Search results

 1. Sijijui

  Pamoja na Elimu yangu ya Darasa la Saba, acha nimfundishe Magufuli

  Magufuli amekuwa akionesha kutokutosha kwake kwenye kiti cha urais na ukuu wa Nchi yetu kwa kauli na matendo mbalimbali, hivi karibuni hasa akiwa Bunda na kule Lindi alikaririwa akisema hatapeleka maendeleo sehemu ambazo hazijachagua CCM, hii maana yake ni kuwa Magufuli amekaa miaka mitano Ikulu...
 2. Sijijui

  Katiba yetu ya 1977 na uchaguzi wa 2020

  Katiba Yetu inaweza ikawa na mapungufu mengi, katiba hii hii pamoja na mapungufu yake mengi, Mwinyi, Mkapa na Kikwete waliilinda hata kama chaguzi za wakati huo zilikuwa na makando kando lakini hayakuwa Kama haya ya leo. Lakini pia rais aliyeapa kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba...
 3. Sijijui

  Maendeleo ya vitu yaliyojengwa kwenye madeni

  Ukiangalia hoja za wanaccm kuhusu mgombea wao,ukiangalia kile kinachoitwa maendeleo yaliyoletwa na Magu,ukiangalia quality ya Magu vs Lissu au Magu Vs Lowassa 2015 au Slaa vs JK 2010 na matokeo ya uchaguzi yalivyokuwa unapata majibu kabisa kwamba why Tanzania na watanzania ni masikini sana...
 4. Sijijui

  Mo usichanganye Simba na CCM wala Magufuli

  Wanajamvi Hivi hakuna mtu anayeweza kumsaidia Mo kuelewa kuwa Kuna tofauti ya Simba na CCM, Je Mo anadhani yeye kuwa mwanaccm ndo wanasimba wote tumekuwa wanaccm na washabiki wa Magufuli? Kwamba Mo hana uwezo wa kutofautisha tamasha la Simba na tamasha la CCM? Mwambieni anaboa kutuletea uccm...
 5. Sijijui

  Uchaguzi 2020 Hotuba za kampeni za Lissu, naomba sana ziwe na yafuatayo

  Mh. Tundu A. Lissu habari ya asubuhi, Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala CCM Ila my country Tanzania na watanzania ni kila kitu kwangu. Lakini pia naomba nikiri wazi kuwa naichukia CCM kwa dhati kabisa kwanza kwa kuamua kuwekeza kwenye ujinga na umasikini wa watanzania ili waendelee kuwatawala...
 6. Sijijui

  Hakuna ndege tamu kusafiria Kama B777, B743 na A380

  Kwa kweli Kama Kuna siku nilienjoy safari ndefu ni siku ambazo nimesafiri na ndege tajwa hapo juu.Jaribu na wewe utaenjoy mno
 7. Sijijui

  Rais Magufuli ni mchapakazi au mbabaishaji tu kama wengine?

  Wanajamvi hivi watu wanao msifia Magufuli kwamba anapiga kazi sana wanaangalia targets vs Achievements au Budget approved vs pesa iliyokuwa disbursed kwenda kuchapa hiyo kazi au wao kigezo Chao pekee ni propoganda za jamaa kwenye majukwaa? Mfano juzi kasema kajenga barabara za urefu wa kikomita...
 8. Sijijui

  Kujifukiza ni kinga au ni tiba?

  Wanajamvi, ninafahamu humu jamvini Kuna magwiji wa kila idara from miti shamba hadi PhD za MD. Hivi kujifukiza ni kinga au ni tiba ya corona? Najua watanzania kutokana na umasikini wetu wa kipato na akili tunapenda sana mteremuko. Hapa Tanzania ni kawaida sana kumsikia abiria akimpigia kelele...
 9. Sijijui

  Ubora wa CCM upo kwenye nini?

  Wadau kwa miaka mingi wanaccm wamekuwa wakijisifia kuwa ccm ni chama bora Africa,miaka 59 tukiwa tunatawaliwa na ccm imeibuka corona,ambayo wataalamu kote duniani wanahimiza kuwa njia madhubuti ya kujikinga na hili gonjwa ni kubaki nyumbani,kwa sababu hiyo nchi nyingi zikiwemo majirani zetu...
 10. Sijijui

  Jengo la Tanesco Ubungo

  Wadau Hivi Magufuli huwa haoni aibu anapopita pale ubungo hasa akiangalia ile interchange ilivyo na lile jengo la Tanesco aliliolibomoa
 11. Sijijui

  Sielewi ujenzi unaoendelea Ubungo interchange

  Wanajamvi, Naombeni kuuliza. Hivi kile kitu kinachojengwa pale ubungo ndo kile kile ambacho Magufuli alituambia watani zake Wazaramo tutapiga picha sana pale au kile ni kitu kingine? Nisaidieni please mnaojua.
 12. Sijijui

  Je shida ni wale tuliowapa mamlaka ya kuenforce na kusimamia sheria zetu kutojitambua au shida ni sisi wadanganyika?

  Wana jamvi, Tangu awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyakazi kuondolewa kwenye nafasi zao kinyume cha sheria na wengine kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali kinyume cha sheria na taratibu pia. Mambo haya kwa wengine inaonekana ni sawa tu. Sasa swali langu ni...
 13. Sijijui

  Uchumi unao kuwa kwa 7% bado upo au IMF wameshatuharibia hii santuri?

  Wanajamvi kwa muda mrefu tangu magufuli aingie madarakani,habari ya uchumi wetu kukua kwa 7% haijawahi kukosa mdomoni wa Magufuli na wanalumumba,Ila baada ya IMF kujaa na Data za uchumi kukua kwa 4% kutoka 7.1% za JK,sisikii tena ile 7 % ikitajwa either na magufuli ama praise team,Je uchumi...
 14. Sijijui

  Je, watanzania tu masikini kwa kuwa hatufanyi kazi?

  Ccm kupitia mgombea wake wa urais ambaye ndiye rais wa JMT kwa sasa walijinasibu na kauli mbiu ya HAPA KAZI TU.na wadanganyika ama kwa uzuzu wetu au ujinga wetu ama kwa kutanguliza masilahi ya vyama vyetu kuliko masilahi ya Taifa letu na watu wake,tukashangilia na kuaminishwa Serikali ya Hapa...
 15. Sijijui

  Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na nchi za Africa hivi huwa ni ubunifu wa watalawa wetu au ni ushawishi toka nje?

  Wanajamvi,ninaomba mnisaidie kuelewa maana nimekuwa nikijiuliza swali hili muda mwingi bila kupata majibu.Hivi hii miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika nchi zetu za Africa hasa Tanzania na nchi zinazotuzunguka, ni matokeo ya ubunifu au mipango yetu au ni msukumo wa mabeberu na wachina?Je...
 16. Sijijui

  Natamani siku moja ateuliwe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi mwendawazimu

  Huko nyuma sana niliweka matumaini yangu kwa JWTZ, kwamba ndo chombo pekee kitakachoweza kuwakomboa watanzania walio wengi kutoka kwenye makucha ya mtesi wao mkuu ccm bila kumwaga damu ya mtanzania yeyote.lakini yanayoendelea awamu hii yamenifanya niondoe matumaini na imani yangu kwa JWTZ.Sasa...
 17. Sijijui

  Kwa akili hii ya TANROAD na watawala wetu sioni foleni zikisha Dar

  Mimi nilidhani mipango ya kujenga ubungo interchange na upanuzi wa barabara ya Morogoro kuwa njia sita,tatu kila upande from Ubungo to Chalinze ilikuwa ni mkakati wa kupunguza kama si kuondoa kabisa msongamano katika barabara hiyo na kuwawezesha watanzania kupunguza gharama zinazosababishwa na...
 18. Sijijui

  Hizi delays na cancellation za ATC ni dalili za shirika kuelekea kibla?

  Jana nimepita pale Iringa airport (was flying Auric Air to Dar)Story ilikuwa kuahirishwa ahirishwa kwa safari za ndege za ATC, leo mama yangu mzazi alitarajiwa kuwasili Dar saa 12 jioni kutokea Mwanza,akiwa airport wakatangaziwa kuwa sasa ndege itaondoka saa tatu usiku badala ya saa kumi na moja...
 19. Sijijui

  Mheshimiwa Rais anatupa milion 600 za elimu Bure

  Jana nilisikia mkuu wa wilaya mmoja akisema rais anawapa kila mwezi milioni mia sita za elimu bure lakini wazazi wa huko wanakaria kunywa pombe na hawataki kwenda kujitolea kujenga madarasa.maelezo yake yakanifanya niwe na maswali kadhaa ambayo wadau naomba mnisaidie 1.Hii milioni 600 ni kweli...
 20. Sijijui

  Hivi Tanzania tuna highway?

  Wanajamvi samahani sana mimi ni mgeni hapa ninaomba kueleweshwa tu kwamba,hivi hapa nchini kwetu kuna barabara zile wanaitwa high way? Mimi naona matuta ya barabarani kila kona,naona vibao vya hamsini kila eneo, vivuko vya waenda kwa mguu ndo usiseme yaani hata pale serikali ilipojenga flyover...
Top Bottom