Search results

 1. Hassan J. Mosoka

  Sendwave na vodatz

  Kuna mwenye taarifa nini kimetokea kati ya send wave na voda tz manake karibu siku nne sasa tunashindwa kutumia mtandao huu pendwa kwa wale wabeba mabox tunaotuma mboga kwa wazee wetu huko bongo
 2. Hassan J. Mosoka

  Mama Kuteswa Rwamchanga Mugumu serengeti

  Shimora Maregesi kituo cha sheria na haki za binadamu pamoja na chama cha wanasheria wanawake Tanzania, hili mnalifahamu? Mnamo march 2014 ktk kijiji cha Rwamuchanga,Wilaya ya Serengeti. Lilian Daniel akiwa mzazi wa watoto mapacha wachanga, alikutana na unyanyasaji uliopitiliza kutendwa na...
 3. Hassan J. Mosoka

  Tanzia: Innocent Mashanda is no more

  Aliyewahi kuwa Msajili wa wanafunzi katika chuo kikuu cha Mount Meru, ndugu yetu na rafiki yetu Innonent Mashanda is no more! Mwalimu Mashanda alikuwa anasumbuliwa na figo na ini wengi tutamkumbuka kama mtu aliyependa sana kufuata utaratibu kwa kila jambo kwa kifuti hakuwa mtu wa njia za...
 4. Hassan J. Mosoka

  Baada ya ban

  Ndugu zangu, kwa mda wa wiki moja hivi nimekuwa jukwaani hapa kama mgeni baada ya kuzawadiwa ban kutokana na mchango wangu huko jukwaa la siasa, jukwaa lile kuna watu wanakera, wana-behave kama vile hawaoni matatizo ya nchi yetu, kwa kawaida baada ya kukaa kwenye jukwaa la siasa hatimaye mimi...
 5. Hassan J. Mosoka

  Tanzia

  Diwani wa kata ya Manchira (CCM) na ambaye pia likuwa makamu mweyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti amefariki dunia, Mungu awafariji wafiwa na wanaManchira kwa ujumla! Rest in Peace brother Mechama
 6. Hassan J. Mosoka

  Siasa za Kenya na Jumuiya ya Africa Mashariki

  Wadau heshima mbele, Nimekuwa nikifuatilia siku za hivi karibuni siasa za kenya, nimegundua kwamba wenzetu hawa bado wana ugonjwa mkubwa wa Ukabila. Inakusudiwa kuwa ifikapo 2015 EA takuwa imeanzisha shirikisho la kisiasa, wenzetu Kenya bado wana ugonjwa mkubwa wa Ukabila Je hatuoni kuwa...
 7. Hassan J. Mosoka

  Siasa za Kenya na Jumuiya ya Africa Mashariki

  Wadau heshima mbele, Nimekuwa nikifuatilia siku za hivi karibuni siasa za kenya, nimegundua kwamba wenzetu hawa bado wana ugonjwa mkubwa wa Ukabila. Inakusudiwa kuwa ifikapo 2015 EA takuwa imeanzisha shirikisho la kisiasa, wenzetu Kenya bado wana ugonjwa mkubwa wa Ukabila Je hatuoni kuwa...
 8. Hassan J. Mosoka

  Utajiri wa Lowasa uko wapi??

  Kwenye hii link kuna matajiri wakubwa wa Africa 2012 Nimetafuta jina la E. Lowasa sijaliona, wala hakuna Mtanzania yeyote katika hii orodha, si Rostam wala Mkono sasa najiuliza utajiri wao uko wapi??? You can lead here by yourself http://www.naijapals.com/modules/naijapals/nigeria/topic,95633.0.html
 9. Hassan J. Mosoka

  Eti Million 10! kwa wamachinga

  Ndugu wana Jamvi! Nimeshangazwa sana na habari kuwa Rais wa nchi amekutana na wamachinga wa Mwanza na kuwapa Tsh.10 ili kuongeza kwenye mitaji yao. Rais amenifanya nijiulize kama anatazuguka nchi nzima kuwagawiwa wamachinga wa kila mkoa Tsh.10 kama njia ya kuwakwamua. Sikuamini wala sitaamini...
 10. Hassan J. Mosoka

  Safari yangu Nyumbani hivi Karibuni

  h Ndugu zangu mwezi uliopita nilifika Nyumbani Tanzania na kwa Neema ya Mungu nikajipatia Mke mwema
 11. Hassan J. Mosoka

  CCM Mmetegwa nanyi mkanasa

  Kwa muda mrefu wapinzani wame-establish kauli mbiu ya kupambana na ufisadi, pole pole ccm mkaitwa chama cha mafisadi. Badala ya kufanya uchunguzi kwa nini hilo limetokea mkakurupuka kuita watu wadini na mengine yasiyo na mashiko katika jamii fukara. Wapinzani wenu wakaenda mbali zaidi wakawataja...
 12. Hassan J. Mosoka

  Mapenzi kwa njia ya Mitandao

  Ndugu zangu nionavyo ni kuwa sisi waafrika watanzania in particular kutafuta wapenzi au wachumba kwa njia za mtandao hatuwezi kabisa na wala hili si letu ingawa tunajitahidi na kujaribu kulitekeleza. Moja kati ya sababu nyingi ni hulka yetu, mara nyingi mahusiano kati ya ke/me kuwa hayahitaji...
 13. Hassan J. Mosoka

  Ugonjwa wa Kutokujiamini ni mbaya sana

  Pale Kalimjee ndugu zetu wa Dini ile wamesema wamechoka kunyanyaswa na wanataka mgawanyo wa madaraka nusu kwa nusu, bila kufafanua hii nusu kwa nusu ni Pamoja na Wapagani, Wahindu, Rastars, Wabudha na dini zingine kibao zilizopo Bongo. La pili nadhani wamesahau nusu kwa nusu haitaishia kwa...
 14. Hassan J. Mosoka

  Ugonjwa wa Kutokujiamini ni mbaya sana

  Pale Kalimjee ndugu zetu wa Dini ile wamesema wamechoka kunyanyaswa na wanataka mgawanyo wa madaraka nusu kwa nusu, bila kufafanua hii nusu kwa nusu ni Pamoja na Wapagani, Wahindu, Rastars, Wabudha na dini zingine kibao zilizopo Bongo. La pili nadhani wamesahau nusu kwa nusu haitaishia kwa dini...
 15. Hassan J. Mosoka

  Elections 2010 Diwani huyu alitetea kiti chake akiwa Jela na bado akasinda

  KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Diwani wa Kata ya Bumera kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tengera Marwa jana alitolewa gerezani kwa muda na kwenda kuapishwa wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime na baadaye alirudishwa gerezani...
 16. Hassan J. Mosoka

  Ya CDM Matamu sana

  Kweli hii inanishangaza sana, Kila hatua wanayochukua CDM au kiongozi ndani ya CDM ni mjadala kila mahali, wakati mwingine habari itapotoshwa na kuwekewa vikorombwezo kibao. Lakini kitendo cha Madiwani waliochaguliwa kwa kura halali na wananchi kujiuzuru hakuna anayekizungumzia watu wako kimya...
 17. Hassan J. Mosoka

  Ombi la Soft Copy ya Katiba ya JMT

  Ndugu wadau, mimi ni miongoni mwa Wabongo wengi tu ambao hatujawahi kuioma katiba ya JMT. Ingawa naunga mkono hitaji la Katiba mpya na nina sababu za wazi zinazonisukuma kuunga mkono bila kufuata mkumbo wala kushinikizwa 1. Nakerwa na Bunge kuitwa washauri wa serikali na rubber stamp ya matakwa...
 18. Hassan J. Mosoka

  Elections 2010 Ofisi ya Mbunge wa Nyamagana

  Ndugu zangu nimepatwa na mshangao mkubwa kuona aliyekuwa WAZIRI WA MAMBO YA NDANI (USALAMA WA RAIA) na mwanasheria kwa taaluma kuondoka na samani za OFISI YA MBUNGE WA BUNGE LA JMT. Naomba kusaidiwa tu kujua je amechukuliwa hatua gani na serikali kwa kupora mali ya Umma? CCM kama chama...
 19. Hassan J. Mosoka

  Rais anapocheza Mduara Ikuru!

  Leo nimefuatilia kwa kina sana mjadala kule jukwaa la siasa juu ya Mdahalo wa wapinzani wawili pale ITV ya FM na RH, wasiompenda mh. Mbowe kwa sababu zao walimuita Professional DJ kwa utashi wao wakidhani by that name ingepunguza credibility yake kama politician. katika tafakuri yangu nilienda...
 20. Hassan J. Mosoka

  Hatuhitaji Unpredictable Leader, Nyerere

  http://www.youtube.com/Mwalimu Nyerere's meeting with Tanzania Press Club 1995 party 3-4 of 1o
Top Bottom