Search results

 1. C

  Kampuni ya mawasiliano ya vodacom imesaini mkataba na Remmit world

  Kampuni ya mawasiliano ya vodacom imesaini mkataba na Remmit world ili kuwawezesha watumiaji wa vodacom m-pesa kuweza kupokea fedha kutoka mataifa 50 bila usumbufu wa kupitia bank,sasa wale wazee wa freelancing na forex watakuwa na amani,asante vodacom. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. C

  Azam Tv inapoteza mvuto

  Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo...
 3. C

  Panya road waibukia Arusha

  Salaam wakuu, Katika hali ya kushtusha leo mida ya saa moja nimepita eneo la Kilombero kuelekea barabara ya Fire na kushuhudia kundi la vijana wakiwa na silaha kama visu na mapanga wakiwa wametanda barabarani huku wakiwapora wapita njia na abiria waliokuwa kwenye magari pamoja na kuwajeruhi...
 4. C

  Gazeti la Mwananchi limepotosha au limekosoa?

  Kwenye gazeti la mwananchi la leo tarehe 29/06/2017 kuna habari yenye kichwa cha habari "Kenya kuanza kutumia dawa mpya za ukimwi" Ndani ya habari hiyo kuna kipengele kinaeleza kuwa Robo tatu ya watu wanaoishi afrika kusini mwa jangwa la Sahara wanaishi na virusi vinavyosababisha ukimwi au...
 5. C

  Azam TV nao wametugeuka, tuende wapi?

  Ndugu mteja, kutokana na serikali kuongeza VAT kwenye malipo ya mwezi na ongezeko la thamani ya pesa za kigeni, inatubidi tuongeze bei ya vifurushi. Hivyo basi, kuanzia tarehe 1 Julai 2015, malipo ya mwezi yatakuwa kama ifuatavyo: Azam Pure itakuwa 12,000, Azam Plus 20,000, Azam Play 30,000...
 6. C

  Mzee warioba ndani ya dakika 45,

  Mtazame kwenye itv sasa hivi, anachambua hoja mfu za intarahamwe kuhusu serikali mbili/tatu.
 7. C

  Hiv-1 sasa inatibika

  Kampuni ya Glaxo smithline jana imetangaza rasmi kuthibitishwa kwa dawa yao mpya inayo TIBU Hiv-1,hii imekuja siku chache baada ya Fda kuthibitisha dawa nyingine yenye uwezo kama huo ViiV Healthcare is pleased to announce today that the U.S. Food and Drug Administration (FDA) has approved...
 8. C

  kiasi kingine kikubwa cha heroine chakamatwa jkn airpot

  Kwa mujibu wa msemaji wa polisi,mtuhumiwa amejulikana kwa jina la leonidas monyo aliyekuwa njiani kuzipeleka nchini italia Source itv
 9. C

  Anayesema Arusha si salama ni mnfiki

  Ndugu wanajamvi,kumekuwa na hoja isiyo na uzito inayosambazwa kwa kiasi kikubwa na kundi fulani la watu labda kwa maslahi yao ambayo hata hivyo hayako wazi sana,mfano ni jana nilipokuwa kwenye basi maarufu hapa arusha kama hiace,inayoelekea njiro kulikuwa na askari kadhaa(hawa wadogo wadogo...
 10. C

  Jeshi la polisi jijini Mwanza lasaka cd/dvd za uchochezi

  Akizungumza na waandishi wa habari,kamanda wapolisi jijini mwanza amewataka wote wenye cd hizo kuzisalimisha polisi,cd hizo ni pamoja na yenye jina Inuka chinja ule,na ile yenye kichwa BAKWATA NI TAWI LA KANISA,na pia wamedai kumsaka sheikh Illunga na wengine wanaohusika na cd hizo kwa tuhuma za...
 11. C

  Sheikh Farid mbaroni, atakiwa kuthibitisha utekwaji wake

  Habari kutoka fb page yaoJumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar BREAKING NEWS......... VIONGOZI WAKUU WA UAMSHO WAZUIWA NA POLISI AKIWEMO AMIR FARID HADI. Jeshi la Polisi limewazuwia viongozi wakuu watano wa Uamsho bila ya kosa lolote. Viongozi hao ni Amir Farid Hadi...
 12. C

  Katibu mwenezi wa CHADEMA kata ya Themi hatufai

  Katika kipindi hiki ambacho tunapambana na changamoto kubwa kisiasa,tunahitaji kuwa na watu makini wenye ushawishi na uwezo wa kujenga hoja, na zaidi ni kuwa na uwezo wa kutumia kila fursa inayojitokeza ili kujenga chama bora, chenye ushindani na utayari wa kuongoza dola. Nimesikitishwa sana na...
 13. C

  Wabunge wengi hufa mara tu baada ya kumaliza muda wao bungeni!

  Sababu ni hali ngumu ya maisha waliyonayo wabunge wa TZ. Source. Makinda
 14. C

  hodi

  Nimefika jamani ila sijui nimechelewa?
Top Bottom