Search results

 1. givoh23

  Msaada wa shule nzuri za advance zenye gharama nafuu

  Heshima zenu wakuu... Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa shule za advance zenye mchepuo wa CBG kwa hapa dar na mikoa ya karibu... Natanguliza Shukrani
 2. givoh23

  Kwa wale tunaosubiri selections za diploma certificate na diploma 2017/18 hili lina ukweli?

  Kuna tetesi nimeskia kuwa waliosoma certificate na kuaply kozi tofauti na walizosomea na kuaply nyingne kwenye ngazi ya diploma hawatachaguliwa...je ni kweli jaman?inakuwaje kwa aliyeaply coz ya uhasibu, ilhali kasomea b.administration? Sent using Jamii Forums mobile app
 3. givoh23

  MSAADA WA AJIRA

  Natanguliza shukrani wakuu;mimi ni kijana wa kiume umri wa 23,natafuta ajira yoyote ya halali nina astashahada ya business administration,na cheti cha computer application packages.Mimi ni fast learner,nina uzoefu wa kuridhisha kutumia excel,niko dar.mawasiliano;0653229608
 4. givoh23

  naomba ufafanuzi kidogo wanajamvi

  inakuaje mwelekeo wa masomo kwa mtu aliyesoma nje na kufaulu vizuri tu ila akakosa mkopo wa kujiendeleza kwa sababu ya uraia,licha yakuwa na ufaulu na vigezo vya kupata mkopo?
Top Bottom