Search results

 1. Omulangi

  Kurudi postmortem baada ya mazishi sheria inasemaje?

  Ikiwa postmortem inarudiwa baada ya marehemu kuzikwa, Je nani anapaswa kushiriki? Na haki ya ndugu wa marehemu ni zipi ili kuhakikisha ukweli Wote kuhusu kifo cha marehemu una julikana?
 2. Omulangi

  Naomba msaada TOEFL preparation

  Wana jamvi naomba msaada kwa yeyote anayefahamu mahali ninapoweza kuchukua mafunzo kwa ajili ya kujiandalia mtihani wa TOEFL kwa Dar es salaam anijuze.
 3. Omulangi

  VIONGOZI WA DINI WAUNDE JUKWAA NA KUTOA SAUTI JUU YA MUSTAKABLI WA AMANI.

  Naona kwa hali zinazoendelea nchini, ingekuwa vema viongozi wa dini kwa ajili ya amani ya taifa watengeneze jukwaa la kutetea haki. Kwa mwendelezo misuguano ya kisiasa uliopo na matumizi ya vyombo vya dola; ikiwa viongozi wa dini hawatoi sauti ya kinabii dhidi ya lolote lililo kinyume na haki...
 4. Omulangi

  NITASHAWISHIKA WANANCHI WAKIRUDISHIWA NGUVU NA HESHIMA YAO.

  Mengi yanaendelea katika mitandao na katika vyombo vya habari. Dalili zinaonyesha watu wanasisimuliwa na hatua mbali mbali za serkali mpya. Ukweli ni kuwa watawala wanatumia nguvu zao na vyombo vyote vya dola kuwatetea na kuwasaidia wananchi huku wakiwawajibisha wasiojituma. Hatua hii imeanza...
 5. Omulangi

  Bunge maalum la katiba linamamaliza rasmi lini kazi zake?

  Nilikuwa napita katika mtandao naona tovuti ya bunge maalum bado iko hewani. ile ya tume ya mabadiliko ya katiba ilifungwa mara moja kwa vile ilisemwa imemaliza kazi zake. Hii ya bunge maalum bado iko hewani, sasa muda wake bado au ni double standard za serkali? Nisaidieni.
 6. Omulangi

  Msaada: Naomba kujua legalization process ya police certificate foreign affairs

  Hapa JF pamekuwa msaada wangu katika mambo mengi. Nishukuru kwa moyo wa kusaidia ambao wengi wenu mnao. Leo naomba msaada kujua kama niko mkoani nimepata police certificate kwa ajili ya kuombea visa ya kwenda kusoma nje. Je! nafanyaje ili iwe legalized?
 7. Omulangi

  Msaada: Napataje police certificate kwa ajili ya visa?

  wana Jf naomba msaada wa kujua namna ya kupata police certificate ili kuombea visa ya kuishi ughaibuni (Albania) kwa ajili ya masomo.
 8. Omulangi

  Matamko ya CCT NA PCT kuhusu kuchinja

  Katika misiba ya watumishi wa Mungu Mch Mathayo Kachira Buselesele na Askofu Thomas Laizer Arusha matamko mawili ya mabaraza ya wakristo yaani CCT na PCT yametolewa yakiweka wazi msimamo wa jamii ya wakristo kuwa kuanzia sasa wakristo watachinja kitoweo chao. Kwa vile sasa imeonekana suala la...
 9. Omulangi

  Tbc wamesema jk ataongea na taifa

  Naona ndio sasa hivi anaanza mara zote ni usiku ulioendelea je ni wosia wa Sheikh Yahya?
 10. Omulangi

  Ntukamazina Mb aikemea serikali kwa udini

  Mbunge wa Ngara Ntukamazina amesema kuna tatizo kubwa kwa uteuzi wa uongozi katika nchi hii. Watu wasio na uwezo wanapewa nafasi kwa misingi ya udini, makabila na urafiki. Amesema hiyo inamyima uwezo wa kuwawajibisha. Source: Bunge la jini saa 110. My take: Naunga mkono hoja. Tafadhali JK...
 11. Omulangi

  Msaada: Ammended social security bill

  Naomba kujua hii bill iliyokuwa bungeni majuzi kuhusu mabadiliko ya mifuko ya hifadhi ya jamii ni no ngapi na naweza kuipataje?
 12. Omulangi

  Wanafunzi wa kwiro sec wagoma

  Tangu jioni mgomo umeanza na unaendelea hapa Kwiro Sec. Wanafunzi wamechoshwa na ufisadi na unaombatana na uzembe. Vifaa walivyolipia wapewe kama unifomu na vifaa vya shule havitolewi na walimu hawafundishi kabisa. Wale wa A level wakiingia darasani dk kidogo wanapiga tu porojo halafu haooo...
 13. Omulangi

  Kwa mhe: Mwakyembe

  Je unafahamu kuwa kifo cha reli na meli za mizigo katika ziwa Victoria ni biashara ya maroli na kampuni za usafirishaji za wakubwa ulio nao serkalini? Ukijaribu kufufua usafirishaji kwa njia ya reli na meli wataku Kolimba kabisa!! Watu wana fleet ya semi mpaka 100 na zaidi unafikiri watakubali...
 14. Omulangi

  Je uchaguzi wa f5 unatangazwa wapi?

  Naomba wana Jf kuuliza baada ya selection ya f5 matangazo huwekwa wapi? Ni shule aliyosoma mwanafunzi, au kwenye media au ni wapi? je kama mwanafunzi alichagua combination fulani, wakati wa selection wana zingatia uchaguzi wa mwanfunzi au namna alivyofaulu au matakwa ya wizara? Nisaidie katika...
 15. Omulangi

  Matokeo ya form 4

  Jamani kama kuna mwenye taarifa juu ya matokeo ya f4 aziwekwe jamvini maana tumesubiri hadi tunakuwa impatient. kuna tatizo lolote huko jikoni jamani au ukata umefika huko nako?
 16. Omulangi

  Sheria ya hifadhi ya mazingira ya ukanda ziwa wa mita 60 za ziwa inasemaje?

  Naomba kujua ile sheria ya kutunza mazingira ya ziwa kama Victoria ambayo zamani tulijua inasema ni meta 30 na siku hizi baadhi ya mamlaka zinasema ni meta 60 inasemaje? Hizi meta 60 au 30 ni kwa ajili ya water related activities kama kuweka kambi za wavuvi na ku park vyombo vya majini au ni kwa...
 17. Omulangi

  Jihad imekwishaanza tz

  Wiki iliiyopita tarehe 10 kitongojini Kashebeya, Kijiji Kaibanja, Kata Kaibanja wilaya Bukoba vjijini katika familia moja ya mzee Bagandanshwa kulikuwa na arusi. Vijana wake 3 walifunga ndoa. Wanakijiji wakaamua kusherehekea arusi hadi usiku na disco la Bwana Fokas toka Bukoba mjini. Km kama 6...
 18. Omulangi

  Pinda: Uvumilivu ukimshinda Kikwete msimlaumu - Onyo Chadema

  Mhe Pinda leo amelonga hapa Bukoba mida ya saa 12 na kusema Pamoja na serkali kuleta maendeleo makubwa Kagera. Pamoja na shule, barabara na mkonga wa mawasiliano. Bei ya sukari ataishughulikia katika ziara yake. Bukoba ni km 70 toka kiwandani. Hadi tar 8 itatelemka bei. Kuh amani ya nchi...
 19. Omulangi

  Dau la kura ya umeya bukoba lilikuwa kati ya 3-5 mil

  Huko Bukoba dau la umeya lilifikia 3-5 mil kwa kura. vigogo wakatafutana madiwani we gi wa CCM walifichwa Chato hotelini. Wachache walionekana wakitokea asubuhi ya jana kwa Mh Mbunge na vitita vyao. Hatimaye uchaguzi ukaendeshwa na Mh Anatoli Aman akaibuka kidedea. Ufisadi ni mtindo wa maisha...
 20. Omulangi

  Prof shirvji na dhana ya ubinadamu, haki za binadamu na utawala bora

  Katika hafla ya kumtunuku Dr Slaa tuzo ya maji maji inayotolewa kila miaka 5 na Kituo cha sheria na haki za binadamu Dr Shirvi ametoa mada kuhusu haki za binadamu na utawala bora iliyokoga nyoyo za watu. Kituo hiki kiliandaa tafrija maalum kuanzia saa 1 jioni alitinga akiwa ndani ya suti nyeusi...
Top Bottom