Search results

  1. nygax

    TAFAKURI: Mabadiliko tuliyoyataka sasa yanatokea CCM

    Amani iwe kwenu. Nimesikia kauli iliyotolewa na aliyekuwa katibu mkuu Simanjiro, CHADEMA, alipokuwa anatangaza kubwaga manyanga na kujiunga na CCM, kwamba ameamua kuondoka na kujiunga na CCM kwa sababu mabadiliko ya kweli anayaona ndani ya chama hiki, nikaona si vibaya tujaribu kutafakari...
  2. nygax

    Uteuzi wa Dr. Slaa wageuka mwiba mwingine kwa upinzani

    Amani iwe kwenu, Nadhani wengi wetu tunakumbuka namna ambavyo Dr. Wilbroad Slaa alivyoleta mshituko mkubwa katika ulimwengu wa siasa, baada ya kutangaza rasmi kwamba anastaafu siasa. Maamuzi haya aliyafanya baada ya yeye mwenyewe kusema hakuridhishwa na mchakato mzima wa kumpokea na hatimae...
Top Bottom