morning Shigongo & CO

  Hivi katika kutafutatafuta riziki, inalazimu kweli kuongea uzushi uliojaa laana na kufuru juu ya maisha ya watu wengine? Juzi juzi hapa jamvini, palikuwa na mada iliyoanzia kwenye habari iliyoandikwa kwenye moja kati ya magazeti ya kipuuzi ya Global Publisher kuwa Nelson Mandela alikwishafariki...
 10. Mwana Mtoka Pabaya

  Hawa wahindi vipi?

  Wakuu hebu nisaidieni na mimi nielewe; TUPO INDIA kwa Wahindi au hawa WAHINDI WAPO Tanzania kwetu? Nimesoma hili tangazo hapa chini nikashindwa kuelewa sababu hasa za huu ubaguzi ulioandikwa hapa kwenye red. Hivi mimi Mwana Mtoka Pabaya ninaweza kufanya juhudi gani ili niwe Asian Origin ili tu...
 11. Mwana Mtoka Pabaya

  Huu ni utumbo gani VETA na NIT?

  Wakuu hili jambo la ajabu sana kwa taasisi inayojinadi kwamba inatoa elimu fulani halafu inademonstrate kiwango kibovu kabisa kwenye taaluma hiyo hiyo. VETA wanaendesha kozi za Web Designing na Development, cha ajabu na ambacho kwangu ni kituko kikubwa ni website ya VETA -- Vocational Education...
 12. Mwana Mtoka Pabaya

  Kwa msiojua kuandika barua za kuacha kazi

  Huyu bingwa alikuwa Border Agency huko Stansted Airport Americano. Baada ya kupata mtoto ameamua kuacha kazi hiyo inayomuweka mbali na familia yake, sasa utamu ni nnamna alivyopresent case yake kwa management
 13. Mwana Mtoka Pabaya

  Kumbe Kick Boxing marufuku Zanzibar

  Dakika chache zilizopita nikisikiliza kipindi cha michezo Radio One, nimesikia kituko cha mwaka. Ndani ya ardhi ya Zanzibar, mchezo wa Kick Boxing ni marufuku. Waziri wa michezo wa Zanzibar amemjibu mjumbe wa Baraza la Wawakilishi aliyetaka kujua ni lini sheria ya kupiga marufuku mchezo wa Kick...
 14. Mwana Mtoka Pabaya

  Huyu ndie Diego Armando Maradona

  Wengi wetu tunamfahamu huyu jamaa kwa vituko vya uwanjani na kwa namna ya uchezaji wake. Kila linapotajwa jina la Maradona, watu akili zao huelekea kwenye soka. Lakini huyu Maradona ana makubwa zaidi mdomoni mwake kuliko mguuni. Maradona anafahamika zaidi na vyombo vya habari kwa mdomo mchafu...
 15. Mwana Mtoka Pabaya

  Watanzania tusiwe wajinga tuliopitiliza

  Katika hali ya kushangaza, nimepanda daladala na pale Morocco Hotel na humo ndani nimekuta mjadala ambao sijui umeanzia wapi lkn sikuamini masikio yangu kuwa wachangiaji wake ni watu wazima na si watoto (tena wa kike). Kwa kifupi, kuna baadhi ya Watanzania wanaamini kuwa Muammar Gaddafi alikuwa...
 16. Mwana Mtoka Pabaya

  Kwa akili hizi umaskini utatuondoka?

  Kwa miaka kadhaa hapa Tanzania imekuwepo sheria ya Mabasi ya Abiria kutotembea usiku. Sheria hii inavyoonekana ipo hapa Tanzania tu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati na imekuwa kikwazo kwa biashara za ndani na zile nchi jirani kwani inapunguza uwezo wa wafanyabiashara kusafiri kwa...
 17. Mwana Mtoka Pabaya

  Lionel Messi aandika rekodi mpya ya dunia ya kufunga magoli mengi kwa mwaka

  Dakika ya 28 ya mchezo kati ya Barcelona na Betis imeshuhudia Lionel Messi akiandika REKODI MPYA YA DUNIA kwa mchezaji wa mpira wa miguu kufunga mabao mengi katika mwaka mmoja. Bao la pili la Messi katika mechi hiyo linamfanya afikishe mabao 86 kwa mwaka 2012 na kuivunja rekodi ya Gerd Muller...
 18. Mwana Mtoka Pabaya

  Wayahudi wa Ethiopia kurejea Israel

  Habari kutoka Israeli Agency of Ethiopia zinasema kuwa kundi la mwisho la Wayahudi wa Ethiopia linatarajiwa kuondoka ndani ya miezi 18 kuanzia January 2013. Tangu mwaka 1991 Wayahudi hao ambao wanafahamika kama Falash Mura (Lost kinsmen) wamekuwa wakirudi kidogo kidogo kadiri ya taratibu za...
 19. Mwana Mtoka Pabaya

  CCM: Chuo cha Dodoma kiitwe JK University

  Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukiita Jakaya Kikwete University Akisoma ujumbe ambao bila shaka...
 20. Mwana Mtoka Pabaya

  Lipumba ashindwa kuficha hisia

  Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha wananchi CUF, Ibrahim Lipumba ambaye pia ni mgombea wa maisha wa Urais kupitia tiketi ya chama hicho cha makabwela leo ameamua kuwa muwazi na kuweka wazi itikadi ya chama chake alipowataka WAISLAM nchini kutoandamana kesho. Lipumba amesema wao (CUF) wameamua...
Top Bottom