Search results

  1. Alpha Blondy

    Msaada: makato CRDB

    Wakuu nahitaji msaada wa maelezo kwa yeyote anaejua haya makoto. Ipo hivi nilifungua account ya CRDB bank ile ya furahaa account kwa maelezo yao, kuwa haina makato ya kila mwezi, Nikakaa muda kidogo kama miezi mitano bila kuitumia, nikawa nimesahau password, Leo nikaenda bank ku reset...
  2. Alpha Blondy

    Powerbank ipi ni nzuri?

    Wakuu niwape salamu wote, Naomba kuuliza powerbank ipi ni nzuri, nahitaji msaada wenu, Nataka ninunue ila sijajua brand gani inafaa zaidi, Bajeti yangu ni 30,000
Top Bottom