Search results

 1. Kadhi Mkuu 1

  CHAN2021: Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia

  Taifa stars imeanza vibaya huko Cameroon dhidi ya Zambia kwa kulala 2-0. Nadhani rais atatekeleza ahadi Yake ya kutumbua waziri wa michezo ingawa hakucheza. === #CHAN2021 Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia. Zambia 2-0 Tanzania Sikombe 64' (P)...
 2. Kadhi Mkuu 1

  Namba hii ya tapeli 0744705462, TCRA fungieni

  Hii namba imesajiliwa kwa jina la AMINA DILUNGA, kazi Yake kutuma message za kitapeli kwamba kakosea muamala. Nilichokiona Hadi leo Kuna watu wanaamini maneno ya Hawa matapeli. Elimu za vijana wengi si za kufuta ujinga tuwasaidie kwa kufichua hizo namba maana bila kumsikia kijana akiongea na...
 3. Kadhi Mkuu 1

  INikihesabu kutoka 14 Oct 1999 hadi 14 Oct 2019 napata miaka 19. Iweje tuadhimishe miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa?

  Wanabodi, Kila nikihesabu miaka tangu Baba wa Taifa afariki napata 19. Hii ni toka mwaka 1999 hado 2019. sasa ilikuwaje tukaadhimisha miaka 20 tareha 14 October 2019? R.I.P mpendwa wetu JKN. Lengo ni kuwekana sawa hakuna jingine.
 4. Kadhi Mkuu 1

  Magufuli akiongea Bugando aagiza bili za matibabu India zihakikiwe

  Akiongea leo hii katika Hospitali ya Bugando amemwagiza Waziri wa Afya kuhakiki malipo ya wote waliotibiwa nje ya nchi hasa India kuona kama bili za matibabu zimejumuisha malipo ya wasindikizaji wakiwemo wake au waume uli wazilipe wenyewe. Pia kasema wengine walienda kutibiwa na kukaa...
 5. Kadhi Mkuu 1

  Humphrey Polepole: Hata kufanya mkutano wa CCM ndani ya uwanja wa CCM kirumba ni mkutano wa ndani

  Akihojiwa na mtangazaji Charles Kiswanta wa 87.5 FM Polepole kajibu kwamba hata kufanya mkutano kwenye maeneo ya chama mfano CCM Kirumba ni mklutano wa ndani! Hii imekaaje?
 6. Kadhi Mkuu 1

  Headmistress Honorata Ruhumbika: Enzi uko Pamba secondary unamkumbuka DAB?

  Daud Albert Bashite alisoma Pamba secondary wakati wewe ni mkuu wa shule. Kwa sasa anazungumzwa sana na ni wakati wako kuthibitisha na jiandae tunakuja kuzungumza na wewe utupe mbivu na mbichi. Pia Crispina M Maranja nae tutamhoji. CC: Emilian Kabote John Makene Mkuu wa Chuo Nyegezi...
 7. Kadhi Mkuu 1

  ZANTEL WANATUIBIA KWA KISINGIZIO CHA UBOVU WA MTANDAO.

  Mimi mteja wa kampuni ya simu ya Zantel nasikitishwa sana na hii mbinu ambayo hii kampuni ya mawasiliano wanayoitumia kuibia wateja. Ukituma hela kwa ezypesa wao hukata salio lako halafu hukwambia hela haikwenda kwa sababu ya tatizo la mtandao na watakurejeshea hela yako. Tatizo hawakwambii...
 8. Kadhi Mkuu 1

  Steven Nyerere: Sio mimi niliyeigiza sauti ya Freeman Mbowe, asema Mbowe ni kiongozi mkubwa

  Steve Nyerere alipoulizwa juu ya kuigiza sauti ya Mbowe alisema kila kitu kipo wazi mwenye akili anaona, na kuuliza hivi yeye aigize sauti ya kiongozi mkubwa kama Mbowe anatafuta nini? na kitakachompata ni nini? na akimuharibia yeye atafaidika na nini? Ameongezea pia kutongoza sio dhambi ila...
 9. Kadhi Mkuu 1

  Serikali itoe tamko rasmi: Daudi Albert Bashite ni nani?

  Huu mjadala si wa kisiasa. Mkuu (Mh. Rais) alisema wenye vyeti feki waachie ofisi ifikapo May 15, 2017. Huu ulikuwa msamaha na wote watakao kaidi wafungwe miaka 7. Sasa Gwajima askofu kafafanua kila kitu ila serikali haikanushi wala kutoa tamko kuhusu ukweli wa Daud Abert Bashite. Naomba kama...
 10. Kadhi Mkuu 1

  Rais Magufuli akiri pesa za kiwanda cha saruji Lindi kuliwa

  Katika mkutano na waandishi Leo, rais Dr. Magufuli alitoa moja ya madudu yaliyofanyika awamu iliyopita kwamba kuna makaburi hawezi kuyafukua kwa sababu atashindwa kuyafukia. Akasema kuna dola 20 ml. zilitolewa kwa ajili ya kujenga kiwanda Lindi lakini kiwanda hakipo na hela hazipo! Mwenye...
 11. Kadhi Mkuu 1

  Live TBC1 Simiyu: Mh. Dr. Shein hana bodyguard

  Wanabodi si kawaida kwa rais wa nchi kukaa bila bodyguard wake. Lakini hapo Simiyu naona Mh. rais wa ZNZ kakaa na mkuu wa mkoa na kulia kuna Mh. Jenister Mhagama. Imekaaje?
 12. Kadhi Mkuu 1

  Mabilion ya JK: Bodi gani ilihusika kukopesha?

  Hivi karibuni bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu imeelekeza wote wlionufaika na mikopo waanze kulipa ili wengine wakopeshwe. Sasa kuna hawa waliokopeshwa mabilion ya JK, je nao wataanza kulipa lini ili wengine tukope? Ni bodi gani ilihusika kukopesha? Mwenye ufahamu tujuze.
 13. Kadhi Mkuu 1

  Wanaombeza Magufuli kuhusu kiingereza: Waandike thread zao kwa kiingereza

  Wana JF, Kuna baadhi ya watu wanambeza rais wetu Magufuli kuwa hajui kiingereza. Watu hawa nawashauri nao walete post zao kwa kiingereza ili tuone kama wao wanajuwa hicho kiingereza. Ni ushauri tu.
 14. Kadhi Mkuu 1

  Wizara ya Elimu imetoa madaftari elekezi?

  Hii imetokea Tanga. Watoto wa shule wamerudishwa na wengine kuchapwa eti kwanini wamenunua madaftari ambayo siyo. Sasa nataka kujuwa kama wizara imetowa maelekezo au tenda kwa mtu maalum wa kutengeneza madaftari maalum? Au hii ipo Tanga tu Masiwani S/M?
 15. Kadhi Mkuu 1

  Mgombea Urais: Chama changu kina Ilani nyingi

  Akizungumza kupitia ZBC tar 01 october 2015, mgombea urais wa Zanzibar kupitia DP alisema chama chake kina ilani nyingi sana hivyo wananchi wajitokeze kuzisikiliza! Pia kasema ataifanya ZNZ kuwa zaidi ya China, zaidi ya DUbai, Zaidi ya Hongkong! Hivi kweli huyu ni mgombea serious? Hajui ilani...
Top Bottom