Search results

 1. harder king

  Msaada: Screen ya TV imejichora mistari

  Habari za mida wakuu TV yangu ilizima ghafla ikawa haionyeshi chochote nikamplekea fundi kaniambia balb zimeungua, nikanunua mpya zikawekwa, kweli tv ikawaka lakini ndio ivyo ikawa inajichora mistari kama hivi.
 2. harder king

  Nilishindwa kumshauri mwamba

  Habari za wajati huu jf Bila shaka mapambano juu ya corona yanasonga mbele huku kwa pamoja tukimuomba Mungu. Ipo ivi. Kuna mwana ilitokea tukawa tunaelewa ile mbaya alikua mwajiriwa wa taasisi moja mhumu tu mimi kama kawa napambana na kiosk,pia jamaa alikua na kaofisi kake nje na kazi kwa hyo...
 3. harder king

  Uzalendo unaelekea kunishinda, huyu mke wa mshikaji anazidi kunitia majaribuni

  Poleni na majukumu na hongereni kwa kuhimizana namna ya kuidhibiti corona. Twende pamoja. Wakuu, ipo hivi: Hapa mimi ni msaka tonge kama ilivyo kwa wengine sasa mwaka 2017 kuna dada akawa mteja wangu,tulikuwa hatujuani wala kuwa na mazoea kabla ila alionekana mchangamfu kila akifuata mahitaji...
 4. harder king

  Msaada: Naomba kujua hizi machine zina tatizo gani na umeme wa TANESCO na linarekebishikaje?

  Habari za mida wakuu Mm ni muuzaji wa hizi mashine za kichina za kukaushia nywele (HAIRDRYER ZA MKONONI) kipindi cha nyuma sikuwahi kupata usumbufu lakini miaka ya karibuni zimekuwa na tatizo kwenye huu umeme wa TANESCO. Tatizo ni kwamba baadhi ya wateja niliowauzia wanadai zinakata umeme na...
 5. harder king

  Natamani kuuza kila kitu nilicho nacho japo kabla sijawa navyo vilikuwa ni sehemu ya ndoto zangu ila sasa vimegeuka mateso

  wakuu najua walio wazima watachangia. wagonjwa mungu awatie nguvu ya urejevu wa afya zenu mapema na mkaendelee kutimiza kile mlichoagizwa kutimiza na Mungu alie Mkuu! Nisipoteze mda! Ni iv mm nimeoa na nina watoto wawili (nawapenda kuliko chochote duniani) Shida ni hyu mama watoto yaan ni...
 6. harder king

  Huu ndio mwezi uliopatwa

  Iv ni mimi sielewi maana ya kupatwa kwa mwezi au mbona upo umerelax tuu Sent using Jamii Forums mobile app
 7. harder king

  Je, hii ndio mbinu mpya ya wanawake kujitongozesha?

  Ipi hivi leo baada ya kufika kazini nikaona nitoke kidogo nikaingia mahali hili kuiweka akili sawa.. Nilipoingia nikakutana na dada mmoja (namfahamu) baada ya salamu akaniomba simu mimi nikampa nikijua labda kaishiwa salio au chaji kwenye simu yake na kuna mtu anataka kuwasiliana nae. Nilipompa...
 8. harder king

  Maendeleo hayana chama nao kunhuni wamejiongeza

  Kama hii habari ina ukweli basi hizi mbio zitaishia pabovu mno!
 9. harder king

  Je kuwaota ndugu au marafiki waliofariki ndivyo wanavyotokea au ni tofauti na kutokewa

  Habari za weekend wana JF Poleni na majukumu ya wiki na karibuni kwenye harakati za weekend za kutumia sehemu ya kile ulichopata kwa hizi siku5 Nije kwenye mada. My story; hii sio simulizi bali ni kitu kinachoniandama karibu kila siku. Ipo hivi zaidi ya miaka mitatu iliyopita nilimpotenza...
 10. harder king

  Mliowahi kukopa benki na badae kuachana na mikopo na kubaki na mitaji yenu tupeane ujuzi nasi tujikwamue

  Habari za mda huu wanajamvi! Sina shaka maana na jua kwa rehema za MUNGU mmeamka salama na baadhi tiari mpo makazini kuijenga nchi yetu. Kwa wale ambao hawapo poa kiafya na kiakili Mungu awatie nguvu na afya mpate kurejea mapema vitani Kama kichwa cha thread kinavyosema, mliowai kukopa...
 11. harder king

  Je, unakumbuka uliotembea nao kabla na baada ya kuoa/kuolewa?

  Leo baada ya kufika kazini nilitoka kwenda kupata supu ili kupunguza hangover maana jana nilipiga sana vyupa. Nikiwa mgahawani nikamuona dada mmoja niliewai tembea nae miaka kadhaa iliopita kipindi nipo single,nikapiga kimya mpaka nlivyoondoka nikamuacha Nikiwa narudi kazini ghafla likanijia...
 12. harder king

  Wanawake wa Dar kuolewa na wanaume wa mikoani

  Habari za mda huu wana jf! Imekua ni kawaida kwa wanaume wa dar kuoa mikoani au wanawake Wa mikoani kuolewa dar! Lakini hli la wanawake Wa dar kuolewa mikoan sio sana tena teknologia inavyozidi kukua ndio kabisa akuna mwanaume anaetaka kumsikia mwanamke wa dar kua mkewe. Na Mara nyingi...
 13. harder king

  Nimepigiwa simu na namba isiyojulikama (unknown number)

  Nmepigiwa simu na Namba isio julikama (unknown number) Je huu mchezo wa zamani umerudi tena? TCRA wanafanya kazi gan au hii haipo kwenye list ya cybercrime ya TCRA?
 14. harder king

  Msaada wa haraka unahitajika: Binti wa kazi anataka kuolewa

  Habari wa JF, Kama heading inavyojieleza, Ni hivi, miezi kama 6 iliyopita alileta dada wa kazi hapa nyumbani baada ya kumuliza alinijibu kua amepewa na mama yake. Kwakua nyumbani tuna mtoto mdogo niliona ni sawa maana kuna mda mimi na mke wangy tunakua kazini kwahiyo anatusaidia siku mtoto...
 15. harder king

  Unakumbuka nini kipindi ukiwa bachelor

  Mimi nlikua mvivu balaa 1) mende akiingia ndani nlikua siangaiki nae namuacha ale jeuri yake..hamalizi siku mbili bila kumkuta kafa 2) sikuwai kupika wala kua na jiko 3)nikianua nguo nlikua nazitupa kwenye sofa nazivaa ad ziishe bila kukunja wala kupasi 4)nlikua na pasi lakini naweza...
 16. harder king

  Alichonifanyia mke wangu kinazidi kuniadhiri kila uchao..

  Wakuu habari za mda.. Kutokana na mseto wa uzi huu nimeshindwa niuweke jukwaa la AFYA au MMU ila naamini wataalamu Wa pande zote mbili watauona na kunipa ushauri/ msaada Wa mawazo. Twende kwenye point.. Mimi na mke wangu tumekua tukitofautiana kwa baadhi ya mambo na kila tunapotafuta...
 17. harder king

  AJALI MBAYA YA GARI BABATI

  Kuna ajali mbaya imetokea Leo Aug20 maeneo ya galapo babat baada ya gari aina ya Noah kuacha njia na kupinduka na kujerui abiria wote huku wengine wakijeruiwa vibaya na kukimbizwa hospital ya wilaya ya babati MRARA na wengine kukimbizwa mkoni arusha (SELIAN) kutokana na hali zao kua mbaya...
 18. harder king

  Hizi ni baadhi ya kazi ambazo mhudumu ukiwa mwanaume uwezi lala njaa

  Habari wakuu! Leo ngoja tuangalie kazi ambazo warembo wakimkuta mtumishi ni mwanaume ujisikia amani kuliko wakikutana na jinsia yao..na hawaonagi tatizo kujilengesha kwao(siyo wote) 1.daktari-mara nyingi wanaume hatupendi wenza wetu wahudumiwe na daktari wa kiume, kwani ni raisi daktari...
 19. harder king

  Wanaume wa Dar acheni ushamba kwani kipi cha ajabu hapa?

  Wasalam wakuu! Ni iv..baada ya kusikia misifa kibao kwa hawa watu Wa 'dar es salam' kuhusu uzuri Wa kijiji chao..tukaona isiwe tabu,tukazichanga Mimi na mwanangu kama mwezi iv..lengo kwenda kusafisha macho na kupunguza ushamba wa kurushwa roho na hawa watu kila wakija huku kijijini Siku...
 20. harder king

  Miaka 22 iliyopita...

  Habari wana jf Ikiwa ni siku mpya na kila mtu akiwa kwenye purukushani za maisha tukiyandaa kesho mpya..hatuna budi kumwambia Mungu asante. Lengo la Mimi kuleta mkasa huu hapa jamvini n pamoja na kujifunza na kuwatia moyo walio kata tamaa kimaisha Twende kwenye point! Miaka 22 iliyopita...
Top Bottom