Search results

 1. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Inakera sana hali hiyo mkuu yaani unaweza hata kuvunja maagano mlio wekeana. Me ntamkanya aisee asipo nielewa basi.
 2. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Hahahaaaaa haya bhana
 3. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Daaah! Ni kweli sina uzoefu saana lakini kwa mahusiano nilo pitia na kujifunza kupitia makala mbali mbali ninao uzoefu, ndo maana nipo na mashaka.
 4. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Kwanini una amani mkuu?
 5. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Kwahiyo mkuu nimwache?
 6. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Sawa mkuu usijali me ntawaleteeni mrejesho.
 7. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Asante, hili swala ntalifatilia kabla hatujafika mbali, lakini si uwezo wa kumzuia upo?
 8. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Hata kama ni wewe mkuu lazma utafatilia japo umetongozwa.
 9. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Japo nipo nae mbali me ntaongeza kumchunguza mkuu, yeye kakulia maeneo mengine na mimi sehemu nyingine sasa tabia yake na yangu naona kama tunachengana hivi halafu na hofu ya Mungu kama vile hana kiukweli sjapata mwafaka, Mchungaji wangu wa kanisa nisha mwambia kuwa nataka tuoane na huyu binti...
 10. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Mkuu we nimweji kanda ya ziwa labda au Mwanza huku unapafahamu ?
 11. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Asante mkuu me ntajaribu kumsihi kama niwakuelewa ataelewa
 12. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Asante mkuu,, maana hii tabia hainipi amani kabisa yaani sms 1000 za week anamalza ndani ya week sa ndo najiuliza anachat na akina nani,, halafu na hilo swala la kusema ana kampani ya wanaume kuliko wanawake ndo inanichosha zaidi,, Nimejaribu kumpeleleza why ana marafiki wengi wa kiume kuliko...
 13. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Kwanini, toa sababu mkuu yaweza kunisaidia
 14. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Nipe huo ushuhuda mkuu naweza pata madini kupitia wewe
 15. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Karibu mkuu wala usiwaze mpendwa.
 16. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Nikweli mpendwa kuna wakati roho inakuwa na mashaka sana juu yake na amani haijawa kubwa sana moyoni mwangu juu yake. Sasa labda kuna vitu Mungu anihusisha nisije nikazama shimoni.
 17. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Amina sana,, point ya maana sana mpendwa, nichuke uamzi wa kumchunguza??
 18. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Ni kweli maana Mungu nwamini siwezi kumwomba kitu chema halafu anipe kitu kibaya,, ntaendelea kujitathimini kabla sijaingia kwenye ndoa yenyewe.
 19. Bin Shaib

  Sina amani naye japo nampenda huyu binti

  Kweli mkuu me ntajitafakari maana Mungu nilimwomba mwanamke wakufanana na mimi,asinipe ambae hatakuwa changamoto kwangu.
Top Bottom